Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Cheers to everyone around here! Naam tunamalizia mwaka, hopefully tutamaliza salama. Back to the topic! Nini hasa kinasababisha mimba kuhama ikae nje ya mfuko. Nini madhara yake ? Kuna uwezekano...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari wakuu. Nimekuwa nikinywa maziwa fresh tumbo linajaa gesi nakuwa najamba jamba ovyo tu,,hali hii ilikuwa hainitokei hapo kabla nilikuwa nakunywa maziwa mabichi baada tu ya kuyakamua kutoka...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Naombeni msaada wenu, Nina mtoto anakohoa sana usiku hasa kuanzia saa sita mpaka saa moja asubuhi. Ni wiki ya nne sasa nimempeleka hospitali dawa zote zimekataa. Ana kikohozi kile...
2 Reactions
43 Replies
42K Views
Ni vema wote tukapata ufahamu huu. Yafahamu makundi ya damu na mahusiano yake na magonjwa Kwa ufupi Katika tafiti za karibuni wanasayansi wamebaini kuwa kundi lako la damu linaweza kukufanya...
12 Reactions
47 Replies
70K Views
Hello dears, Nimekuwa napata maumivu ya mguu nyuma ya goti kwa chini kidogo kwenye mguu wa na hii hali huwa haitokei Mara kwa mara huwa inatokea kwa nadra yan inaweza tokea jumatatu ikaja...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Salaam wataalamu wa afya. Kama kichwa kinavyoelekeza naitaji msaada kuhusiana na anxiety disorder. Kwamba niwapi nawezafanyiwa diagnosis na gharama zake.
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Asalam Alleykum wana jamvi hili tukufu. Naja hapa nami ili kuleta tatizo langu linalonikabili kunako uwanja wa sita kwa sita, Tatizo lenyewe ni uke wangu kutoa maji mengi sana, yaani naweza hata...
8 Reactions
183 Replies
119K Views
Yaani mimi mwili wangu siku hizi siuelewi kabisa. Siku hizi nilikuwa naumwa matatizo ya panic attack nikapona kabisa Sasa siku hizi matatizo mengine yananiandama nikitulia chini kitu cha dakika...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi wa mwanamke au ectopic pregnancy ni tatizo ambalo limetokea kuathiri wanawake mbalimbali. Kwa kawaida, isipokuwa mara chache sana, mimba zitungazo nje ya mfuko...
4 Reactions
8 Replies
18K Views
Habari zenu.. natumain ni wazima wa afya na wale wagonjwa poleni Mungu atawaponya. Nina mtoto wa miezi mitatu huyu mtoto shida yake kwenye ukuaji yaan haongezeki kilo..alipata shida kidogo wakati...
4 Reactions
25 Replies
7K Views
Mabibi na Bwana habarini, naimani mko wazima wa afya. Naomba nisiwachoshe sana niende kwenye mada. Mimi ni kijana wa miaka 34 nina watoto wawili ambao kila mtoto na mama yake ila huyu mke wa...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
wakuu je huu niugonjwa au....nashindwa kuelewa ni ya kijani kabisa
1 Reactions
120 Replies
24K Views
Hallo ndugu zangu, Nitangulize kusema mimi sio mswahili ila najitahidi kuhandika kiswahili even If na kosea saana. Lengo la mimi kuandika ujumbe huu nataka kuwa saidia wenzangu ambao Wana...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Waungwana msaada tafadhari hii hali sielewi imenitokea mara mbili sasa kujikuta napizi/kumwaga shahawa nikiwa nimelala!. Sioti ndoto nyevu najikuta tu nishachafua shuka!. Hii ni kawaida au...
0 Reactions
4 Replies
584 Views
Tarehe 24 mwezi wa 11, nilipata maumivu ya gafra ya korodani yaani korodani ya upande wa kushoto ilikuwa inauma yaani utadhani umewekewa kaa la Moto [emoji24]. Nilipanic Sana nka Google ilo...
0 Reactions
11 Replies
11K Views
Habari kwenu Wana Jf doctor Kuna kitu kimenitokea ila siwezi kuelezea vizuri halafu Sina wa kumuuliza . Hii Hali iliwahi kunitokea twice, imejirudia Jana wakati wa kusex Kuna mahali nashikwa...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wapenda Naomba kuuliza nini kinasababisha uke kuwa mkavu baada ya mwanamke kujifungua. Suluhisho la tatizo hilo ni lipi Ahsanteni
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Tohara huathiri urefu/unene wa uume? Kwa muda mrefu kumeendelea huu mjadala wa kufanya au kutafanya tohara kutokana na hofu ya kupoteza muonekano wa uume utakaoridhisha. Kulingana na mapokeo ya...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mimi ni binti wa miaka 20 nimekua na tatizo kutopata siku zangu kwa miezi 4 sasa na nikashauriwa kupima Hormones na nikapewa dawa ! Ajabu ni kwamba baada ya kutumia dawa nimepata siku zangu za...
0 Reactions
2 Replies
787 Views
Naitafuta hii product kwa ajili ya watu wa ofisini wanaokaa mda mrefu. Inasaidia maumivu ya mgongo. Msaada kwa anaejua naeza ipata wapi. Moderators please msiifute tena hii, am seriously looking...
1 Reactions
1 Replies
498 Views
Back
Top Bottom