Wanatakiwa vijana watano (5) wenye wazo la ushawishi la kibiashara, kila mmoja wazo lake lisizidi mtaji wa shilingi laki moja. Faida atakayoipata kwa mwenye wazo zuri, ni tutawekeza fedha na...
Habari za weekend wanajamvi,
Nina tegemea kupata 4M ndani ya siku kadhaa zijazo kusema kweli natamani nifanyie jambo ili izalishe imebidi niombe mawazo kwenu wadau.
Matumizi ya kawaida ninayo...
Moja kati ya kazi kuu ya Benki Kuu ni kudhibiti uchumi kazi ambayo inataka uwepo wa washiriki kwa ngazi zote ili maamuzi ya Benki Kuu yaweze kuwafikia wananchi wa kawaida amba wanaaswa kuwa...
Salaam Familia
Napenda kuuliza hizi ID Holders zinapatikana bei gani kwa jumla.
Wana Print kwa bei gani kwa jumla wanao Print.
Wauzaji wa rejareja wanuzaje...
Hii nchi wajinga ni wengi mno na hawataisha, yaani mtu hawezi hata ku-reason. Kweli kama kilimo kinalipa kuna mtu kweli atanyanyua mdomo kusema njooni tuwalimie kwa niaba yenu?
Au kama ufugaji wa...
Mambo vipi wadau,
Jamani naomba msaada kujua kampuni inayofanya shipping kwa bei poa kutoka kwenye maduka ya CHINA kama vile ALIEXPRESS AU ALIBABA au Maduka ya US kama Amazon.
Kwa mwenye kujua...
Miaka takribani 25 iliyopita nikiwa kijana mdogo sana nilibahatika kuwa kiongozi wa watoto wenzangu.Haukuwa uongozi mkubwa kwani ilikuwa ni kanisani na nilikuwa nasimamia zaidi ya vijana wadogo...
Wadau tunatafuta mtu aliye tayari mwenye uwezo wa kuleta mashine kwa ajili ya kusaga kokoto. Tuna eneo kubwa sana lugoba na lina very high deposit content.
Karibuni sana wadau. Any questin just...
Nimeleta fursa hii kwenu watanzania wenzangu lengo ni kuona ni jinsi gani tunaweza kujikwamua kiuchumi.
Idea hii hakika akuna mtu atajutia,so watanzania wengi awatambui kwamba kunapesa nyingi...
Habari wakuu,
Naomba kujua ,kuhusu issue za fixed account Nmb bank. Nimesikia skia kuwa rate inaanzia 5% to 9.5% per year
Sasa nataka mwenye ufahamu wa hz rates zao atolee ufafanuzi. Kuanzia...
Habari,
Naomba kujuzwa ni sehem gani nitapata mtumba grade A kwa Dar es salaam.
Natamani kuanza biashara hii ya mtumba lakini jeans tupu na PIA inahitajika mtaji wa kiasi gani?
Pia...
Habari wanajamvi naomba ushauri, nina pesa kidogo kiasi cha laki nane naomba ushauri kwa wazoefu na biashara.
Ni biashara gani ninaweza kufanya na ikaniletea faida ijapo pesa ya kula.
Naombeni...
Habari wakuu?
Ninapopeleka proposal kwenye makampuni mbalimbali nimekua nikipata mrejesho wa namna hii mara nyingi kuwa, "Wazo ni zuri, lakini hatuna bajeti"
Kwa upande mmoja naamini kweli...
Habari ya muda wanajamvi? Napenda kujua kitu kimoja kuhusu HISA, inasemekana kampuni inapopata hasara basi hakuna gawio.
Swali ni kwamba je, HISA zako zitakuwepo hata kampuni ikifirisika na ili...
KUHUSU UCHUMI: USIPENDE KUTUMIA USICHO KUWA NACHO
Siri mojawapo ya kukufanya ubaki kwenye kutokwenda mbele kiuchumi ni mazoea ya kutumia kitu au fedha ambayo huna!
Yaani, kwa kuwa una uhakika...
Kuna huduma ya Airtel inaitwa TIMIZA ambapo unaweza kopa hadi TZS 500,000 na kutakiwa kurejesha ndani ya siku 21
Tatizo ni Riba yao inafikia hadi 24% kwa muda huo. Hata kama ni mkopo husio na...
Habari wakulungwaaa!
Huyu mwamba ni mhuni wangu. Kitambo sana tulisoma wote kwenye shule ya upili. Hata advance tulienda pamoja japo yeye alikuwa mchepuo wa art mi sayansi, tuliishi wote bweni...
Ningependa tubadilishane mawazo, ushauri na uzoefu kwa sisi wajasiriamali na wafanyabishara jinsi ya ku balance biashara na mapenzi ili kutoweza kutoka katika barabara ya kutafuta mafanikio.
Hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.