Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Nawasalimu na kuwatakia afya njema, naomba kujuzwa mzee wangu mwenye umri wa miaka 83 amepata hali ya kupoteza kumbukumbu hii haijitokezi mara kwa mara, anasahau mambo yanayotokea muda huu kama...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
PrEP ni nini? Pre-exposure prophylaxis au PrEP ni matumizi ya dawa za kupunguza makali ya VVU na watu wasio na VVU ili kuzuia upatikanaji wa maambukizi ya VVU. Tangu Septemba 2015, WHO...
3 Reactions
15 Replies
5K Views
Habarini Wakuu, naomba msaada juu ya hili..Nina huyu Girlfriend wangu akiwa anakribia zile siku za kuingia mwezini wakati wa sex huwa anatoa maji mengi sana ambayo ni meupe kabisa kama maji. Je...
0 Reactions
2 Replies
417 Views
Habari zenu wakuu, Naomba msaada, aisee mi niko na tatizo hili na ni kubwa sana kwa sasa. Nikiwa na safari kwa njia ya basi au gari za kawaida, nakua na hali kama ya kuvurugwa hivi, nakua...
9 Reactions
53 Replies
2K Views
Habari za kazi. Napata maumivu chini ya kichwa cha uume kwenye mshipa wakati nakojoa. Pia uume unatoa uchafu wenye rangi nyeupe... Naomba mwenye ushauri juu ya hilo.
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari Naomba kuuliza kwa hapa Dar ni hospital gani binafsi nzuri ya mifupa ambapo doctor anapatikana kila siku kwa maana kuanzia jumaatatu hadi jumaamosi? Asante.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Utafiti uliofanywa na wataalamu kutoka Chuo Kikuu Cha Muhimbili kwenye machinjio ya kuku ya Shekilango na Manzese umegundua uwepo wa kiwango kikubwa cha dawa za kuua bakteria ambazo wafugaji...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Je, Unafahamu juu ya Tatizo la Kuvunjika Uume Kwa Kimombo Penile Fracture? Tatizo hili lipo na Mara Nyingi linapotokea humuacha Muhusika katika sintofahamu na Asijue Cha Kufanya Kutokana na...
6 Reactions
50 Replies
7K Views
Poleni na majukumu ya kila siku kuna swala hapa nina mtoto uzito wake unaongezeka kwa kasi mpaka inafikia atua sasa nimeanza kuogopa anamiezi miwili na siku 20 lakini lakini Ana kilo 8.2kg...
5 Reactions
9 Replies
804 Views
Huwa najiuliza sana kwamba je kuna umri wa ukomo ambapo mwanamke kama hakupata mimba/mtoto hawezi kupata tenakadhalika kwa mwanaume kutungisha mimba? nauliza hili kwa sababu kuna ndugu yangu...
1 Reactions
24 Replies
8K Views
Jana Usiku niliinama chini kubeba kereti la soda, wakati nainama niliinama ki ubavu ili nilibebe kwa mkono mmoja maana lilikua tupu. Wakati nainama sehemu ya ubavu wangu wa kulia kwa ndani...
0 Reactions
6 Replies
410 Views
Habarini wadau,mimi ni kijana wa miaka 22,nilikuwa naomba msaada kama kuna dawa ya kurefuka urefu wa mwili,ninawezaje kurefuka,msaada wenu tafadhali?
1 Reactions
58 Replies
14K Views
Malalamiko yanayotolewa na baadhi yao yanaonesha kwamba, muda wa kumaliza tendo huwa kati ya nusu dakika na dakika tatu kwa tendo la kwanza, huku wengine wakimaliza hamu katika hatua za awali tu...
1 Reactions
100 Replies
166K Views
Habari zenu wakuu, Naombeni msaada wa kiafya, mwezi wa 8 nilikumbwa na ugonjwa wa kuwashwa ambapo nilianza kuwashwa mikononi nilivyokuwa najikuna nilikuwa natoka na vipele nikaenda hospitali...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Taasisi ya Saratani ya Ocean Road iliyopo jijini Dar es Salaam inakabiliwa na uhitaji wa matiti bandia kwa ajili ya kusaidia akina mama wenye saratani ya matiti ambao wengi wao wamekuwa wakikatwa...
0 Reactions
0 Replies
471 Views
Ndugu zangu wanajamvi habarini. Mimi mwanenu na ndugu yenu nimekumbwa na tatizo, uume kusimama ka ulegevu na kuwahi kufika kileleni within a minute. Naomba msaada sana ndugu zangu
9 Reactions
97 Replies
5K Views
Hi Jamani, mambo vipi? Shost wangu kaambiwa anao uvimbe kwenye kizazi, ametumia dawa, hakuna majibu mazuri. Ameambiwa yalazimu operesheni. Ila kuna tetesi kwamba akifanyiwa operesheni tu...
0 Reactions
43 Replies
22K Views
Je ushawahi kupatwa na Stress.? Hivi ukiwa na stress huwa unafanya nini? Au unafanyeje? Kama Pombe hunywi au hautaki kunywa. Na usingizi hupati.(insomnia) Unafanyeje ili kuondokana nazo...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Ukuaji wa watoto hupitia hatua nyingi tangu kuzaliwa kwao. Mabadiliko haya huhusisha tabia na namna ambavyo mifumo ya mwili hufanya kazi. Ukuaji wa watoto huwa haufanani, lakini wengi huanza...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakubwa, Nimekuja kwenu nipate ushauri, maana kichwa kinawaka moto. Mimi ni mtumiaji wa kondomu miaka 6 sasa sijapiga dry. Jana nilikuwa nasex na bidada nikiwa na kondomu zangu 3 mpyaa...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Back
Top Bottom