Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Kwema wandugu,,,,,naomba kuuliza kitu hivi kuna tatizo au shida gan mtoto(kiume) wa miezi miwili akiwa anapata haja kubwa mara kwa mara. Msaada wa mawazo please. Sent from my SM-A260F using...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kupungua nguvu za kiume Uhusiano wa matatizo ya nguvu za kiume na presha ya kupanda ni mkubwa sana. Kwa nini kuna uhusiano mkubwa? Presha ya kupanda husababisha damu ndogo sana kutiririka ndani...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu kwahaya majibu vimistar viwili huyu mtu vip kaathirika au hajaathirika
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mtoto wa sister angu anaumri WA miezi 8 anakohoa na kupiga chafya Kwa vipind tofauti tumeenda pharmacy wametupa dawa hio inaitwa Dr cold ya maji wameendika vipimo tumpe mil 5 Kwa siku 5 kutwa mara...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu? Kuna mtu aliwahi nieleza dawa ya kufanya meno kuwa meupe kwamba unachanganya limau+ chumvi +vitunguu swaumu vilivyosagwa. Mchanganyiko huo Unachanganya na dawa ya meno kisha...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wadau na Wakuu heshima yenu, Naomba Kuuliza maswali ya Mtu nisielewa Kuhusu Afya na Kirusi, Naomba Msinicheke... Nahitaji Elimu wandugu. Naomba Kuuliza kwa wataalam: Hivi Kama Mtu hajachanjwa...
0 Reactions
3 Replies
641 Views
Wakuu, Habari ya kazi. Nilikuwa Bugando kwa ajili ya kufanyiwa kipimo kinachoitwa endoscopy. Matokeo yalikuwa kama ifuatavyo Esophagus – MILD DISTAL OESOPHAGISI 2”/HIATAL HERNIA Stomach -...
4 Reactions
227 Replies
298K Views
Habari za mida hii ndugu jamaa na marafiki, kama kichwa ha habari hapo juu kinavyojieleza, naomba kufahamishwa dawa ya sikio kwa yeyote anayefahamu. Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya sikio kwa...
0 Reactions
34 Replies
56K Views
Salaam kwenu wanajukwaa. Nimekuwa nikipatwa na tatizo la kujirudia rudia kusikia kama muungurumo wa mashine kwa mbali masikioni mwangu hasa hasa nikiwa eneo tulivu na peke yangu haijalishi...
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Juzi(Jumapili) nilihisi maumivu kwenye korodani ya kushoto, nikayachukulia poa maana sometimes korodani zinaumaga na kuacha zenyewe. Sasa toka Jana Hadi leo yaani korodani moja ya kushoto inauma...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari za jioni wandugu natafuta mwenye kujua dawa ya kutibu figo. Msaada wa haraka tafadhali. FIGO ZINASUMBUA SANA
1 Reactions
10 Replies
7K Views
Wakuu samahani kwa usumbufu nitaofanya au ambao utatokea Kwa muda wa karibia miezi mitano nimekua nasumbuliwa Na maumivu ya nyonga na nilipoenda hospitali nilikosa msaada Sasa nifanyaje ili...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mtu akiumwa malaria anapoteza hamu ya kula kila chakula hakipandi hasa vya mafuta mafuta.Kwa mfano ninameza alu/mseto na natakiwa Nile Sana nishibe. Je, unapendekeza nile Nini ili nisitapike dawa...
0 Reactions
9 Replies
615 Views
Acha uchafu. Watu sehemu za bata hawanawi mikono kila watokapo maliwato. Anakuja mezani anataka mgonge mikono ukiongea point. Mi ntakwambia gonga meza. Mazafantaz. Enjoy your sunday.
2 Reactions
4 Replies
438 Views
Kwa wanaojua naomba msaada kwa nini mtoto akizaluwa na miezi 8 yani wiki 32 anakufa wakati aliezaliwa miezi 7 anaishi vizuri tu. Ni kwanini wandugu mnao jua nijuzeni na mimi
1 Reactions
58 Replies
63K Views
nasumbuliwa sana na maumivu ya jino kwa anaejua tafadhali naomba anisaidie dawa.sitaki kuling'oa nahiyaji dawa tu
0 Reactions
0 Replies
762 Views
Kumekuwepo kilio cha muda mrefu toka kwa wadau juu ya ugonjwa huu na wengi wakitaka kupata majibu ya nini cha kufanya endapo wana maambukizi ya Hepatitis. Tumeonelea vema tuwe na mjadala juu yake...
1 Reactions
584 Replies
248K Views
Leo naomba nitoe elimu mujarabu itakayosaidia jamii kwakuwa mimi elimu hii nilipewa na mtu aliyetoa kama sadaka ama kafara hivyo sina budi na mimj kuisambaza. Elimu hii nimeitoa mbali nimeipata...
7 Reactions
25 Replies
5K Views
Wakuu poleni na majukumu , hivi hii hali ya sasa ya watu wengi kuumwa mafua,kifua na homa inatokana na nini jamani maana ukipita kila kila kona watu wanalalamika tu ,mafua ,kifua na homa. Maana...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Hivi kweli mtu anaweza kuwa ana ishi bila kujua kama ana matatizo ya akili? Mimi mwenzenu na shangaa saana watu wengi wananiambia kuwa awanihelewi kabisa yaani kuanzia maneno yangu mpaka vitendo...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Back
Top Bottom