Msaada jamani shemeji/wifi yenu anasumbuliwa na tumbo muda sana tumeenda hosptali tofauti wakashauri aache kinga za uzazi wa mpango.
Amecha na kupewa madawa tofauti tofauti lakini maumivu ya...
Mhali gani wana jamvi
Nini hupelekea kwa mwanamke alokwisha zaa kisha kupitisha muda mrefu bila kubeba mimba takriban miaka 14.
Sasa hivi anahitaji kupata tena mtoto lakini kila akibeba mimba...
Hivi ulishawahi kukutana na mwanamke akivua tu chupi inatoka harufu kali lakini kikwapa ananukia manukato? Je, ulishawai kutana na mwanamke mpo faragha ile kumuweka doggy style inatoa harufu kama...
Ndugu zangu madaktari wa jf nina shida kila nikila nyama nyenye mafuta nakua naharisha sana.
Mfano jana nimekula nyama ya mbuzi iliyopikwa mchuzi nimeharisha mpaka damu.
Naombeni msaada jamani
Wakuu polen na kazi mingi!Ee bwana mimi natafuta dawa ya mtoto mdogo wa umri wa mwaka mmoja na miezi mitatu ya kumpa apetite.Mimi mwanangu ni mvivu sana wa kula anaweza kukaa siku nzima bila kula...
Leo nimefika hospital ya taifa Muhimbili kufanya kipimo cha Ultra sound,kwa kweli hali niliyoishuhudia ni ya kusikitisha kwani wagonjwa wamekuwa wakikaa muda mrefu bila kupatiwa huduma.
Wagonjwa...
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo Prof Janabi amesema kula futari nyingi wakati wa magharibi kunasababisha mshtuko wa moyo.
--
Katika mwezi huu wa Ramadhan familia nyingi nchini na duniani kwa...
Habari ya kwenu wanaJF.
Kwa kweli nimepatwa na majonzi makubwa leo baada ya kupata taarifa kutoka kwa daktari kuwa taarifa ya ultra-sound inaonyesha mwanangu niliyekuwa nikimtegemea kuwa...
Habari wadau wa jamiiforums
Habari zenu,
Naomba kujuzwa
Kama umewahi kutumia unga wa ndizi kitarasa.
Napenda kuomba kujua ulikusaidiaje kiafya?
Au una uonaje?
Tafadhali wadau nisaidieni.
Wakuu zaa saa hizi nimepimwa figo, kibofu ini ila vyote havina shida kwa mujibu wa ct scan wakapima mkojo pia hauna shida ila sasa ninakojoa damu siku ya tatu.
Naombeni msaaada kama kuna mtu...
Poleni na majukumu wataalam. Nina ndugu yangu kalazwa ila ana upungufu wa damu ila hataki kuongezewa damu naweza kumfungulia kesi na ikitokea doctor kamwongezea kwa lazima sheria itamlindaje doctor.
Habari wana jf ningependa kuuliza kidogo
Hivi kwa mfano mwanamke awe na tatizo la homone imbalance linalomsababishia kuanza hedhi mapema huku siku nyingine ikikata mapema baada ya siku 2-3 na...
Ndugu zanguni samahanini humu najua kunamadokta na wataalam wa afya,naomba kueleweshwa,
Mke wangu anatokwa na maji maji ukeni mazito kama usaha meupe / rangi ya maziwa, akienda hospitali...
Habr gani Wana jamvi?
Natumai mu wazima wa afya........
Leo napenda kushire nanyi Jambo hili ambalo nahisi wengi Lita washangaza kidogo.
Nianze kwa kuwasumilia kidogo matukio kadhaa ambayo...
Habari,
Naomba msaada mimi nikikojoa mwishoni zinatoka shahawa na hapo uume unakuwa haujasimama na wala sina hisia za mapenzi kabisa kwa wakati huo.
Je, ni ugonjwa niwahi hospitali au lah maana...
Maziwa ya ng’ombe ni mojawapo ya chakula kilicho na virutubisho vingi vinavyofaa kwa afya ya binadamu. Pamoja na ubora wake huu, aina hii ya maziwa haifai kwa mtoto mwenye umri chini ya mwaka...
Wataalam wanashauri unywaji maji mengi, lakini ukweli ni kwamba yaweza kuwa hatari kubwa.
- Yadaiwa maji huongeza uwezo wa kufikiri na kupunguza maumivu ya kichwa
- Wataalamu wanahoji athari za...
Nina kidonda ambacho kilianza kama kipele kinacho washa sana baade vikaongezeka nakuwa kidonda kinacho toa majimaji hakiumi ila kinawasha, nimeenda hospital last month walinipa dawa dozi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.