Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Salaam JF! Nashukuru nimepona UTI kufuatia uzi fulani wa DR. MZIZIMKAVU wakati fulani akatufundisha kutibu fangasi wa aina zote kwa kutwanga kitunguu saumu na kukiweka kwenye kijiko cha chai na...
4 Reactions
26 Replies
85K Views
Habari wanajukwaa, Nakuja kwenu wanajamvi kuuliza kama ni sahihi mtu kulazimishwa kuchanjwa hasa hii chanjo ya korona. Nijuavyo mimi mtu anatakiwa aelimishwe kisha ahiari pasipo shuruti. Lakini...
1 Reactions
7 Replies
454 Views
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema watu 25,000 walifariki kwa ugonjwa wa Saratani ndani ya mwaka 2020 pekee na kuufanya ugonjwa huo kuwa tishio zaidi ya Uviko-19 ilioua watu chini ya 1,000 hadi...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Human Papilloma Virus (HPV) ndicho kirusi ambacho inaaminika kinatajwa kuwa kinasababisha Saratani ya Kizazi, ambayo kwa asilimia kubwa inawaathiri wanawake. Pamoja na hivyo wanaume na wanawake...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Ugonjwa wa Polio husababishwa na virusi vya Polio, ambavyo huenezwa kwa njia ya kula na kunywa maji yaliyochafuliwa na kinyesi chenye vimelea vya ugonjwa. Ugonjwa huu unaweza kuwapata watu wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeipata taarifa hii nikaona niwashirikishe WanaJF ambao wengi naamini hawajui. "Wengi wetu tuna mazoea ya kunywa maji pindi tunapokuwa tunakula chakula. Lakini, Wataalamu wa Afya wanapinga...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
Natumai wazima wadau. Naomba msaada wa mawazo kichwa cha mwanangu wa miezi 6 kimekaa vibaya kama hapo kwenye picha. Wapi naweza kupata msaada wa kuweka sawa au nini nifanye.
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Habari wana wa Jamii Forums Mimi nimekuwa nikitatizwa na jambo moja ambalo linaniumiza sana kichwa. Mara nyengine nawaza labda ni kawaida kila mwanaume linamtokea Mimi kila ninapokula chakula na...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Una experience yoyote ya mgonjwa aliyeshawahi patwa na huo ugonjwa? Nishasikia hadithi za kusikitisha na kukatisha tamaa jinsi wakunga wetu Bongo walivyo wazembe kuwasaidia kina mama wanaoshikwa...
1 Reactions
94 Replies
79K Views
Habari wakuu, Naomba kujuzwa hivi watoa huduma za afya nchini Tanzania (doctors and nurses) walioajiriwa na wasioajriwa lakini wamesajiriwa na wana leseni za mabaraza yao (MCT & TNMC) 1. Je...
0 Reactions
0 Replies
357 Views
Kifua kikuu ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vya bakteria na huenezwa kwa njia ya hewa. Mtu mwenye maambukizi ya kifua kikuu akikohoa, kupiga chafya au kutema mate ovyo husambaza vijidudu...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau nimekutana na hii video mama huyu akiwa anaongea mengi ila mojawapo ni hili la kuhusu uvaaji wa pempasi kwa watoto. Je hili ni janga au ni kukosa elimu sahihi kuhusu matumizi ya pempasi...
0 Reactions
0 Replies
805 Views
Habari za asubuhi, mimi nina tatizo la muda mrefu kama miaka mitatu tatizo nililonalo NI mdomo kuwa na ladha ya uchachu, viungo vya mwili kuuma, uchovu kupindukia, tumbo kuunguruma, nimekunywa...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Wizara ya Afya ya Uganda imethibitisha kuzuka kwa Ugonjwa wa Virusi vya Ebola (EVD) nchini humo baada ya kijana mwenye umri wa miaka 24 mkazi wa Kijiji cha Ngabano wilayani Mubende kufariki dunia...
0 Reactions
5 Replies
499 Views
Habari wana jf, juzi kuna uzi ulipostiwa kuhusu sindano ya anti d, ila maelezo yalikuwa tofauti na nilivyoambiwa na dr. Maana shemeji yenu inabidi apate sindano hii mwezi huu ikiwa ni uzao wetu wa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Miaka hii hii na ijayo uzazi kwa vijana umepungua sana,vijana au hawapendi kuzaa au imekuwa tabu.manake hata akina dada nao hawapati watoto nini tabu?wanaume sasa hawana nguvu za kiume imekuwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habarin wanajukwaa Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yapata mwezi mmoja na nusu uliopita nilipata ajali ya bodaboda na kuvunjika mguu wa kushoto mara mbili yani mfupa wa nyuma na mbele na...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari ndugu wana Jf Mnamo wiki moja iliyopita nilihisi kupata GONORRHEA na kupata ushauri wa kitabibu na mwishowe nikapata dawa za AZUMA kutibu ugonjwa huo Nimemeza dawa kwa siku sita sasa...
5 Reactions
29 Replies
6K Views
Habari zenu members wa Jf, Kuna shida inatanitatiza kwa mtoto wangu wa kike mwenye umri wa miaka mitatu, ni kwamba amekuwa na kawaida ya kutokwa na maji meupe kama maziwa sehemu zake za siri kila...
1 Reactions
26 Replies
12K Views
Utofauti wa kinga ya mwili kati ya wanaoishi mjini na vijijini umewaibua wataalamu wa afya kuendesha utafiti ili kubaini chanzo cha tofauti hizo na kupima ufanisi wa chanjo katika maeneo hayo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom