Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Vijana naombeni msaada Mimi ni kijana Nina umri wa miaka 23 Lakini cha ajabu nasumbuliwa Na matatizo ya mgongo pamoja Na Shingo Nilikwenda hospitali walisema Sina tatizo lolote mgongoni Yaani...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari, Mara kwa mara nimekuwa nikitokwa na kipele kimoja au viwili kwenye ulimi ambavyo vinadumu kwa siku 3-7 kisha kutoweka vyenyewe, vinanipa maumivu sana kiasi hata cha kusindwa kuongea...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Miti inayo tuzunguka, ina nguvu nyingi sana za kiroho. Ukiwa na ufahamu juu ya nguvu za kiroho zinazopatikana ndani ya miti mbalimbali, basi maisha yako ya hapa duniani yatakuwa rahisi sana. Leo...
11 Reactions
54 Replies
114K Views
Wana wa Adam.Napenda niwape somo fupi kuhusu mtu kunya mavi magumu au ukosefu wa kupata choo.Kwa mwanamme yeyote anaepata choo kigumu au hapati choo japo anakula watu hawa huwa HAWANA NGUVU ZA...
2 Reactions
17 Replies
11K Views
Hi wana Jf, Mimi nina mtoto mdogo mwenye umri w a miaka minne (4), amekuwa akilalamika mgongo unamuuma mara kwa mara, je linaweza kuwa ni tatizo gani? kwani navyojua mimi ugonjwa huo ni kwa watu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
msaada, nasumbuliwa na mgongo na sifanyi kazi ngumu.nafuu yake niekewe kitu kizito cha kilo zaidi ya 50 niwekewe mgongoni ndio najisikia nafuu au MTU anikanyage kwa miguu. Mwenye uzito wa kutosha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Heshima yenu wote. Kuna kitu kinaumiza sana na mwisho wa siku tunaona kama Serikali ya Tanzania haiko Serious kuhudumia wananchi wake tena zaidi sana wafanyakazi wake wanatumia NHIF Jana nilienda...
2 Reactions
3 Replies
587 Views
Habari za muda huu? Nina mdogo wangu anatarajia kujifungua mwezi huu sasa tulifikiria kumpeleka hospital ya kwa Aman tupo dodoma, naombeni kwa anayefahamu huduma za pale za uzazi au aliyewahi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Anesthesiologist ni daktari bingwa anayetoa huduma ya kufanya mgonjwa asikia maumizo wakati anatibiwa, hasa wakati wa operation. Kwa marekani ni lazima awe na digrii ya MD au DO. Kuna mambo mengi...
3 Reactions
7 Replies
7K Views
CHEMOTHERAPY NA TIBA YA MIONZI MATOKEO DALILI Kukosa hamu ya kula, kutapika, kuharisha, upungufu wa damu, kupoteza nywele, wasiwasi ,kukosa usingizi, maumivu, uchovu, vidonda mdomoni, yeast...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Mara ya kwanza nilichanganyikiwa kabisa baada ya nguvu zangu za kiume kutoweka ghafla, yaani Uume wangu ulikuwa unasinyaa hata ukiwa ndani ya K, na nilipata tabu sana kusimamisha. Kumbe mchawi...
2 Reactions
11 Replies
6K Views
Nimekuwa na shida ya macho yenye uoni hafifu kwa miaka kama mitatu sasa siwezi kuona maandishi madogo hata nikitumia lenzi yeyote ya miwani nilienda CCBRT waliniandikia dawa nyingi lakini...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Taarifa za mwaka 2021 kutoka kanzi data ya wagonjwa iliopo Taasisi ya Saratani ya Ocean Road inaonesha kuwa Saratani zinazoathiri wanaume zaidi ni: Saratani ya tezi dume“Prostate cancer” (21%)...
1 Reactions
3 Replies
902 Views
Wakuu siku kama saba 7+ zilipita nilishiriki tendo na Dada mmoja kwa kutumia kodomu lakini baada ya siku mbili niliona Pumbu linauma hasa lile la kulia lilikuwa likivimba sana na kuuma kila...
0 Reactions
6 Replies
989 Views
Habarini wajomba, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninaomba kupata elimu kuhusu cancer iliyosambaa kutoka kwenye ziwa/titi kwenda kwenye ubongo na hayo maeneo mengine niliyoyataja. Kwa...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI.(CERVICAL CANCER) Saratani ya shingo ya kizazi ni saratani inayoanzia kwenye sehemu ya mwisho ya nyumba ya uzazi (cervix), pale sehemu hiyo inapoungana na sehemu ya...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Wanajamii, Ninaomba yeyote mwenye uelewa mpana wa huu ugonjwa wa kansa aje atupe mautaalamu hapa, kama vile nini chanzo, dalili zake, matibabu yake, hatua za huu ugonjwa, kinga yake, dawa na kila...
1 Reactions
20 Replies
7K Views
10 warning signs of cancer By Dr Nor Ashikin Mokhtar FOR some women, cancer comes hand-in-hand with another syndrome: denial. They may not want to face the reality that they have cancer, or...
3 Reactions
33 Replies
27K Views
Kama umekuwa ukisikia kuhusu ugonjwa wa kansa au saratani na ukawa unajiuliza ni nini ugonjwa huu wa kansa, pitia ukurasa huu ambamo tutatazama maana ya ugonjwa huu, chanzo chake, madhara...
9 Reactions
27 Replies
10K Views
Habari wana jamiiforum, kwanza kabisa namshukuru mungu kwa kunipa afya njema hadi muda huu, natumai na ninyi ni wazima, kama ni mgonjwa mungu akupe nafuu uweze kupona. nimeamua kuchukua nafasi...
5 Reactions
4 Replies
8K Views
Back
Top Bottom