Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Kwa uelewa wangu kiduchu wa biology ini huondoa sumu mwilini. Je ulaji wa maini ya mfano ng'ombe utakua na madhara kwa binadamu? Maana nahisi huenda maini yakawa na mabakibaki ya sumu. Naombeni...
1 Reactions
7 Replies
19K Views
Utashi ni kipawa cha binadamu kinachomfanya aweze kutaka mwenyewe chochote. Kitu hicho kinaweza kuwa chema na hata kibaya, ingawaakili yake mwenyewe inaona zaidi wema fulani uliomo na ambao...
7 Reactions
9 Replies
3K Views
Na Bernard Ntiyakama, BScN, TMCEHP, RN. Mafunzo yanayomwandaa mtu kuwa Muuguzi humpa maarifa anayo yahitaji kutekeleza wajibu mbalimbali za kitaalamu ikiwemo kutoa Dawa. Jukumu hili lanabakia...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari wanajamvi natumai mu na afya njema na wale ambao afya imelega kidogo poleni na ugua pole God atabless Ndugu zanguni nilipiga Ct scan,, naomba kuuliza hiko nimezungushia kwenye picha ni...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Eti hivi kuna tofauti ipi kati ya vilainishi hivi, Ky Jelly na Kly jelly. Sina uzoefu navyo msaada jamani na ipi nzuri maana hata majina hayafanani, moja ni ky, nyingine kly
9 Reactions
37 Replies
6K Views
Naombeni msaada wa mawazo Nina matatizo ya mgongo ambayo Mimi mwenyewe sielewi kama ni matatizo Kweli! ya mgongo au ya moyo au ya mawazo. Nafanya leo ninaweza kusikia matatizo ya moyo yaani...
1 Reactions
9 Replies
893 Views
Habari wadau, Mimi ni muathirika wa ugonjwa wa keratoconus. Huu ni ugonjwa wa macho unaosababishwa na kubadilika kwa umbo la mboni (corneal shape). Ugonjwa huu umepeleka macho yangu kupoteza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za humu ndani wanajamiiforums! niende moja kwa moja kwenye point, Kila nikikutana na mwanamke baada ya kumaliza tendo hua napata maumivu makali kwenye uume. Kwa anaefahamu suluhisho la...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Naombeni msaada wa mawazo Nina matatizo ya mgongo ambayo Mimi mwenyewe sielewi kama ni matatizo Kweli! ya mgongo au ya moyo au ya mawazo. Nafanya leo ninaweza kusikia matatizo ya moyo yaani...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu Tuna mgonjwa wa moyo ametibiwa na kufanyiwa operation JKkikwete muhimbili but tatizo limetokea Tena la moyo kuwa na pumping rate ya chini mno, Madokta wametuambia apelekwe india...
1 Reactions
2 Replies
638 Views
Nimegundulika na peripheral neuropathy,je nini kinasababisha ugonjwa huu? Sent from my VFD 1100 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Nina flue, napiga chafya, nahohoa, naahirisha mwili unauma na kuchoka pia sina hamu yakula ila sina home. Je inaweza kuwa ni Codid? Nianza dose ya Azuma. Naomba jukwaa linishauri
0 Reactions
2 Replies
772 Views
Ndugu zangu, naombeni msaada mchumba wangu anatatizo lakutoka vitu vyeupe kwenye uke wake, nikama mafuta ya mgando hivi. Pia wakati mwingine hutoka mabonge ya damu yaliyoganda nakuwa kama ngozi...
0 Reactions
27 Replies
9K Views
Kuna mtu kaniambia kuwa UTI iliokomaa na ya kujirudia (haitabiki kirahisi) inaweza pelekea mwanamke kuto enjoy sex na kukosa hisia nzuri wakati wa penetration. Je, ni kweli?
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari za saa hizi wakuu,nimepata tatizo la MATITI yanauma sana na kutoa maziwa mazito sielewi naomba msaada
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Habarini wana Jamiiforum! Ningependa kufafanua moja kwa moja tatizo lenyewe!; Nimekuwa na tatizo la kutohisi Chochote wakati wa kujamiiana!..hamu ya kufanya inakuwepo, uume inasimama vizuri...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu zangu naomba msaada Mimi nina tatizo ambalo Lina ni sumbuwa Saana siku izi sijui Nini chanzo hasa Yaani nafanya ni kila tumbo ina jaa saana chakula mpaka inafika kipindi naona kama vile...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari ya muda huu wana jf, nasumbuliwa sana na jino, limeshambuliwa na wadudu....kuna yeyote mwenye kufahamu tiba yake bila kung'oa
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Kuna vile vipele vyeupe ambavyo humtokea mtu aliye chelewa kufanyiwa tohara huwa vinakuwa vipo kwenye shingo ya kichwa cha uume ni vyeupe kama vina usaha ila ukivitumbua vinabaki vile vile...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
HISTORIA: CHIMBUKO LA MONKEY POX - SEHEMU YA KWANZA Virusi vinavyosababisha ugonjwa wa monkey pox kwa mara ya kwanza viligundulika mnamo mwaka 1958 katika jiji la Copenhagen nchini Denmark baada...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom