Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Wakuu mfano mtu kapata HIV leo alafu baada ya wiki ukimpima itaonekana na Je baada ya hio wiki mkisex ata kuambukiza? Nawasilisha
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Je, inawezekana mtu akapiga chafya akiwa usingizini? Kama haiwezekani, ni kwa nini. JESUS IS SAVIOR
0 Reactions
2 Replies
490 Views
Hey doctors na wanajamii mi ni mwanafunzi wa chuo nasomea mba ila tatizo langu kila nikiwa darasani au najisomea natokwa na miayo sana tatizo ni nini? Ila nikiwa katika sehemu nyingine hata kama...
0 Reactions
16 Replies
21K Views
KARAFUU ni zao linalotokana na mkarafuu. Zao hili halimo katika kundi la vyakula wala vinywaji lakini ni kiungo na dawa muhimu kwa maisha ya binadamu. Zao hili lina matumizi mengi, ambapo...
6 Reactions
20 Replies
13K Views
Ule utaratibu wa kumuona tabibu mtaalamu wa afya ya Kinywa na Meno umekuwa hauzingatiwi na wingi wa watanzania. Wengi wamekuwa wakifika kuziba na kung'oa meno tu. Afya mbovu ya kinywa na meno...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Nina mtoto wa kike mwenye miaka minne. Alikatika meno ya awali(ya maziwa) Kama meno manne ya juu kwa sababu alitumia sana dawa za maji. Sasa hivi jino jipya linachungulia(linaota) juu ya fizi. Je...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Unywaji wa maziwa mtindi husaidia kuboresha afya ya mwili na kupandisha kiwango cha lehemu nzuri mwilini. Kaimu Mkurugenzi, ldara ya Sayansi ya Chakula ya Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari member wenzangu wa jf mm ni kijana wa miaka 21 ningependa kupata msaada wa tatizo hili linalonisumbua kwa takribani mwaka 1 sasa la kuhisi maumivu makali sana katika korodani zangu hasa...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
KUNA ATHARI GANI KUTUMIA MAYAI/NYAMA YA KUKU WA KISASA? . Kumekuwa na imani kwamba nyama au mayai ya Kuku wa Kisasa vina madhara mwilini. Madhara ambayo yamekuwa yakitajwa sana ni pamoja na...
2 Reactions
6 Replies
13K Views
1.Huongeza Kinga yako ya mwili hasa kupambana na magonjwa madogo kama mafua, na kikohozi kutokana na kuwa na vitamin C 2. Husafisha Mfumo wako wa chakula, kuondoa sumu mwilini na kuzuia tumbo...
6 Reactions
63 Replies
86K Views
Hakuna watu wanaojichukia kama hawa waafrika wenzetu waliozaliwa na vimkuyange vifupi(below 4inches) Wanapata taabu sana kwenye mahusiano na wanakuwa hawajiamini kabisa hata kwenye kula tunda...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Wataalamu huu ni ugonjwa gani mhusika anasema ahisi maumivu yoyote.
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Mwaka 2008 wakati naanza mwaka wa kwanza chuo nilikua na Malaria ya kujirudiarudia ambapo nilikua siwezi kukaa miezi mitatu bila kuumwa Malaria. Nilikua sina raha nikiwaza kuhusu huu ugonjwa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Watafiti wamebaini takriban 7% ya watu wote duniani hupata Kipandauso, na angalau 9% hupata maumivu ya kichwa siku yoyote Prof. Lars Jacob Stovner wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari Wana Jamii Forum? Mimi huwa napatwa na Hali ya kusikia Mdudu kama inzi akivuma sikioni wakati kukiwa na makelele mengi ila kelele zikiisha hali inakuwa shwari. Na tatizo hili haliambatani...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Picha inajieleza, wahpliotengeneza hii watuambie Ni hatari kwa nani Kwanini iitwe hatari?
0 Reactions
6 Replies
821 Views
UKUAJI WA MTOTO AKIWA TUMBONI Hatua ya kwanza ya ukuaji wa Mimba au mtoto akiwa tumboni huanza tangu yai la mama linapokutana na virutubisho toka kwa baba ambapo hutengenezwa kijusi (zygote)...
4 Reactions
10 Replies
4K Views
habari zenu wakuu natumaini wote wazima humu ndani. ndugu yenu nimekuja kuomba msaada wa tiba au ushauli kwa yeyote mwenye uelewa wa tatizo langu maana najua humu kuna watalaamu wa mambo ya afya...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari docta Mimi nina mzazi wangu anasumbuliwa Sana na tatizo na Hernia nilipompeleka kupata matibabu siku ambayo anatakiwa kufanyiwa upasuaji akupimwa akukutwa na pressure kubwa (BP)...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu kumradhi, nina uhitaji wa hizi dawa kwa ajili ya mzazi wangu, mko niliopo nimetafuta sana hamna, tafadhali msaada!
0 Reactions
0 Replies
436 Views
Back
Top Bottom