Anae faham matibabu ya Syphilis anijulishe kama kuna additional drugs maana mimi nimeisha tumia Benzathine penicillin kuwatibu wagonjwa hasa hawa wa ANC imedunda, na wateja wengi unawachoma hiyo...
Habari wakuu natumai mu wazima
Dhumuni la posta ni kwamba
Napata wasiwasi sana kutokana na changamoto ninayopitia
Iko hv, kuna kitu kinaitwa ( POSTAL NASAL DRIP) hii ni ile hali ambapo unahisi...
Habarini wanajf, nina mtoto ana miezi 7, lakini ukuaji wa kitovu chake unanichanganya, alivyozaliwa alikuwa na kitovu kidogo lakini kadri anavyokuwa naona kinaongezeka hususani akiwa anajikamua...
Stori kuhusu chumvi:
Tunapata chumvi nyingi kwenye vyakula vyetu siku hizi. Chumvi nyingi itasababisha shinikizo la damu, uvimbe, matatizo kwenye kibofu cha mkojo, matatizo ya moyo na orodha...
Zifuatazo ni njia 4 za kugundua kama mtoto ni wako ua kwa wanawake kugundua baba sahihi wa mtoto
1. SIKU YA KUPATA UJAUZITO
Hi Mara nyingi huangaliwa kwanzia siku ya kwanza ya mzunguko wako wa...
Za jioni wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyosema naomba msaada kwa anayejua gharama na sehemu gani wanatoa hiyo huduma!
Pia mawasiliano kama unayo ya huko wanakotoa hiyo huduma !
Natanguliza...
Wakuu habari za asubuhi?
Ni muda wa miaka miwili sasa nimekuwa nikisumbuliwa na huu ugonjwa wa ngozi ujulikanao kitaalamu kama dermatiris au eczema. Nishaenda hospital zaidi ya mara tano na...
Nikiamka na kuanza kutembea au nikikaa muda mrefu na kuamka husikia milio katika mifupa yangu.
Ni miguuni ama mikononi au hata shingoni.
Ni tiba ipi inatibu au kurudisha ulaini?
Ukuaji wa haraka wa Miji na mabadiliko ya mitindo ya maisha kumesababisha mabadiliko katika Mifumo ya Lishe, na kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) watu wengi sasa hawali Mbogamboga na...
Miaka ya hivi karibuni kumeibuka kwa wimbi kubwa sana la vijana na watoto kuandamwa na matatizi ya maumivu ya migongo na uti wa mgongo, ingawa maradhi haya yanatibika ila imekuwa tofauti kidogo...
Habari za Mchana wana JF,
Kama ambavyo Title inajieleza, nina tatizo la kupatwa na maumivu kwenye maungio ya vidole na miguu nyakati za baridi kali. Ninaomba kufahamu hilo ni tatizo gani na pia...
Habari jukwaa la afya natumai mpo salama ndugu zanguni,
Naomba kufahamishwa hii kitu,
Jana bibie nikimaanisha Shemeji/wifi yenu kanipigia simu kanieleza anatatizo, anapata choo kikiwa na damu...
Jamani haya matangazo yamekuwa mengi sana kwenye mitandao. Dawa za kuongeza urefu na unene mpini. Kama huelewi kwa kiswahili tashdidu tunaita uume.
1. Je ni kweli zinafanya kazi?
2. Mabadiliko...
Members wenzangu wa Jf naomba kujuzwa juu ya tatizo la mkojo kutoa harufu kali ( FOUL SMELL) wakati wa tendo la kukojoa. Na je athari yake nini kiafya na kufahamishwa juu ya hoja niliyoitaja hapo...
Asalaam Aleikum Ndugu Zangu. Matumaini Yangu Mtakuwa Mnaendelea Vizuri Na Majukumu Ya Kujenga Taifa.
Kwa Ufupi Nimeambatanisha Dawa Inayoitwa EDGE Ambayo Kwa Mujibu Inasaidia Kurudisha Ute Ute...
Habarini za jioni wana JF.
Samahanini kwa Usumbufu ila yanipasa kulifahamu ili hakuna namna.
Mke wangu wa ndoa ni MAMA KIJACHO wa miezi 8, nina miezi sasa hatufanyi tendo kwa sababu amekuwa...
Habari za jioni ndugu zangu wapendwa wa mtandao huu wa JF kupitia Jukwaa hili mahsusi la Jamii Health. Naamini tuko hapa kwa ajili ya kuelimishana na kuongeza ufahamu wa mambo mbalimbali kwenye...
Habarini za asubuh wakuu,
Mimi ni muhanga wa kupiga nyeto maana kama mnavojua kuna muda mpenzi anakuwa mbali inabidi tujihudumie maana kwenda kuokota mali za barabarani sijazoe.
Sasa kinachonipa...
Hbr za usku wakuu
Msaada unahitajika kwa anaye fahamu dawa za kurudisha kumbukumbu kwa mtu mzima ambaye amepoteza kumbukumb.mam wetu kapoteza kumbukumbu na kusahausahu kila Mara au kuongea vitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.