Hii page imejaa post za siasa tuuu...
I wanna change something, kuna topic moja ipo jukwaa la chini kabisa, nataka niipaste kule kwenye fanpage yetu. Sasa hivi nakamilisha michakato ya kuomba...
Namzungumzia Annifrid Lyngstad au kwa jina jingine Frida mwimbaji wa kundi maarufu la Abba kutoka Sweden lilovuma sana miaka ya 70 na 80.
Wakati wa vita ya pili ya dunia askari wa kijerumani...
During one of her daily classes, a teacher trying to teach good manners, asked her students the following question:
'Michael, if you were on a date having dinner with a nice young lady, how...
nilpoimgia jf roho yang ilibambwa na memba wa Ukweeeee kuliko wote! Nae ni MTM. Nikajgonga gonga kwake lakin nikatoka kappa kama vile hajawah hata niona. Roho ikaniuma nikapotezea. Alafu nikawa na...
The Smiths were unable to conceive children and decided to use a surrogate father to start their family. On the day the proxy father was to arrive, Mr.. Smith kissed his wife goodbye and said...
Nchi hii bana,kumbe haki hamna mpaka MIGOMO?
sasa wajiandae
walimu,askari na wanavyuo wanataka haki zao dawa wameshaijua..
waongoza ndege na meli nao...
Wafanya biashara wa Tandale na kariakoo...
Musa na Halima ni std 7 na ni wapenzi pia. Baba Halima hajasoma shule lkn alikuwa strictly kwa mwanae asome ili awa daktari,.walipofunga shule Musa alitaka kumuona KIPUSA wake(mtoto wa geti kali)...
Yupo huyu MwanaJF mwenye kutumia ID ya THK DJAYZZ ana staili yake ya kuchangia thread kwa namna yakuchekesha sana kwa kutumia misamiati ya mtandao. Kama akiona thread haijamkaa vizuri anaporomosha...
Kijana mmoja alifanya mtihani wa form IV pamoja na mama yake mzazi.Mama ake alikuwa ana re-seat mtihani tena alikuwa anapata muda kidogo tu kujisomea. Matokeo yao yametoka mwaka huu;Mama kapata...
Ukitazama mambo mengi mema kwa maovu, ya busara na yasobusara mengi hufanywa usiku.
STAREHE: Wengi kati ya wapenda starehe hupendelea sana kutoka sehem mbali mbali nyakati za usiku na...
Hawa member wa jf wananichanganya sana. naomba tuwaundie kamati ndogo ya uchunguzi ili tujue nani ni nani. vile vile kuna na Id ya Lizzy ina matatizo pia. Id nyingine zenye kuntia shaka kwa...
Mtu na mkewe wanagombana chumbani, ghafla ugomvi unakuwa mkubwa mke anaamua kukusanya vitu vyake kwa lengo la kuondoka. Mume anashangaa anamuulizaa: Unakusanya vitu unaenda wapi? Mke kwa nyodo...
nmejitahidi kuyatafuta bila mafanikio. naomba mwenye matokeo ya senetor au wakusoma atuwekee hapa tuyaone. sababu tangia matokeo yatoke wameingia mitini, hawaonekani kwa darubini wala miwani...
sijasoma bandiko lake hata moja la utashu!
Hivo nimemkosa kweli naskia kala ban. Dayme!
Usiwe na was Golden Mpoleeee mm hapa G Mpoleeeee nakuwasilisha!
GM
Nchi hii bana, hadi natoa povu hapa nilipo! Angalia huyu alivyopinda, wenzie wakaona wamkandamize ngoma ikifika duru la pili, hadi analialia, kosa lake kayaanza mwenyewe. We thought he was sir...
Baada ya Dalili za Mgomo wa Matabibu wetu kufikia Tamati, Nashauri wale wote waliokuwa shababi katika kulaani mgomo huu bila kufanya upembuzi yakinifu waitishiwe mgomo wa kutotibiwa mahali popote...
Je Umewahi kudaiwa?, ukapata Machungu na ukakosa Amani? Mahusiano na Mdeni yakaharibika?, Je alipokuwa anakudai na wewe huna cha kulipa ulikuwa ukijibu nini?
Kama huto jali share experience yako...
Imebainika kwamba sababu kubwa ya Wazaramo wengi kutohuduria vidato ni sababu ya kutoona umuhimu wa kufanya hivyi baada ya kuona outcome yake.....................sikia hii........kwamba wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.