Nina miaka 26 mwaka 2012 nilianza kuugua kuharisha, kuchoka sana, baridi Kali, miguu kuvimba, uso kuvimba hasa wakat wa asubuhi, mapigo ya moyo kwenda mbio, ngozi kuwa nyeupe . Nilikwenda...
Mimi ni kijana wa miaka 23,tatizo langu ni kwamba napenda sana kuangalia video za kikubwa yaani X videos.
Nipo addicted kiasi kwamba napoteza muda na pesa nyingi kununua bando. Natamani kuacha...
Habari wakuu, Nina shida kidogo,nahitaji kufahamu hospitali inayotoa Huduma ya braces kwenye meno especially lower jaw.
Sababu ni misalignments.
Nipo Arusha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa mmoja alikuawa akinielezea kuhusu hilo tatizo anasema kwamba inakuwa inasinya inakuwa ndogo je anawe kifanyaje ili tatizo hilo limwondoke?
Mwanaume anayepatwa na tatizo hili anapokuja...
Habari za mda huu wapendwa? Poleni na majukumu.
Mimi nipo Dodoma ni mama kijacho wa miezi 2.5 hivyo nimepanga nianze kliniki katika kuumiza akili nianze huduma hii hospital ipi Kuna mtu...
Shalom wakuu.
Nina addiction na simu kupitiliza.
- Kila muda ipo mkononi hata kama sina matumizi nayo (siwezi kuiweka kwenye mfuko).
- Nakuwa kwenye mitandao ya kijamii na Internet kiujumla kwa...
Ni matumaini yangu kuwa M/Mungu ametuamsha salama!
Kuna baadhi ya watu wanapotosha juu ya dawa asili za mitishamba,wanajaribu kuaminisha kuwa ni mbaya na zinaweza kuwa na madhara.
Kuna dawa za...
Kwa mara ya kwanza nimekunywa juice ya Tende ikiwa na maziwa ya mdango sikuamini, siku yangu ilikuwa njema sana nikiwa na bestfriend wangu, nimewahi kunywa Alkasusu ila sikuona kama performance...
Habari wana JF wote!
Na tatizo la kusumbuliwa na vipele vidogo vidogo pamoja na muwasho Kwa muda wa mwezi mmoja sasa, vilianza sehemu ya mkononi, kifuani but vilikauka vyenyewe. But sasa vipo...
Katika msururu wa kuadhimisha Siku ya Uelewa kuhusu ugonjwa wa Kisukari tunakupatia vidokezo vya namna kukabiliana na ugonjwa huo na jinsi ya kuulinda na jamii nzima.
Idadi ya watu wenye kisukari...
Habari wana JF
Nasumbuliwa na masikio kuvuma na kuziba naombeni msaada wenu kwa yeyote anayejua matibabu yake.
Maana naona masikio yangu yanapoteza usikivu
CHANZO CHA MAUMIVU YA MIFUPA NA VIUNGIO
(shingo,mgongo,miguu,misuli kuvuta)
WATU GANI WANAKUA KATIKA HATARI HII
1:wenye umri mkubwa
2:wana michezo
3:uzito mkubwa
4:wana gym
5:watoto wenye upungufu...
Umuofia Kwenu,
Juzi kati kuna mshkaji wangu alikuwa na dem walikubaliana kupeana mambo. Huku na huko ukafika ule muda wa kupumzika bidada akaandaa mazingira tayari kwa kupumzika. Sasa kumbe huyu...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza jamn, naomba mnisaidie tufanyeje au shida inaweza kuwa nn. Dada angu anasumbuliwa sana na gesi inatoka tumboni inarudi inapanda kifuani afu inamuunguza mapafu...
Hello,
naomba kujua ni wapi naweza kumpeleka mdogo wangu akarekekebishiwe meno ya mbele maana yameota vibaya. Na je inaeza cost bei gani?
Asanteni sana.
Habar wana JF!
Naomba jibu kwa yeyote mwenye kufahamu hospital ambayo ina good record ya kufanya plastic surgery au hata plastic surgeon unaemfahamu ambae ana good record ya kufanya hizo...
Gego linaniota pia pembezon mwa taya kuna vitissue vinaota hapa nilipo mandible tissue zinaniuma sana nitumie dawa gani nitulize haya maumivu,leo nimeshindwa kabs kutafuna vyakula,nikiachama...
Nisaidieni nahitaji kujua inamchukua muda gani alieathirika na HIV kuanza kuambukiza wengine endapo atajamiiana, I mean toka alipoambukizwa yeye na hadi yeye aanze kuambukiza wengine endapo aidha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.