Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Hello Great Thinker ,Pamoja na Madaktari wetu .Nina swali naomba kuuliza please. Kwenye family member tuna mgonjwa ambaye ameadhirika na ukimwi ,sasa ikifika usiku anakohoa sana sana ila mchana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu heshima kwenu, Nimechomwa na sindano yenye kutu, ilikuwa imechomekwa kwenye godoro nikaikalia imenichoma kiasi kwamba imeingia kama robo hivi, nilipoichomoa na kuangalia Ina kutu nyingi...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
  • Closed
Habarini za usiku wapendwa. Naomba mwenye kufahamu ni kwanini mtoto mchanga wa wiki moja utosi wake haudundi na je? io ni hali ya kawaida au ni tatizo kwa mwenye uelewa tusaidiane kupeana elimu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Aprili 27, 2022, Uingereza ilitoa taarifa kwa Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO) kuhusu kundi la wagonjwa wenye maambukizi ya bakteria wa Salmonella Typhimurium. Uchunguzi ulihusisha...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Mafuta ya MISKI Yatokanayo na Mnyama AL GHAZALI FAIDA ZA MNYAMA AL GHAZALI: 1.Faida ya kwanza ya mnyama huyu ni nyama 2.Faida ya pili hutoa mafuta ya misk Sasa basi leo tutazungumzia juu ya...
4 Reactions
72 Replies
94K Views
Mimba zabibu 'Molar Pregnancy' inaweza kusababisha matatizo makubwa, ikiwemo mabadiliko mabaya yanayokaribia kuwa saratani (malignant change). Wagonjwa wote lazima wafuatiliwe kwa muda mrefu ili...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Jamani nimekuwa Na matatizo ya kujamba Mara kwa Mara Na nikijizuia lazima nijiisi matatizo ya tumbo Nilienda hospitali walisema ni gess tumboni nilipewa vidonge lakini bado tu na nyombeza...
8 Reactions
39 Replies
3K Views
Mimi ni wale tuliozaliwa miaka ya mwishoni mwa awamu ya kwanza ya utawala wa mzee Mwinyi. Kwa maana hizo tumeingia miaka ya 30 ama third floor hivi karibuni. Mojawapo ya changamoto nazokabiliana...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
CT Scan (Computerized Tomography Scan) ni aina ya kipimo cha kuchunguza tishu na ogani za mwili kwa kutumia mionzi ya X-ray. CT scan huweza kupima sehemu zote za mwili, kuanzia kichwani mpaka...
16 Reactions
44 Replies
29K Views
Tafadhar Shufu Kichwa cha Habari Hapo Juu. Nimekutana na Mwanamke Wiki 2 Mfululizo Nikijua Atanasa Kwan Alikua Kwenye Fertility Dys,, Chakushangaza Amenijibu Alikua Akinawa Nakutoa Manii Zote Uken...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zanguni habari, Mimi nimekutana na mdada ila ktk purukushani nikawa namnyonya maziwa, gafla akaniambia ameathirika na hapo nilikuwa sijamfanya ila nimemnyonya na kumshika ukeni kwa mkono...
9 Reactions
96 Replies
5K Views
Watu wanasema mficha maradhi kifoo huumbua ..mwanzo nilijua ni mihemko tu ya ujana na umri utakavyozidi kwenda mambo yatakuwa tofauti lkn sasa umri umeenda na kasi imekuwa n 5G,hii kitu ni balaa n...
10 Reactions
64 Replies
6K Views
Kuna Mtoto alizaliwa mwaka 2009 wazazi wake walikuwa waathirika na walifariki miaka minne baadae. Mtoto inasemekana hakupata maambukizi wakati wa kujifungua . Mtoto Sasa hivi yupo darasa la saba...
2 Reactions
47 Replies
4K Views
Ukuaji wa tishu mpya mwilini (Neoplasia) ni uvimbe usio wa kawaida ambao ukuaji wake haujaratibiwa na tishu za kawaida na huendelea kuleta mabadiliko. Mara nyingi vimbe hizi hujulikana kama...
3 Reactions
2 Replies
926 Views
Naombwa kujuzwa kisayansi hii imekaaje mpaka kisimi/ kinembe kinakuwa na sexual arousal kubwa? Na hasa unapokisugua na kichwa cha uume? Tafadhali tusaidiane kisayansi ili tudumishe mahusiano yetu.
5 Reactions
11 Replies
8K Views
Habari zenu wanaJf, Hivi ukitaka kusafisha tumbo kwa njia ya (kuharisha) kuna dawa gani au kinywaji gani kinafanya hio kazi haraka zaidi?
13 Reactions
318 Replies
99K Views
Wakuu salaam, Ni week Sasa NASUMBULIWA na goti limevimba vimba linauma alaf limekaza hata turning ya mguu kutembea imekua tatizo nachechemea tu. Nimechuliwa na kuchuliwa ila ngoma inalegea...
0 Reactions
3 Replies
696 Views
- Huwezesha kujua hali yako kiafya: Vipimo vya mara kwa mara hupelekea mtu kuwa na taarifa muhimu zitakazomsaidia kufanya maamuzi sahihi kuhakikisha ustawi wa Afya yake - Husaidia kubaini...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimelileta hapa kwenye Jukwaa la JF tusaidiane, Rafiki yangu ana mimba ya two weeks na Siku kadhaa hivi nataka kufahamu atapata mtoto mwaka huu au mwakani January coz Mimba imeingia 26 or 27...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Ndugu zangu naomba kuelimishwa utofauti wa CT scan na MRI
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom