Nimejaribu kuwa mkimya kitambo lakini naona haina maana.
Mimi nmeanza kuifuatilia jf kitambo sana na kuna watu wengi wananifurahisha kwa michango yao, lakini mimi anaye nifanya nienjoy niingiapo...
Wadau wa JF.
Hivi wakuu wa TBC wamefanya makusudi au ndiyo ubunifu mpya.
Kwenye kipindi cha Jambo asubuhi watangazaji wake wanatangaza huku wamekaa kwenye viti vya garden wakati wapo studio.
Ha ha ha aaah!! Hii nimeipata jana baada ya binamu yangu kule Kavifuti kuniomba nimtazamie matokeo yake ya kidato cha nne mtandaoni. Nilimpa matokeo yake lakini nilimsikia akipumua kama mtu...
JF ina members na members,
kuna wengine wanajiona ni vinara, hawataki kuona wenzao wakiibukia.
Kuna members wako kushambulia tu na kuharibu mada za wengine
kuna members wanaojifanya " much-know"...
How are you today?
Siku yako yako imeanza vizuri?
Au vibaya? Inakwendaje?
Je kuna lililokufurahisha au kukukera leo hii?
Kuna lipi ungependa ku share with us today...?
Lets socialize. . . .
Padre mmoja akiwa kwenye gari alisimamishwa na Trafic Police,police akiwa anahitaji rushwa alianza kuuliza maswali mengi, mara mbona gari lako linatoa moshi mwingi? mbona gari lako matairi...
Babu Shikamoo,
Kila kukicha na kuchwa unanisimlia hadithi za ujanani mwako ila hujawahi kunambia wazazi wangu ni kina nani na wako wapi? Sasa usiposema ntakusemea kwa Bibi unavyonipa ice cream ili...
Hello JF chit-chatters, u ther buddies?
It's another beautiful Wednesday evenin, or jus lem'me say it's a "Ladies-Night" as it is normally refered to here @ the Babylon Club, kachala...
Ndugu zangu mlio mbali na familia zenu kwa sababu moja au nyingine tuungane hapa angalau tujiliwaze wakati tunaingia katika week end nyingine huku tukiwa wapweke. Leo nimepata uchungu sana...
There's this guy who had been lost and walking in the desert for about 2 weeks. One hot day, he sees the home of a missionary. Tired and weak, he crawls up to the house and collapses on the...
When you occasionally have a really bad day, and you just need to take it out on someone, don't take it out on someone you know, take it out on someone you don't know, but you know deserves...
WAZZUB is in pre-launch until April 9, 2012. The more users that join our network through your personal link the more your $FACTOR will grow. Each new member 5 generations deep let your $FACTOR...
These rejected Valentine's Day cards somehow never made it to store shelves, I wonder why?
I admire your strength, I admire your spunk,
But the thing I like best, is...
Siku ya mwisho nitakapokabidhiwa kitabu cha hukumu huko Mbinguni,
MUNGU:Mangi shika kitabu hiki,wasome wale watakatifu wapite mkono wa kulia...na wale watenda maovu mkono wa kushoto kwenye ziwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.