Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Hepatitis b (Homa ya Ini) ni maambukizi ya virusi kwenye Ini(Liver) . Ini likiambukizwa hatuna matibabu kamili na yakueleweka Tanzania. Hepatitis (Homa ya Ini) imekuwa tishio kwa miaka hii na hasa...
3 Reactions
139 Replies
80K Views
Hii homa imenianza tangu Mwez wa 3 sasa lakini kila nikitumia dawa inakataa nimetumia kila aina ya cream.naombeni msaada.
1 Reactions
40 Replies
7K Views
Wadau nisidieni,mimi nina tatizo la kujaa gesi tumboni mara kwa mara,kitu kinachosababisha kujamba sana na hii hunipa angalau unafuu kwani nisipofanya hivyo huumwa tumbo vibaya na nafuu yangu...
0 Reactions
95 Replies
74K Views
Wakuuu mko poaa Nikiwa napiga piga story na wanaume wenzangu wanaibuka na kudai wao bao la kwanza bila ya zaidi ya dk 60 halitoki. Kuna bro wangu na yeye anasemaga ivo, akichakata bao la kwanza...
22 Reactions
120 Replies
20K Views
Habari wadau wa Afya? Ni hospital gani nzuri kwa ajili ya kutahiri(Circumcision)mtoto wa mwaka mmoja? Kwa njia nzuri sijui wanabandika mpira[emoji2368]
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Habari, Naomba kujua ni hospital gani nzuri ya kujifungua kwa Dodoma mjini…ni mgeni kwa Mkoa wa Dodoma… Natumia bima. Asanteni
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Nimekaa naye kwa takribani miaka 12 sasa, ni msafi sana na sijawahi hisi harufu hiyo. Nikawa hadi napiga deki kuenjoy papuch sijawahi fanya hivi kwa mwanamke yeyote. Nilipohamia mkoani kikazi...
4 Reactions
55 Replies
6K Views
HABARI WANA JF, Naomba Kufahamu Kwa Mwanamke Aliyetoa Mimba kwa Kutumia Vidonge Vya Kutolea Mimba Na Kupata Bleed Isiyo Kata Zaidi Mwezi Nzima Naomba Kufahamu.👇👇👇 1.Nini Chanzo. 2.Madhara...
1 Reactions
53 Replies
7K Views
Tulianza kama mchezo, kuitana popobawa na hatimae tigo ikaliwa. Huo mchezo umeendelea na hatima ameona ni muda wa kuzaa sasa. Changamoto iliyopo ni madhara "tunayo sikia sikia" Kuwa kama ulikuwa...
3 Reactions
54 Replies
9K Views
Habari wakuu, Huduma ya meno bandia inapatkana wapi? Na vipi kuhusu gharama zake kwa meno ya mbele?
1 Reactions
36 Replies
8K Views
Habar wa JF, Nauliza mwenye kujua dawa ya muwasho uken unaoambatana na kutokwa na uchafu mweupe.
5 Reactions
29 Replies
8K Views
Hivi nywele kuwa za rangi ya brown ni ugonjwa au ni nini hiki. Na huwa mnaondokana vipi na hili tatizo maana usipochana unaonekana kama mtu wa jalalani.. Kupaka superblack ndo kitu sitaki hata...
6 Reactions
56 Replies
6K Views
Jamani kuna kitu nashindwa kuamini, je, ni kweli kuna baadhi ya mazoezi huongeza hipsi na tako kwa wanawake? Na vipi wakiacha kufanya hayo mazoezi izo hips na makalio waliyoyapata kupitia mazoezi...
3 Reactions
49 Replies
6K Views
Watanzania wengi wamekuwa wakiumizwa na changamoto za vijana wao kujiingiza kwenye matumizi ya dawa za kulevya na kujikuta wanapoteza malengo yao ya kimaisha kama vile kupata elimu, kuwa na maisha...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Wazo Potofu: Magonjwa yote ya figo ni hatari. Ukweli: La, magonjwa yote ya figo si hatari. Yakitambuliwa na kutibiwa mapema, magonjwa mengi ya figo yanaweza kuponywa. Kwa mengi, utambuzi na...
7 Reactions
13 Replies
3K Views
  • Closed
Habari Wana jamvi naombeni msaada wenu,
3 Reactions
27 Replies
7K Views
Habari wana bodi, Nilikuwa sijafanya naye mapenzi zaidi ya mwezi mmoja kila mmoja akiwa na hamu na mwenzake. Nilishangaa baada ya kumuaanda na kuzamisha uume ndani kama vile papuchi inajambaa na...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Unataka kufanya usiku wako kuwa poa kwa maana ya kuwa na wakati mzuri unapolala basi kuna vitu vya kuzingatia tangu asubuhi unavyoanza siku yako ili uweze kuimaliza siku yako vizuri kwa kuwa na...
10 Reactions
22 Replies
2K Views
Nimebahatika kupata mdada huko nyuma alishawahi kuolewa akapata watoto wawili. Ni muda mrefu hajapata ujauzito. Mimi pia nataka nimjaze fasta. Mitaani wadau huwa wanadai karanga mbichi huwa...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Mashahidi wa yehova(jehova's witnesses) ni kundi la kiimani kama yalivyo makundi mengine mfano waislamu, wakatoliki na waprotestanti.kundi hili ni maarufu katika suala la uongezwaji damu.kwa...
1 Reactions
42 Replies
15K Views
Back
Top Bottom