JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nakumbuka Baba yangu alinihadithia kuwa yeye alikuwa anashika nafasi ya kwanza kwenye mitihani yake na kuna siku alishika nafasi ya pili akalia sana mitihani iliyofuata akawa wa kwanza tu ... je...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nilikuwa nafanya topographical survey katika pori moja maeneo ya Ifunda-Iringa kwa ajili ya ku-establish stone quary kwa ujenzi wa Iringa-mafinga highway,msaidizi wangu alimkurupua bundi kutoka...
0 Reactions
55 Replies
17K Views
Is Lizzy, Mnamatch, mko perfect kwa pamoja. Am giving you an offer of having each other on that day-pendaneni msitendane. Asprin, Golden Mpolee hajapata nafasi ya kukaguliwa, nakupa offer...
1 Reactions
110 Replies
5K Views
Haka kachupa nilikanunua wakati nimeenda darisalama, leo nimeona nikafungue. karibuni, kakiisha tutaanza balimi lager
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Laki mbili {200,000} zambia anakua bingwa caf.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
celebrity mimi nimeamua kuchukua maamuzi magumu ya kubadilisha ID!! kutokana na sababu ya kuombwa kubadilisha kila kukicha!! na wengi hapa JF wanaopenda michango yangu ya kujenga na kuelimisha...
0 Reactions
44 Replies
3K Views
Foleni ndeeeefu kwenye daladala, jamaa kaona heri amtumie sms bosi wake kumtaarifu kuwa atachelewa ile anamaliza kuandika tu kibaka kakwapua simu. Jamaa kaishia kupiga kelele' Bonyeza send...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kajivalentine hako kanajongea,naona shamlashamla zimepanda moto!! Kwanza kabda ya yote nataka kujua jinsia ya huyu kiumbe wakuitwa NITONYE!!sijui dume hili??sijui jike hili??Lakini kwa mipasho...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Take your wild guess.....
0 Reactions
80 Replies
5K Views
Habari za asubuhi/mchana watajwa hapo chini .Nawasalimia tujamani nimegundua wapiga chabo hili jukwaa ni wengi kuliko wenye match sahizi wapiga chabo wapo 459 ukilinganisha na wenye mechi 138...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Baada ya wiki mbili za harusi mama mtu alimuuliza mwanae wa kike, vipi maisha ya ndoa mwanangu? mtoto akamjibu mama yake: du mama maisha kama vile British Airways, mama mtu akatoka nduki mpaka...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wachaga kwa kusifu siwawezi. Hivi kuna kabila lingine huwa linaji-feel proud zaidi ya Wachagga hapa Tanzania?
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Son:dad dad today i got an A in spelling. Dad:what a foolish child there is no A in spelling.
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Jamani nimevumilia nimeshindwa, naomba mnisaidie kuuliza KONGOSHO ni male au female, simuelewi..nimejaribu kufatilia post zake but ana badilika kama kinyonga..
1 Reactions
117 Replies
6K Views
Kulingana na mapicha yako itapendeza tukiwa wote siku ya wapendanao ndani ya nguo nyekundu! Nitakufata huko Dodoma tutembelee wananchi siku ya valentine Mwana M
1 Reactions
50 Replies
3K Views
Nimeshindwa kujizuia.Ninapenda sana michango ya King'asti. Anachanganya utani na umakini na kutoa kitu makini. Je wewe mwenzangu unasemaje kuhusu huyu mdada? Samahani King'asti, nimekuanzishia...
4 Reactions
49 Replies
4K Views
Goodmorning haters. . . Chamillionaire - Good Morning - YouTube I wanna show all my haters love This song for you If you acting like me and I was in your shoes I'd probably hate on me...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Mlevi wa kwanza akamropokea mwenzie kwa hasira;Kwa taarifa yako,jana nimelala na mama yako mpaka asubuhi. {Watu wote pale bar wakakaa kimya kusubiri yule mlevi wa pili atakavyojibu mapigo}.Mlevi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Baada ya majambazi wawili kuiba pesa benki.JAMBAZI#1;Aisee mzazi,tukae chini tuhesabu mkwanja tuliovuna. JAMBAZI#2;Ee bhana mimi nimechoka siwezi kuzihesabu,tusubiri kesho kwenye vyombo vya...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Nimetazama taarifa ya habari ITV, kuna uhaba wa chakula huko Musoma Vijijini, hali yenye imepelekea watu kula kumbikumbi na mboga za majani. Tuache anasa pembeni, tuzungumzie nutritional factor...
0 Reactions
53 Replies
3K Views
Back
Top Bottom