Yaani nasemea kwa hawa wauza sumu ya panya huku mtaani /stendi kwenye matangazo ya biashaya yao utakuta anatangaza dawa ya muwasho maupele fangasi na sumu ya panya.
Je!kwa hizi dawa za muwasho...
Habari hapa Wandugu!
Kuna kauli ipo ya kwamba ukiachana na lile goli la kwanza la mbegu za kiume haya mengine yanayofuata hayawezi sababisha kupata ujauzito kwa Mwanamke.
Je, ni Sahihi? Na...
Hivi wadau ni sawa kwa mwanamke mwenye mimba ya mwezi mmoja kuanza uvivu na kuumwa umwa!!
Naona mwanamke wangu ananiletea vipengele sana yaani tangu tujue ana mimba basi kazi zote za ndani ndio...
Frech kiss ama unaweza kuita kupiga mate baina ya wapenzi kwa sekunde 10 huweza kupelekea mbadilishano wa bacteria mbali mbali zaidi ya million 80.
Baadhi ya madhara yake NI pamoja na...
Wakuu Habari….
Nimekua na tatizo linalonisumbua kwa mda mrefu, nakua na hali ya kuwa na wasiwasi na kuogopa, inawezekana hata mtu akifungua mlango wa chumbani basi najikuta mapigo ya moyo...
Mdogo wangu alikua anawasha moto wa mkaa cheche za mkaa zimerukia kwenye mboni ya jicho sasa kamejitokeza kadoti keupe kenye ukubwa kama nukta(.)
Anasema anasikia maumivu kwa mbali.
Kwa taarifa...
Asali ni tiba karibu kwa kila ugonjwa, matumizi ya asali kama tiba kwa magonjwa mbalimbali ni kitu ambacho kinafahamika kwa karne nyingi zilizopita duniani kote.
Vitabu vingi vya zamani...
Kinga ya Maambukizi ya VVU ijulikanayo kitaalamu kama “HIV Post Exposure Prophylaxis” (PEP), ni kinga ambayo hutolewa mapema kwa kusudio la kuzuia hatari ya Maambukizi ya VVU.
Kinga hii...
Habari za jumapili wakuu,
Nilifanya mapenzi na mpenz wangu trh 24/11/2016 baadae akasema ana mimba, akailea na amejifungua leo trh 30/07/2017, lakini kwa hesabu zangu miezi 9 bado haijatimia, pia...
Nimefanya mapenzi na mwanamke wangu katika siku za hatari, baada ya siku kadhaa hivi anaonesha dalili fulan hivi ambazo sielewi kama ndiyo tayari kashanasa au vipi.
Analalamika maumivu ya tumbo...
Habari wana JF. naomba kujuzwa katika hili
Nilipata likizo na nikaona niende kwa kaka angu
Na kufika mambo yalikua safi.
Lakini hapo nilipo fikia kwa kaka angu ana jirani ake
Na jirani ana watoto...
Habari,
Naomba msaada
Nimetoa uchafu kwenye sikio siku nne zilizopita.
Nahisi nimetoa uchafu kupita kiasi sasa sikio langu hadi leo halisikii vizuri linanipa shida sana.
Habari zenu wanajamvi, naandika haya nikiwa nahofu kutokana na hali ninayohisi; nahisi mwili kupungua mwilini, nahisi baridi tofauti na awali bila mabadiliko ya hali ya hewa.
Nilishawahi kuleta...
Kichwa cha habari.. kinajieleza.
Naomba msaada wa kitabibu. Nilipata amiba kama mwezi sasa.. nikanywa dawa... nikapona.. lakini sasa... napata choo chenye damu mbichi na iliyo ganda. Ingawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.