Wana jamvi nadhani mtanichoka ila muendelezo wa maswali nayouliza yanamaana kwangu. Nadhani jinsi nitavyojibiwa na wataalamu mbalimbali humu hivi kuchelewa kutembea kwa mtoto kunatokana na...
Nilkua na uti kali.. nmetumia dawa takribani mwezi hazikufua dafu.
Leo baada ya kwenda hosptali nikashauriwa nipigwe sindano kwa dozi ya siku 5..
Sindano ndo leo nmechomwa moja naona dalili...
Habari wanabodi.
Nina hali flani ya kushtuka ninapopata taarifa ngeni, mwili unakosa nguvu, naharisha pia napata kichefchef hadi kutapika.
Badavya kuchek vipimo vingi nikaonekana niko sawa hivyo...
Wakuu salam,
ukitizama ongezeko la magonjwa kwa binadam, wanyama na mimea lazima utajiuliza kama hawa bacteria/virus walikuwepo toka zamani au lah, pia utajiuliza kama walikuwepo toka zamani why...
Habar wakuu nauliza hivi mtu mwenye virus vya ukimwi yaan anamaambukizi tayar na tayar yupo katika dose ama hivi karibuni ama mda mrefu je akipima Tena virus kipimo kitaonyeshaje kuwa no negative...
Ugumba ni hali ya wapenzi au mke na mume kutopata mtoto. Ugumba unaweza kua primary infertility yaani mtu hajawahi kubeba mimba kabisa tangu azaliwe au secondary infertility yaani mtu ambaye...
Mafuta ya Zaituni Olive Oil
Mafuta ya zaituni yana manufaa mengi katika mwili na maisha ya binadamu kwa ujumla kama ifuatavyo;
(1)Mafuta ya zaituni hutibu maumivu ya tumbo...
Sukari tunayoihitaji mwilini tunaipata katika vyakula tunavyokula. Chapati, majimbi, viazi, mkate vyote hivi vinatupa sukari. Unaweza kabisa kunywa chai bila sukari.
Wana historia wanasema...
Hbr ya x mass & mwaka mpya
Direct kwenye topiki,saa 9 usku wa leo
Nmestuka kutokana na kibaridi kati ya mapaja yangu ile kujigusa gusa
Naona nmejikojolea mkojo
Wa kawaida tuu alafu mwingi...
Habarini wandugu,, mim ni kijana wa kiume, tangu jana naona njia ya mkojo inaniuma na kuna wakati inatoa maji maji ya usaha nashindwa kujua nini tatizo, maana napata maumivu wakati wa kukojoa...
Habari za Majukumu wakuu na wahudumu wa afya.Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika.
Kuna Mwanamke ametumia clozole -B cream kama urembo usoni kinyume na matumizi yake na imepelekea uso...
Habari Wakuu, Natanguliza Shukrani
Mimi Ni Me Umri Miaka 33
Ni Miaka 6 Naishi Na Hili Tatizo Ila Kwa Sasa Mambo Yamenizidia
*Mwili Wangu Una Maumivu Makali Ya Ndani Kwa Ndani Hasa,Mabega...
Habari wapendwa poleni na maandaliz ya sikukuu! Nina mtoto mwenye umri wa miezi 4 anasumbuliwa na vipele vidogo vinavyotunga usaha kadri sku zinaend vinakuw vikubw kiasi, aliyepitia changamoto hii...
Jambo ndugu zangu
Mimi kuna tatizo siku hizi linanisumbua sana. Yaani siku hizi nafanya nikila chakula kidogo hata tonge moja la ugali nahisi chakula kinakwama hapa kwenye tumbo la juu kabla ya...
Naomba elimu juu ya hili tatizo linalonisumbua.Nilishauriwa niwe natumia mito miwili ya kulalia kutokana na tatizo la Acid Reflux.Baada ya mwezi likanianza tatizo la maumivu makali ya shingo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.