Ni wiki sasa tatizo linanikuta, japo tayari nimeshazungumza na mhudumu wa duka la madawa, lakini bado tatizo liko palepale!
Ninaposhtuka usiku, siuhisi mkono wangu wa kushoto (ni kama haupo...
Naombeni msaada wenu watu mliosomea na kuelewa mambo ya Biology hasa kwenye ile topic ya Genes.
Nimekuwa na hili swali kwa mda mrefu bila jibu, Size ya uume wa mtoto inatoka kwa baba yake au ni...
Mke wangu alijifungua mtoto wa uzito mkubwa 1997 na baada ya akaanzwa tatizo la mgongo nyonga na bahati mbaya hakuanza matibabu mapema kwa kuamini kwamba ni la kupita.
Kwa sasa umri umeenda ndio...
Naomba kujuzwa Kama msichana mdogo umri miaka 18 akichomwa zile Sindano za kuzuia kushika ujauzito kwa miezi mitatu hupelekea hormones kuvurugika kwa mzunguko wake wa hedhi kiasi kwamba asione...
Ipo hivi nina rafiki yako ambae shughuli zake ni dereva sasa amenipa mkasa wake na kuomba ushauri.
Jamaa mwanzo mwa miaka ya 2000s alimpata Binti wakakubaliana na kuamua kuishi pamoja...
Habari!
Kumekuwa na taarifa nyingi za kushtusha za mauaji ya wanandoa, watoto, na kesi nyingi Sana za kushtusha ambazo mwanzoni hazikuwa zinatokea mara kwa mara kama ilivyo sasa hivi. Huwa na...
Wapendwa kwa moyo mkunjufu naombeni mnisaidie kama kuna mtu ameshawahi kusumbuliwa na tatizo la macho halafu akapona naomba anisaidie jamani macho yangu yamepoteza nguvu ya kuona karibu na mbali...
VIJANA wengi leo nyumbani Bongo wanapatwa na maradhi ambayo zamani yalikuwa ya wazee au watu wa makamo. Maradhi haya ni kama kisukari na mstuko wa moyo.
Kichomi ni moja ya dalili za ugonjwa moyo...
Wakuu habari za leo, naomba kuuliza je kwa sasa kozi ya medical attenants imeruhusiwa kutolewa na serikali? Maana nimeona kuna baadhi ya vyuo vya afya vinatangaza kupokea wanafunzi wa hiyo kozi...
Habar wadau wa jamiforums hongereni kwa majuku. Yenu pia poleni kwa matatizo mlio nayo
Nilikua naomba kusiadiwa zaman nilikua Footballer nikaacha sababu ya kutafuta maisha nikaja kucheza tena now...
Kuna Kwaresima na Ramadhan miezi ambayo waumini wa Kikristo na Kiislam wanafunga kama sehemu ya imani zao kwa lengo la kumpendeza Mungu wao ili awasamehe dhambi au awape kibali cha kuingia peponi...
Wadau Habari!
Hivi NHIF hawana Huduma ya Kulipia Online kama Unataka Ku renew kadi yako?
Mfano,Unakuta Kadi yako Imeisha Unatakiwa kulipia Tena,Ila Kadi Yenyewe imeandikwa muda wake utaisha 2025...
Habari zenu wadau..
Nina mtoto ana umri wa miaka sita. Huwa nina tabia ya kuwakagua wanangu ili kubaini kitu cha tofauti kama mzazi. Ni muda sasa nimegundua anatoka uchafu wa kijani sehemu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.