Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habari zenu wadau, Nataka kuanzisha biashara ya pool table wenye experience na hii biashara njooni tujuzane faida na hasara zake na upatikanaji wake hapa mwanza. Asante
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari natafuta mfadhili ambaye atawekeza ili kuanzisha fm radio station mkoani arusha. Gharama za mradi huu ni Tshs 48,000,000/= Faida ambayo inaweza kupatikana kwenye mradi huu ni kuanzia Tshs...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Mimi ni graduate,nimejichanga changa nkafikisha kiasi fulan cha pesa ili nifanye biashara ya kuuza nguo za mitumba mkoani. Kuna siku nilipita humu nikaona Uzi kuhusu ununuaji wa nguo za mitumba...
1 Reactions
38 Replies
10K Views
Hello wana Jamii Forum, Nafikiria kuanzisha biashara ya uwakala wa bima aina zote hapa Dar es Salaam na ikiwezekana na mikoa ya jirani. Sina utaalamu sana ila nilifanya kazi kidogo kwa hizi...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari zenu Nimekopa shilingi milion 30 bank CRDB. Nahitaji kununua gari mojawapo katika hizi IST, ALEX, RACTIS, CARINA na pesa itayobaki nikamalizie mjengo wangu chanika (15MIL) na ibaki pesa...
4 Reactions
185 Replies
20K Views
Wakati fulani nilikuwa nimeenda kufanya interview ya kazi katika kampuni moja.Nilipofika pale nilikuwa na Computer yangu pamoja na simu huku nikiwa kwenye mstari kusubiri kuingia kwa ajili ya...
4 Reactions
6 Replies
855 Views
Wanajf naomba msaada wenu wakujua wapi kwa kariakoo naweza pata magauni marefu ya wadada wa kiislam kwa bei chee za jumla nijitafutie mkate Nimeambatanisha mfano wa gauni hapo
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nina wiki mbili tangu niombe mkopo bank ya CRDB lakini hadi sasa sijaingiziwa pesa. Jana nimeenda kufuatilia nikakutana na watu kibao nao wanalalamika tena mwingine aliomba mkopo wa kumuuguza...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu! Ewe mfanyakazi na hata ulie jiajiri katika sekta binafsi. Siku kama hii ya leo 01/05 unaitumia kutafakari nini juu ya ufanisil jitihada na juhudi ulizofanya kufikia malengo ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Moja kati ya changamoto ambazo huwa nakutana nazo mara kwa mara ninapokuwa nafanya kazi na wateja wangu ni tatizo katika uandaaji wa Business Plan.Kwanza kabisa wengi hushindwa kutofautisha kati...
1 Reactions
0 Replies
745 Views
Kuna watu wanachukulia kwba Msomi hatakiwi kuanzisha biashara ndogo kama za kuuza vitumbua, mihogo au uji. Haya ni mawazo ya kijinga sana na wanao waza ni wale wenye uwezo mdogo wa kuwaza...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari za muda huu jamani, Kuna mtu ananiambia tatizo la mimi mwalimu kukosa ajira serikalini, nisiilaumu serikali, bali tatizo lipo kichwani kwangu kwa kuitegemea serikali inipe ajira, na...
3 Reactions
36 Replies
5K Views
NEW YORK: Demand for the iPhone and other Apple products drove profits to more than double in the January-March period as the tech giant continued to capitalise on smartphone addiction. Profits...
0 Reactions
2 Replies
698 Views
Ninahitaji ushauri, Mimi ni mfanyabiashara hapa Tabora na huwa nalipa SDL ya wafanyakazi bila kuwachelewesha malipo ya mwezi. Tulivyoenda lipa SDL ya mwezi wa kwanza tukalipa na nikaambiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natural Resources and Tourism Minister, Lazaro Nyalandu The government has scrapped all hunting licenses for the Green Miles Safaris Ltd for violating legislation and regulations governing...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukitaka kukopa 30mil, riba ni kiasi gani wakuu? Mkopo miaka 3 au miaka 6. Naomba ufafanuzi kwa anaejua vizuri taratibu za mikopo ya benki.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Msaada tutani, huu mtandao ninaotumia sasa gharama zimepanda maradufu, nitapata wapi GB 1 kwa buku?
2 Reactions
58 Replies
7K Views
Kuwa Kangomba siyo dhambi kama wachache walivyokaririshwa! Kangomba ni rafiki wa mkulima, kangomba anatoa pembejeo kwa wakulima, kangomba anatembelea wakulima wake, kangomba anatoa chakula kwa...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Habarini Wadau na Poleni na Upepo wa Corona. Nahitaji kufungua kampuni itayodeal na financial services. Hivyo naomba jina zuri ili niweze kulitumia. Zawadi ya elf 10000 itatolewa kama zawadi.
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Asee Christmas kwangu imekuwa ya hovyo balaa, naona kama imekuja niumbua. Kwanza kabisa mimi ni kijana wa miaka 33 ni degree holder lakini mpaka sasa sina kazi ya kueleweka, jambo ambalo...
62 Reactions
129 Replies
15K Views
Back
Top Bottom