Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Wakuu, naombeni ushauri wa kitaalamu, mpenzi wangu alijifungua mwezi Januari mwaka huu. Mwezi wa 4 katikati akaomba game kwani ameimisi muda mrefu(hatuishi pamoja). Ajabu mwezi huu hajaona siku...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
wataalamu naomba ushauri wenu,nilifanyiwa kipomo cha OGD kama mara mbili ikaonekana ninashida ya Slide hiatus hernia with Gerd, then nikawa recommend kufanya Barrium Swallow kabla ya operation...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Muuguzi (Nurse) ni nani? Anafanya kazi gani haswa? Anautofauti gani na wahudumu wengine wa afya?
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Salamu Kwenu Wakuu, Mdogo wangu huyu wa Miaka 21, kakumbwa na tatizo hilo mwaka wa pili saivi tangu tatizo limuanze ni vidonda viko kichwani mwake ambavyo kuna muda vinakua vibichi kuna muda...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mei ni Mwezi wa Ufahamu wa Afya ya Akili. Mental Health ni muhimu katika kila hatua ya maisha, yaani kuanzia Utoto, Ujana hadi Utu uzima. Afya ya Akili sehemu muhimu za Afya kwa ujumla kama ilivyo...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Full blood picture in display Viral Load kwa maabara zetu za bongo?? Au ni vipimo viwili tofauti??
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ninaomba kuuliza, eti ulaji wa udongo kwa wanawake kunaweza kusababisha bawasiri? Maana kuna dada angu analalamika kuwa anaona kama kinyama kidogo kimeota sehemu ya haja kubwa, nae ni mlaji mzuri...
0 Reactions
1 Replies
875 Views
Habari zenu wakuu, Naomba mwenye uelewa au mtaalamu wa mambo ya magonjwa ya macho anisaidie hili. Hapo juzi kati niligundua kuna kauvimbe kadogo ndani ya macho yangu ambacho hakana maumivu...
0 Reactions
23 Replies
10K Views
Mtindo wa maisha umekuwa chanzo kikubwa katika kusababisha magonjwa kwetu, ubusy wa kazi na urahisi wa maisha umefanya binadamu miili yetu kuwajibika kwa uchache sana, magonjwa kama kisukari na...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari Wana jamvi naombeni msaada wenu, nina tatizo la uvimbe kwenye Mfereji wa haja kubwa ( Mlangoni kabisa). Nimevumilia maumivu yamezidi kuwa makali; wakati wa kukaa, kutembea na mbaya zaidi...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Wakuu nawasalimu kwa jina la jamuhuri Shida yangu iliyonileta apa kutaka ushauri kwenu Ni kua Nina mwanangu miaka 5 juzi katika kumchunguza niligundua Kuna meno mawili yanaota ndani ya haya ya...
0 Reactions
2 Replies
547 Views
Doxycycline or Doxy is an Antibiotic used to treat various bacterial infections such as Cholera, Viral Infections, Infertility associated with STD, and more
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wadau? Kuna kijana wa 10 yrs. Mara nyingi sana anajisikia Kichefuchefu na kutapika hasa anapokuwa shuleni. Hospitali zote za maeneo ya jirani amepelekwa lakini, wanasema...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuuu salaam. Nina katoto kangu kanasumbuliwa na vidonda vya mara kwa mara, kwenye fizi na ndani ya mdomo. Amepelekwa hospital Mara kwa Mara. Akipewa dawa vinaisha kwa muda na kuanza Tena...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Multiple sclerosis: ni ugonjwa wenye sifa ya kuharibu ushikamanifu wa mfumo wa fahamu haswa kile kiwambo cha mafuta kinachoilinda mishipa ya fahamu. Mara nyingi ikitokea huwa inatokea bila...
2 Reactions
57 Replies
2K Views
FAHAMU TIBA YA MAUMIVU WAKATI WA KUFIKA KILELENI KWA MWANAUME. PAINFUL EJACULATION/PAINFUL ORGANS IN MALE. Ni ile hali ya mwanaume kuhisi maumivu wakati anafika kileleni/wakati manii yanatoka au...
1 Reactions
42 Replies
22K Views
Nina shida ya kupatwa na vidonda vya mdomo mara kwa mara, na sasa hata mtoto wangu wa miaka 10 namuona ameanza kuwa na tatizo la aina hii. Nini hasa tatizo? Naomba msaada wenu
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Eid Mubarak! Mamaangu anasukbuliwa na mkono wake, ameenda hospital kaishiwa kupewa vidonge anameza kweli maumivu yanapungua ila akishamaliza dawa maumivu yanarudi! Last time nilimwambia akafanye...
0 Reactions
5 Replies
642 Views
Habari wana JF, je kuna tiba mbadala/Asilia iliyohakikishwa inayoweza kutibu ugonjwa wa Kansa?
1 Reactions
44 Replies
19K Views
SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI? Ni mabadiliko hasi (yasiyo ya kawaida) ya chembechembe hai zilizopo kwenye shingo ya kizazi. Mara nyingi saratani hii ikiwa inaanza haionyeshi dalili yoyote hivyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom