Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habari wanajamvi? Mke wangu amekuwa anasumbuliwa sana na kuwashwa sehem zake za siri, na kuna kipindi ilifikia akawa anatoa uchafu mweupe una harufu mbaya. Baada ya kufatilia ikaonekana ni...
4 Reactions
23 Replies
5K Views
Naomba msaada nahitaji dawa ya MESTEROLONE 25mg au proviron , mwenye kujua duka ninaloweza kupata au pharmacy ninayoweza kupat au km yy anaweza kufanya niipata tuwasiliane au anuelekez maan...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wanawake wameshauriwa kuacha mara moja kuweka dawa za kuongeza hamu ya ngono ambazo hazijapimwa na wataalamu katika sehemu zao za siri, kwa kuwa wako katika hatari kubwa ya kupata saratani ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wananchi wanashauriwa kufanya vipimo vya magonjwa ya figo angalau mara moja kwa mwaka, ili kupunguza hatari ya utambuzi wa magonjwa hayo katika hatua za hatari. Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Figo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam Wana jukwaa, Sikio langu la kushoto zaidi ya wiki Sasa linakua Kama linapiga kengele,utadhani nimewekewa wale wadudu wanaitwa nyenze(wale ambao zamani utotoni tulikua tunawakamata na...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Mtoto amekuwa akipata tatizo la kutoka damu puani mara kwa mara. Kumekuwa na maoni tofauti wengine wakisema ni hali tu ya kawaida. Ninachotaka kufahamu kutoka kwa Daktari au Wataalamu ni hatua...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Wiki moja na nusu nyuma niliumwa na nnge nikamuona kabisa nikamuua nikaendelea na mishe zangu Mimi ni fundi ujenzi ndo kazi yangu si unajua tena ukiwa kitu kinakupata mara kwa Mara huwa huna wasi...
2 Reactions
5 Replies
883 Views
Upandikizaji wa uroto ni tiba ngeni katika nchi zetu za ukanda au bara la Afrika na kwasasa unapatikana nchini kwetu. Uroto ni nini? Uroto ni tishu zinazo patikana katika mifupa mirefu kwenye...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari za muda huu Tena... Naomba kwa watalamu kwa majibu hayo ya kwenye kipimo yanamaanisha nini?
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari za jioni ndugu zangu, Naomba kwa mwenye ufahamu juu ya upasuaji wa hernia ya kifua anisaidie. Pia hospital ya uhakika wanayoweza kufanya huo upasuaji
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Should You Hold in Your Farts? Medically reviewed by Cynthia Taylor Chavoustie, MPAS, PA-C — Written by Erica Cirino on May 20, 2020 Is it bad or healthy? Side effects of holding it in...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Hope mko salama Nina mpenzi wangu yaani ni kati ya wale wanawake wenye damu baridi yaani hana joto kabisa wa baridii. Kwa hiyo hata tukiwa kwa bed no ladha kabisaaa sema namsifiaga tuu ila...
7 Reactions
67 Replies
5K Views
Wadau mimi ni mtumiaji sana wa Azam Energy drink ile ndogo ya 600. Kwa siku nakunywa ata 3 kuendelea..na nikiwa nafanya kazi nikinywa huwa najiskia fresh sana na uchovu unakata nasikia ina madhara...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Nilipata ajali miaka 4 iliyopita ya mguu sehemu ya goti ilipelekea ni fanyiwe upasuaji mkubwa maana na kumbuka nilipigwa nusu kaputi kwenye mida ya saa 1 asubuhi Ila kuja kuzinduka ulikuwa saa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, toka mwaka Jana nimekuwa nakabiliwa na tatizo la oxygen kuwa chini (circulating) kila nikienda hospitali nikipimwa iko 82 mpk naogopa Yani,nilikua naishi mkoa wa joto mwaka...
4 Reactions
11 Replies
899 Views
Benefits of Drinking Camel Milk Camel milk is extremely nutritious and absolutely safe for consumption. It is believed that people who drink camel milk on a regular basis are less prone to...
8 Reactions
43 Replies
30K Views
Ikiwa mume anayo hiyo homa, anaweza kushiriki tendo la ndoa na asimuambukize mkewe? Pia kuhusu uzazi, anaweza kumpa mkewe mimba na mtoto kuzaliwa salama bila kurithi ugonjwa?
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Dawa gani inaweza kusaidia kupunguza mivumo ya sauti sikioni na kuongeza usikivu? NB: nina tatizo la usikivu almost mwaka wa tatu hali inazidi kuwa mbaya sana.
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Historia inatuonesha kuwa ugonjwa wa UKIMWI uliingia katika nchi yetu mnamo mwishoni mwa miaka ya themanini na kushamiri mwanzoni mwa miaka ya tisini. Kipindi hicho ugonjwa huo ulikua ni hatari...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Ndugu habari, Ni mwaka wa pili sasa ninahangaika kutibu korodani bila ya mafanikio. Zimekuwa zikiuma ile staili ya siku za baridi au kama umesimamisha dudu halafu hukuipa haki yake(kufanya...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Back
Top Bottom