Wakuu nakuja kwenu nikiomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya kupakua cheti cha uviko 19 baada ya kupata chanjo na kupewa ile kadi ya kumbukumbu ila bado sijapata kile cha kidigitali naomba msaada wa...
Habarini wadau,
Kama wiki sasa nimepata hili tatizo la miguu kufa ganzi, wa kushoto ndio sana mpaka sasa nakuwa siu feel kwa kiasi kikubwa, nikajua itaenda ikipungua ila naona ipo same au kama...
Kutokana na matukio mfululizo wa mengi ya unyanyasaji wa kijinsia hasa ubakaji na ulawiti kuendelea kuripotiwa, Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Aifello Sichalwe anafafanua matukio hayo kitabibu...
UTI sina, Kisukari sina, (majibu ya vipimo mara kwa mara)
Kwa nini napokunywa kinywaji maji au juice kidogo tu napata haja kali ya kukojoa, na kuvumilia inakuwa ngumu na changamoto zaidi. Pia...
Habar wanajf me naomba niwasilishe tatizo langu hua kuna tatizo la kuona kama ukungu linanitokeaga but linachukua wiki tatu mpaka mwezi , hua baada ya kuona ukungu kwa takriban dakika 10-15 macho...
Wanasayansi wamesema aina hiyo mpya ya matibabu ya Saratani ambayo hutumia Virusi vya kawaida kuambukiza na kuharibu Seli Hatari imeonesha ufanisi mkubwa kwa wagonjwa.
Wagonjwa 40 wamefanyiwa...
Laana na kuchepuka ni miongoni mwa imani potofu zinazoaminika katika jamii kuwa zinasababisha ulemavu wa mdomo sungura na mdomo wazi kwa watoto.
Mdomo sungura na mdomo wazi ni ulemavu...
JE,unajua kuwa tiba pekee ya kuacha punyeto ni ulaji wa vitungu saumu na maji.
Matokeo yake ni pamoja na kuratibu ubong hasa homoni ya testeron iliyo kiwango cha juu has wanaongalia picha za x na...
Tetanus (Pepopunda) ni ugonjwa unaosababishwa na sumu inayotokana na maambukizi ya bakteria wanaoitwa Clostridium tetani ambao hupatikana kwa wingi kwenye ardhi, vumbi na vinyesi vya wanyama...
Za mida wakuu nina ishu inanitatizaa hapa et ikitokea umejichoma n kitu chenye kutu ukiacha tetenasi kuna uwezekano ugonjwa wa UKIMWI pia ukaambukizwa kwa njia io?
Swali ni kwamba can rusted...
Habari za saa hizi wanajamvi!
Nimekuwa nikisumbuliwa na rushes, matango tango kwa muda mrefu sasa, nimewahi kutumia Gentilene na dawa nyingine za kupaka but sijaona improvement yoyote, naombeni...
Jamani naomba msaada na ushauri kwenu, Mkono wa kusho unaniuma unakosa nguvu na mda mwingine unapata ganzi nakosa hamu ya kula na kichechefu Nimepima UTI na MARELIA vyote wamesema sina Naomba...
Dawa zinazotumiwa na wajawazito wanaoishi na virusi vya Ukimwi (VVU) kukinga maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto zimeonyesha kujenga usugu kwa kiwango kikubwa kwa mujibu wa utafiti...
Baadhi ya watu huamini kuwa kutumia unga wa dawa iliyo tengenezwa kwa mfumo wa “capsule” ndiyo njia sahihi na haraka ya kupona ugonjwa husika.
Kitaalamu, dawa hutengenezwa kwa mfumo wa capsule...
Ndani ya wiki moja baada ya kuzaliwa, mtoto wa kike anaweza kutokwa na kiasi kidogo cha damu kwenye via vyake vya uzazi.
Kitendo hiki kinachofahamika kama false menses (Hedhi ya uongo) ni cha...
Nina jamaa yangu ambaye aliugua bawasiri akafanyiwa upasuaji.
Kuna madai kuwa baada ya upasuaji ugonjwa huu unarudi.
Wanadai kuwa ukitibiwa hauponi moja kwa moja. Unarudi.
Naomba ushauri na...
Wahudumu wa afya nchini Scotland wamepewa mwongozo mpya unaoangazia uhusiano kati ya pombe na saratani.
Mwongozo huo uliochapishwa na Scottish Health Action on Alcohol Problems (SHAAP)...
Ebola ni ugonjwa hatari unaosababishwa na virusi vujulikanavyo kitaalam kama (Ebola Virus). Ugonjwa huu ni miongoni mwa magonjwa yajulikanayo kwa ujumla kama Homa za virusi zinazosababisha kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.