Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Njia 16 za kuondoa sumu mbalimbali mwilini Mwili unaweza kupatwa na sumu au takataka zisizohitajika na mwili kwa namna mbili, ama kupitia mazingira tunayoishi (viwanda, migodi nk) au kupitia...
18 Reactions
16 Replies
12K Views
Habari za muda wakuu. Nimesikia mitafaruku kadhaa mtaani inayotokana na wanandoa kupata watoto wa jinsia moja. Pia, nimesikia mara nyingi sana watu wakizungumzia ni mtoto/watoto wa jinsia gani...
2 Reactions
78 Replies
15K Views
Habari waungwana, Nasumbuliwa na vidonda vibich kwenye ngozi ya pumbu huwa vnatokea na kupotea vyenyewe baada ya mwez vnatokea tena kama lengelenge vile lililopasuka nahc n ugonjwa wa znaa msaad...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Faida ya Mafuta Ya Zaituni Olive Oil kwenye nywele. 1. Yanasaidia kufanya mzunguko wa damu kufanya kazi vizuri kwenye ngozi ya kichwa na kupenyeza hadi kwenye shina ya nywele kisha kuifanya...
0 Reactions
8 Replies
29K Views
Wakuu Heshima kwenu, Naomba msaada wa kuelekezwa ama kufahamishwa ni wapi naweza kupata Dakrari bingwa wa macho Mkoani Mwanza. Nina mwanangu wa kiume umri wa miaka 5 anasumbuliwa na macho kuliko...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanangu wameugua mapunye (vibarango) na nimetumia dawa nyingi bado naona hawaponi. Nitumie dawa gani ambayo haishindwi? SAME CASES: Wakuu kwa wale wataalamu naomba endapo kuna dawa kiboko ya...
1 Reactions
122 Replies
195K Views
Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine. Chakula anachokula mtu kinaenda sanjari na hali ya kiafya. Wengine huumwa hadi...
7 Reactions
14 Replies
4K Views
Kuna upepo wa Mafua na kikohozi unasumbua sana kuanzia January, February na sasa March! Familia nzima wanakohoa, kuanzia watoto wadogo, wanafunzi na hata wakubwa! Mara nyingi navyojua kikohozi...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari wana JF mwanangu yamemtoka mapele ya ajabu, Wife amempeleka hospital Jmosi na anatumia dawa Ila bado vinamtoka Naombeni msaada wenu Kwa anaeujua huu ugonjwa vizuri. Wengine wanasema ni...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakuu wa jamvi, Naomba kwa wenye uelewa wa kutosha juu ya aina nzuri ya mashine za kupima sukari anijuze. Nimeshanunua mara kadhaa aina mbalimbali ikiwa ni pamoja na One Touch (Select Simple) na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari za muda huu wakuu.. Bila kupoteza muda naomba twende kwenye mada, jina langu naitwa Juma Sangoma umri wangu miaka 30. Kuna tatizo moja linanisumbua sana, Kila nikishiriki mapenzi na mwenza...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Wakuuu nina dogo langu miaka miwili wa kiume kadudu kanatoa usaha itakuwa nini tatizo Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari WAkuu bila shaka muko salama Moja kwa Moja kwenye mada kuna Ndugu yangu wa Karibu sana jana jioni wakati wa Mazungumzo alinishirika jambo lake akasema hivi "siku za Karibuni nimekuwa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wataalamu, naomba niende moja kwa moja kwenye swali langu. Mwanzoni mwa mwezi wa saba wife akiwa na ujauzito wa miezi mitatu alianza kutoka damu ghafla na hatimae mimba ikatoka na wakampa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hedhi/ bleed ni jambo ambalo si geni kwa jinsia ke. Ninaomba msaada kwa anaejua hili. Mpenzi wangu ameingia hedhi mara mbili ndani ya mwezi mmoja tena kwa kipindi kifupi sana jambo ambalo si la...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ndiyo, kauli nzuri ya muuguzi huanza kutoa nafuu kwa mgonjwa. Nafuu ya kisaikolojia, humafanya mgonjwa ajihisi yupo sehemu sahihi na salama kuweza kutatuliwa shida yake ya kiafya. Kumkaribisha...
0 Reactions
1 Replies
777 Views
Habari za muda huu wakuu! Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwa wadau humu juu ya suala la mtoto ambaye yupo kwenye familia yetu, ni binti wa mwaka mmoja na miezi nane ana tatizo la kutokwa na...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu. Nina MTOTO umri awake ni miaka 2 na miez 6. Ameacha kunyonya miez 9 iliyopita. Tangu aache kunyonya amekuwa akisumbua kula chakula. .nimempima minyoo na Kufanya Ultra Sound. ...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Rafiki yangu amelazwa kwenye hospital kubwa kuliko hapa nchini. kabla ya kulazwa alianzia hospital ya mkoani wenyewe wanaziita za rufaa baadae akapewa rufaa kuja hospital moja yenye jina kubwa...
1 Reactions
2 Replies
415 Views
Wakuu salamu. Naomba kufahamishwa utofauti wa hivi virutubisho Kati ya xpower coffee na xpower capsule kipi ni kizuri zaidi ya mwenzake na kipi mtu unaweza kukitumia pekee yake. Naomba kujulishwa.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom