Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habari JF Dr. Mnamo tarehe 11 mwezi wa kumi mwaka huu nilipata ajari nilipata fracture kwenye mfupa mkubwa wa mguu. Sasa nilipelekwa hospital nikaweka Antenna nilikaa nayo kama miezi miwili hivi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana JF ,Mwanangu ana umri wa mwezi mmoja na siku tatu.Anasumbuliwa sana na tumbo ,huwa anajisokota na kulia muda mwingi na anataka muda wote apakatwe au bebwe. Lkani pia leo ni kama siku...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Wanajamvi habarini, Juzi kati nilikwenda kwenye moja ya machimbo maarufu ya malaya hapa Dar, tulitumia kinga na kinga haikupasuka, ila tulidumu kwa muda mrefu kidogo, baadaye nikagundua kuwa...
21 Reactions
62 Replies
9K Views
Wataalamu wetu wanashauri tupate chanjo ya Covid, lakini waliojiongeza na kutumia vitamin B12 pamoja na chanjo waliweza kupambana na maambukizi ya Covid na kupona haraka. Kuna wakati Vitamin B12...
5 Reactions
6 Replies
914 Views
Ndiyo mm naweza nikawa mgeni hapa jf ila nikaidiwa pia hivi naweza kupata wapi acid vegetable Oleic nikihitaji nasindika vyakula Sent from my Mi MIX 2S using JamiiForums mobile app
1 Reactions
2 Replies
588 Views
Mimi ni mgeni katika sex ni mara 2 nimesex tangu nizaliwe na ni mwezi umri miaka 24. Sasa nina shida moja mashine yangu kabla ya kuanza inasimama balaa ila nikianza game dakika 2 nimepizi...
4 Reactions
49 Replies
7K Views
Habari wana Jf doctors! Ugonjwa wa presha kwa siku hizi unaendelea kuwa moja ya matatizo makubwa kwa binadamu wote! Navyofahamu mimi kuna preha aina Mbili:- Presha ya Kupanda na Preha ya Kushuka...
0 Reactions
2 Replies
24K Views
Wakuu naombeni msaada kwenye tuta hapa. Nasumbuliwa sana na issue ya kuwashwa kwenye Korodani na halii hii hutokea ninapokuwa nimekaa mahali muda mrefu, nikiinuka tu naanza kusikia kuwashwa na...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Habarini great thinkers! Moja kwa moja kwenye uzi, nina mwanangu wa kike sasa ana miaka mitatu. Tatizo lake hapendi kula hata akila hawezi kutafuna na mara nyingi hutapika! Tafadhali naomba...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimekuwa na tatizo la kutohisi njaa na kujisikia kushiba, nikila chakula kidogo tu naacha. Pia tumbo linaunguruma sana nikienda chooni kinyesi ni kidogo na kutoa gas. Wataalamu, nini ni tatizo.
2 Reactions
28 Replies
8K Views
Habari zenu? Naombeni msaada wa dawa au ushauri kwa anayefahamu chanzo Cha tatizo langu, Mimi ni mjamzito wa miezi 2 Ila tatizo langu kila nikikutana na mme wangu napata maumivu makali yani...
2 Reactions
42 Replies
10K Views
Ndugu zangu nakuja kwenu kupata ufahamu kwa walionao, nina ndugu yangu binti wa miaka 28 amekuwa anasumbuliwa sana na tonses za mara kwa mara. Najaribu kuangalia mwenendo wake na hali hii ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari Wana jamvi karibuni tuweze kujadili namna vipi ya kujikinga na magonjwa yasio ambukizwa kupitia lishe na mfumo mzima wa maisha
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu zangu naomba mnisaidie wapendwa! Iko hivi Mimi ni mweusi lakini Nina shingo jeusi sana tofauti na rangi ya sehemu zingine za mwili! Nimetumia home remedy imeshindikana na sitaki kujichubua...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Habarini wadau, Kuna mgonjwa jirani yangu ameambiwa achome dawa ya sindano aina ya "Histoacryl glue injection therapy for oesophageal, gastric and ectopic varices" kulingana na tatizo lake...
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Ugumba ni hali ya kutoweza kupata ujauzito katika kipindi cha mwaka mmoja au zaidi kwa wenzi ambao wamekuwa wakifanya mapenzi bila kutumia njia zozote za uzazi wa mpango. Hali hii inaweza kutokea...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Tuendelee kuwa na Tahadhari na Tusiojua afya zetu tukapime NB: Kwanini positive results must be cofemd with uniGold & why not negative Result Tuliokuwa nao tuwalinde Wengine na tuzingatie masharti.
1 Reactions
59 Replies
5K Views
Habari Wandugu wa Jf!! Ndugu naomba msaada wa haraka kwa mtu yeyote ambaye ana uzoefu wa kutosha ama amewahi kutumia Hearing Aids kwani nina matatizo ya masikio. Last week nimefika...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Kuzaa kwa operesheni kuna sababu nyingi. Lkn nimeambiwa sababu kubwa ni ufupi wa mama mjamzito. Kuna ukweli gani ktk hili? My take; suala hili likithibitishwa kitaalamu basi wadada wafupi mwafwa!
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom