Naomba kujuzwa, uwingi wa damu mwilini rating zake huwa ikoje?
Nimekuwa nikisikia kuwa kwa mtu wa kawaida isipungue 12 au 13.
Hizo namba tafsiri yake ni nini? Yaan 13 juu ya ngapi?
Na kiwango...
Hi,Today 16 November is the premature date which established in 2017 in order to to give awareness about premature day in order to prevent stigma for those baby whose born with this this birth...
Naombeni ushauri wa kitiba, kila nikitembea na mwanamke pekupeku lazima baada ya siku kadhaa akuambie tumbo linamuuma, na mimi kwa upande wangu uume umekuwa ukiniwasha washa kwene urethra hadi...
Kulewa sana.
Kufanya ibada sana.Unakuta mtu anapitiliza muda wa ibada na kushindwa kufanya majukumu mengine.
Kushindwa kufanya uzalishaji mali au kufanya kazi.
Kupenda kesi, jambo dogo...
Habari doctor's wa jf,naomba kuuliza Jana saa tisa mchana dada ametumia dawa ya p2 akaambiwa baada ya masaa kumi na mbili atumie kingine maana aliambiwa ameze kimoja kimoja.
kwahiyo alipomeza...
Ni mwezi wa 3 sasa hajaona period. Baada ya kupima kagundulika na hilo tatizo.
Wataalamu tafadhali naomba msaada wa kujua suluhisho la kudumu.
Nawasilisha
Imebainika asilimia mbili tu ya Wanaume ndiyo wana uelewa kuhusu Saratani Mkoani Mwanza, hivyo kuwafanya baadhi yao kupoteza maisha kwa ugonjwa huo bila kujitambua.
Utafiti uliokusanya taarifa...
Wana Jf tafadhari naomba kama kunamtu anajua dawa ya kuzibua mirija ya uzazi , kwani nimepima hospitali wamesema mirija imeziba siwezi kupata ujauzito.
Imeelezwa kuwa kila vifo 33 kati ya 100 vinavyotokea nchini vinasababishwa na magonjwa hayo na robo 3 ya wananchi hawajitambui kuwa wana tatizo hilo.
Mkurugenzi Msaidizi wa Magonjwa...
DAWA YA CLOMIPHIENE
Dawa hii hufahamika kama ‘Clomiphene Citrate’
Katika fani ya Tiba ya dawa, Clomiphene huwekwa katika kundi la dawa liitwalo ''ANTIESTROGENS AND SELECTIVE ESTROGEN RECEPTOR...
Poleni kwa majukumu ya kila siku wadau wote wa jamiiforums hasa ukumbi huu wa JF Doctor.
Naamini JF doctor kuna watalaamu wengi na watu wenye uzoefu katika masuala ya afya na shughuli...
Hali zenu Ndugu zangu hakika mpo sawa kiafya kwa uwezo wa Mungu Kikubwa Naomba mnijuze hospital nzuri yenye huduma za Kubadilisha meno Na kuweka bandia inagharimu kiasi gani cha pesa.
Naombeni...
Kifo ni hatua ya mwisho ya madhara ya chumvi lakini kuna madhara mengi sana yasababishwao na chumvi kabla ya kifo.
Tafiti zilizofanywa na jarida la new england journal of medicine nchini...
Mkuu juzi nimeona umemwambia mtu kuhusu matibabu ya kitunguu Swaumu dhidi ya malaria sugu kwakweli nimeitumia na siku ya pili leo naona niko fiti sana.Cha ajabu na uume wangu leo usiku mzima...
Yapata miaka mitano toka tuoane na mke wangu lakini kwa kipindi hiki chote hatujaliwa kuwa na mtoto na tumejaribu kuzunguka kwa wataalamu mbalimbali lakini imeshindikana na mimi nahitaji kuwa na...
Habari zenu wana Jamvi, samahanini kidogo niwatake wenye kujua suala hili waweze kunijuza na namna linaweza kutatuliwa.
Jambo lenyewe ni kuhusu Afya ya uzazi wa mwanamke, mimi mke wangu katika...
Watu ambao wameambukizwa COVID-19 zaidi ya mara moja, wana uwezekano mara mbili au tatu zaidi, kuwa na matatizo mengi ya kiafya kuliko wale ambao wameambukizwa mara moja tu, ripoti ya utafiti...
Drug Tablet Named Ranitidine used to treat ulcers and GERD sold as (Zantac,Rantac,Ranitab ) Is Banned in USA AND INDIA
Because of Having N -nitrosodimethylamine ambayo inasababisha Colorectal...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.