Watafiti wameabainisha kuwa unywaji wa sharubati ya beet root unaimarisha afya ya moyo. Zao hili linastawi sana hapa Tanzania lakini si zao maarufu kwa walaji.
FUATILIA HAPA
Beetroot juice may...
Tanzania yatoa tahadhari dhidi ya ugonjwa wa ebola
Wizara ya Afya nchini Tanzania imewashauri wananchi wake kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa ebola siku moja baada ya nchi jirani ya Uganda...
Habari zenu wakuu
Nina mtoto mchanga ana miezi miwili ana mwezi sasa hapati haja kubwa, nasubiria afikishe miezi mitatu aweze kupimwa x-ray inabidi apigwe bomba mara kwa mara, mwanzoni alikuwa...
Serikali ya Tanzania imesema kuwa hakuna mgonjwa wa Ebola aliyeripotiwa nchini huku ikiwashauri wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa huo.
Jana Uganda ilitangaza mlipuko huo baada ya watu...
Serikali ya Tanzania imeanza kuimarisha mifumo ya ufuatiliaji katika mipaka ya nchi na viwanja vya ndege kupitia mikakati sita ili kudhibiti mlipuko wa ugonjwa wa Ebola uliotangazwa nchini Uganda...
Ulinzi umeimarishwa kati ya wasafiri wa ndani, wanaotoka na kuingia nchini Uganda ikiwa ni hatua za makusudi zilizochukuliwa na Serikali ya nchi hiyo katika kuzuia virusi vya ugonjwa wa Ebola...
Daktari Bingwa wa Upasuaji Ubongo kutoka Taasisi ya Mifupa MOI, Dkt. Laurent Mchome amesema kumekuwa na ongezeko kubwa la Wagonjwa wa Kiharusi nchini na wanaokutwa na tatizo hilo sana ni watu...
Unaelewa nini ukiambiwa umeze dawa kutwa mara tatu?
Maduka mengi ya dawa pamoja na hospitali zetu hutumia lugha hii kimakosa pasipo kuwaelewesha vizuri wagonjwa. Kwa kiasi kikubwa, huwafanya...
Hivi mwanaume anaweza kumwambukiza mwanamke PID mpk mwanamke akaumwa hoi halafu mwanaume yeye akawa sawa tu ? Au mwanaume nae ana dalili zake kwny ugonjwa huo.
Naomba kuwasilisha [emoji122]
Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) imesema kila siku inapokea wagonjwa watatu wenye tatizo la kiharusi (stroke).
Hayo yameelezwa leo Septemba 20 na Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Ubongo, Laurent...
Mwanamume mwenye Umri wa Miaka 24 amefariki katika mlipuko mpya wa ugonjwa wa Ebola uliothibitishwa na Maafisa wa Afya tangu Mwaka 2012, Uganda iliporekodi kisa cha mwisho
Waziri wa Afya amesema...
Watu wa Mungu habari!
Tangu mwaka 2008 nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu kati kati ya mgongo, nilihangaika sana kusaka tiba, ila mambo bado.
Tangu mwaka Jana nikaanza kuhusi maumivu ya mgongo...
Kutokana na ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza nchini, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohamed Janab ametoa angalizo kuwa licha ya kuharibu bajeti ya afya...
Maziwa ya ng’ombe ni mojawapo ya chakula kilicho na virutubisho vingi vinavyofaa kwa afya ya binadamu.
Pamoja na ubora wake huu, aina hii ya maziwa huwa haifai kwa mtoto mwenye umri chini ya...
Wakuu habari ya wakati huu.
Naombeni ushauri au anayejua tiba ya uume kusinyaa kabla ya tendo la ndoa. Limekuwa tatizo ambalo linanipa mawazo sana.
Msaada tafadhali
Naomba kujua kama kuna pregnancy au laa. Observation baada ya kupima ni;
1. Mstari wenye rangi nyekundu iliyokolea
2. Mstari wenye rangi iliyofifia (unaonekana kwa mbali)
Habari za jumamosi ndugu zangu.
Nimekuja hapa kuomba msaada wa ugonjwa huu wa ngozi.
Uncle wangu ana hivi vipele mda sasa ila hakuwahi kusema miez miwili iliyopita alinionyesha..vipo kifuani...
Ni wazi kwamba sisi wanadamu tunapokula vyakula mbalimbali huwa tunapata virutubisho mbalimbali kama vile vitamini, protini, madini, nk kutoka katika vyakula hivyo. Je, hata wanyama nao...
Post-Exposure Prophylaxis au PEP ni njia inayotumika kumkinga mtu ili asipatwe na maambukizi mapya ya VVU baada ya kupitia mazingira hatarishi yanayoweza kumfanya aambukizwe.
Ni njia inayohusisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.