Wapendwa please,
Naombeni msaada namna gani naweza kupona msongo mkali wa mawazo (depression) linanitesa mno.
Sina uwezo wa kuonana na wanasaikolojia Ila kadri siku zinavyozidi kwenda naona...
Wakuu habari!,nimehamia makazi mapya huku mbezi, lkn toka niingie kwenye hii nyumba tabu tupu, karibu kila Siku lazima tuue tandu.
Msaada wenu wadau kwa ajili ya tahadhari. Nasikia mdudu tandu...
Wakuu habarini,
Kama mada isemavyo; naomba kufahamu kama kuna madhara ya ukifanya ngono na mwanamke anayenyonyesha ambaye si mkeo.
Natanguliza shukrani
Wakuu mimi ni mwalimu nafundsha shule ya girls tu lakini nahisi wanatumia sana shisha naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia madhara yake na jinsi ya kuwashauri waachane na hayo matumizi. Much thanks
Habar wakuu,
Nadhani sisi wote tunatumia digital devices lakini shida ya hivi vifaa vinasababisha matatizo ya macho lakini ajabu ni kwamba wapo watu wameajiriwa kama secretary au developers muda...
Habari zenu wanajamvi,
Naomba msaada wa kuujua ugonjwa wa mdudu wa kidole kiundani zaidi, Napenda nijue chanzo chake, matibabu yake na njia za kuepuka ugonjwa huu……!
Shukrani.
Ndugu wapendwa nawasalim!!!!!
Tumepata tatizo kwenye familia kaka yetu amegundulika na ugonjwa wa cancer, amekuwa ana patwa na maumivu makali na kukata tamaa ya kuishi. Jana nimeona kwenye vyombo...
ELEWA TATIZO LA MIKONO / MIGUU KUFA GANZI.
Na Dr Gombeye...✍
KATIKA mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kufa ganzi kwa viungo vya...
Kitunguu maji hutibu magonjwa yafuatayo
Kikohozi
Vidonda vya tumbo
Mifupa
Ngozi
Koo
Figo
Tumbo
Mkojo
Matayarisho
Menya vitunguu maji 3 vikubwa, visage au vitwange ili upate maji yake...
Habari za Jumapili ndugu, ni mwembamba kiasi upande wa mikono nataka kuongeza nyama za wastani kwenye mikono je hizi bidhaa za hawa Gofit eatmore zinafata Kwa nahitaji yangu
Nina kilo 67
Naomba...
Nina wiki sasa natoka usaha kwenye vyumba vya kubadilishia nguo! Kuna pisi niliikuna sana wiki moja iliyopita sasa nahisi imeniachia unaa! Siyo kosa lake ni ubishi wangu, maana aliniomba sana...
Naomba wataalamu mnisaidie kumekuwa na maneno mengi kuhusu kufanya mapenzi na anayenyonyesha kwamba utamsababishia matatizo mtoto je kwa mfano inatakiwa kukutana mara ngapi kwa wiki kwa mwanamke...
Habari wadau,
Nimeanza kupata tatizo la kutotambua mtu aliyezaidi ya mita hamsini naweza kumwona Kama mtu yule pale lakini nashindwa kumtambua ni Nani hata Kama namjua.
Naomba msaada wa hili...
Huu ugonjwa stroke/kuparalaizi (kama tunavyouita huku mtaani)kwa nini ukimpata mtu unaanza upande wa kushoto wa mwili?
Japo mtasema ni kwa sababu moyo eti umekaa upande wa kushoto au nguvu kubwa...
Nimekuwa nikisumbuliwa na vipele vidgo dogo kwenye Kuta za uke mda mrefu sana nmaeenda hospital nyingi nmepewa dawa nyingi natumia lakn hamna mabdiliko, anayefahamu dawa ya huu ugonjwa
Ni...
Habari wakuu, nauliza je kuna tiba ya goita?
Nimepima nimegundulika na goita upande wa kulia washingo kumevimba maana napata maumivu makalii mda wote nawakati wakula kulala. Sasa wakuu nimekuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.