Wanabodi kwa asiyejua PEP ni dawa za kuzua maambukizi ya ukimwi ikiwa umefanya ngono na mtu aliyeathirika na ukimwi ama kama kwenye hatari ambayo itakufanya huwe exposed na vvu.
Basi bana week...
Salaam wakuu,
Naomba kujua,maziwa ya mbuzi Yana sifa sawa na maziwa ya ngo'mbe?
Nasikia mbuzi wanakuwaga na magonjwa mengi zaidi ya ngo'mbe,Lina ukweli wowote?
Naomba kwa wenye uelewa...
habarini wana Jf
Baada ya pitapita humu jamvini nilikutana na mtualicomment kuhusu kutumia olive oil katika kutibu tatizo la uume kusimama, sikumbuki maelekezo yake ila ndio nimenunua hiyo hayo...
Habarini ndugu zangu, naomba ufafanuzi kidogo pale figo zinapofeli kushindwa kufanya kazi,....na baadaye mgonjwa kuanzishiwa tiba ya kuwa anachujwa damu ili kuondoa uchafu mara tatu kwa wiki...
Habari zenu humu ndani.
Mimi nina tatizo kitaalam linaitwa varicoceles. ( left varicoceles) limegundulika baada ya vipimo vya ultrasound.
Nimeelezwa kuwa tatizo hili ndilo linanipelekea mimi...
habari madokta kwanza niseme sikuwahi kabisa kupata tatizo la kuwashwa macho kabla ila nina kama wiki macho yanawasha yalikuwa mawili nikatumia dawa kadha moja limeacha limebaki moja linawasha...
Habari ya muda huu wakuu....
Kuna huu upele ninao mikononi na sehemu kadhaa za mwili, ni mkavu hauwashi wala hautumbuki yaani umekuwa ni kama sehemu tuu ya ngozi yangu nikiamini kuna siku...
Habari zenu wakuu,
Niende kwenye lengo moja kwa moja nimebahatika kufunga ndoa kama miaka mitatu iliyopita lakini ndoa yangu mpaka sasa aikubahatika kupata mtoto wala mkewangu hakuwai kushika...
Nawasalimu wote wana JF.
Mwanzo kabisa nilishaletaga tatizo langu humu JF kwa msaada zaidi "Social Anxiety Disorder" sasa ndugu zangu naona hili tatizo linaenda mbali sana, kwasababu wakati...
Habari wakuu, Shaloom shaloom, Bwana yesu asifiwe, Aslaam aleykum Walamaturah wabarakatuh,
Ndugu zangu Nina mtoto wa Miaka 4 amekuwa akikohoa sana kwangu Mimi nilijua pengine ni kikohozi cha...
Habari za asubuhi Wana JF natumaini wengi ni wazima wa afya wengine tunachangamoto ndogondogo za kiafya .Ngoja niende moja kwa moja kwenye shida yangu.
Toka jumamosi jioni nahisi maumivu ya...
Kama kichwa cha habari kinavyooneka,kuna ndugu yangu ana tatizo la pneumonia limemsumbua muda mrefu na hajapata relief au kupona japo ametumia dawa kadhaa km amoxilin,amoxiclave(spelling huenda si...
Habari wanajukwaa hili la Afya.
Nina dada ambaye anasumbuliwa sana na hali ya kubanwa na pumzi na kushindwa kuongea. Mara ya kwanza alinitumia sms kuwa halu yake ni mbaya anashindwa kupumua na...
Binafsi naamini ulaji wa kachumbari iliyoandaliwa na mtu nisiyemfahamu ni kukaribisha magonjwa ya kuambukiza. Ikiwa muandaaji si msafi au kwa ajali amejikata wakati wa kuandaa na ukizingatia...
Habari Wana JF.
Tunajua shahawa zina contain elements nyingi zikiwemo protini na sugari.
Sugar na protein kila Moja inafaida katika mwili wa binadamu, kwa upande wa sugar YENYEWE hutupa nguvu...
Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa TZ.
Nilikutana na mwanamke kimwili kuanzia tarehe 20 mpaka 23 yaani alikuja getho tukawa pamoja kwa siku hizo.
Ila anadai aliingia period...
Habarini za Asubuhi wanajamvi?
Matumaini yangu mtakuwa mpo salama.
Ndugu yangu alipata misukosuko hii ni baada ya yeye kukamata na police katika harakati za maisha.
Walimpiga sana kwenye miguu...
Hello jf doctors,
Kuna jamaa kapata accidents hapa,Sasa katika maelezo ya daktari tunaambiwa mfupa was sikio la jamaa umesagika sasa, shida yangu ni kuelewa je, sikio lina mfupa?
Uso wangu upo rafu sana..nina mba sana na nimeshatumia antifungal creams za kila aina ila bado mambo bado,hata za kumeza pia kama fluconazole,itraconazole lakini mba unaisha na uso unakaa vizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.