Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Hedhi anakaa siku 3 hadi 4, Mara nyingi kwenye siku anaingia kati ya tarehe 26, 27 na 28 kila mwezi. Je, kwenye mzunguko huu hapana tatizo?, je mzunguko huu ni wa siku ngapi? Je, kwenye...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari Wajuzi, ningependa kujuzwa haya:- 1. Hivi vipara ni kwa wanaume tu na sio wanawake? 2. Na ni kwanini? Natanguliza shukrani
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Kuna jamaa yangu kipara kinamnyemelea kichwani, anauliza dawa gani anaweza kutumia ili nywele ziote na kuzuia kisije!? Hair Growth Treatment for Men Men are prone to many conditions of the hair...
2 Reactions
105 Replies
94K Views
Hi, Sorry kwa mada isiyo na maadili. Naomba kuuliza, ni madhara gani ya kiakili,kimwili na kiafya ambayo mwanaume akikaa muda mrefu sana. At least miaka 5 au zaidi bila kufanya. Je kuondoa...
8 Reactions
156 Replies
18K Views
JE WAJUA?? Kuna kitu Wachina na Wajapan wakifanyaga kama tiba Na Kinga KINAITWA ''Onion Sock'' YAANI SOKSI ZA VITUNGUU, unakata kitunguu maji shepu kama duara, halafu unaweka chini ya unyayo wa...
19 Reactions
94 Replies
68K Views
Soya ina vitamin A,B,C,D,E na K. hakuna chakula duniani chenye vitamini nyingi kama hiki, soya ina protini ya ajabu na mafuta pia ambayo huifanya kuwa chakula pekee na safi. Uboreshaji wake wa...
4 Reactions
8 Replies
22K Views
Nimekua nasumbuliwa na tatizo la mkojo, yaani unabana sana nisipowahi kukojoa unaanza kutoka vitone tone hasa unapokaribia choo ndo balaa, Kama asubuhi nakua sijala wala kunywa chochote lakini...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Natarajia kuchanja chanjo ya COVID-19. Hivi inachukua muda gani mpaka kuanza kufanya kazi mwilini?
0 Reactions
2 Replies
833 Views
Mojawapo ya sehemu zinazohitaji uangalizi wa hali ya juu katika mwili wa mtoto ni utosi. Kitaalamu utosi unaitwa Fontanelle neno liliotokana na lugha ya kilatini (Fonticulus) ikimaanisha kitu kama...
6 Reactions
13 Replies
38K Views
Habari wakuu Napenda kujua Kuna madhara gani atapata mama au mtoto aliyetumbuno endapo mwanamke mjamzito akiendelea kufanya mapenzi huku akiwa na mimba ya miezi 6-9 .
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu, napenda niende moja kwa moja kwenye tatizo linalo nisibu Nimekuwa nikipata tatizo la kubanwa kwa moyo na kuvuta pumzi kwa shida, hasa kama ikitokea nikiwa nimelala itanibidi...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu habari, Naomba mniambie tatizo la mpenzi wangu kwani nimekuta vitu vyeupe ukeni kwake leo baada ya kusex nae. Huwa sishiriki nae tendo mara kwa mara sasa leo ndiyo nmeona vitu ivyo sijui...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Habari, Mimi nina tatizo la kutoka majimaji ukeni yanayosababisha kuwasha sehemu za mashavu ya uke hali inayopelekea kujikuna saana na kutoka vidonda. Nimeenda hospital napewa vidonge na dawa ya...
6 Reactions
40 Replies
24K Views
Ndugu wana jamvi,poleni na majukumu; Ninasumbuliwa na tatizo la katika njia ya mkojo yaani nikienda haja mpaka nitumie sio chini ya dakika 5 au 6 ndiyo mkojo uweze kutoka, tena hautoki wote...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari zenu wanajukwaa, Leo alfajiri nimeamka nikashangaa puani yanatoka majimaji Kama vile nosebleed lakini badala ya damu yametoka maji hayana harufu Wala hakuna maumivu puani lakini kichwa...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Amepata changamoto ambayo si ya kawaida, miezi miwili mfululizo hajaona hedhi, amepima mara kadhaa ujauzito hana! Lakini period HAKUNA, kwa wajuzi wa Mambo, atumie dawa gani? Alienda hospital...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za muda huu poleni na majukumu, Mimi ni mjamzito miezi 3 napata maumivu kwenye makalio yanashuka Hadi kwenye muunganiko wa makalio na mapaja kwa nyuma yani ni kama maumivu yanatokea...
4 Reactions
37 Replies
9K Views
Kiukweli binadamu ni wabishi sana. Yaani mtu ameathirika na VVU, akashauriwa kuanza kumeza dawa akakubali. Baada ya kumeza kwa muda akaacha. Sasa leo anatafutwa tujue tatizo nini ili kulinda afya...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari za wakatii huu Naomba kujua umuhimu wa hiyo kitu pichani inakazi gani au ina faida gani kwa wachezaji Ahsante
2 Reactions
2 Replies
899 Views
Habari wanajf nipende kuwakaribisha katika uzi huu unaohusu afya hasa wakati wa uzeeni 1)Shida ya kutoona vizuri Baada ya miaka 40 Watu wengi hupata ya kuona vizuri vitu vilivyo karibu na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom