Kutoa ajira 100 za mwanzo
Imeelezwa kuwa, Majaribio ya Awali ya Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu cha Mwanza Precious Metal Refinery ambacho ni Ubia kati ya Serikali kupitia Shirika la Madini la...
Habari wakuu
Mimi ni mama wa nyumbani mkazi wa uswahilini huku asilimia kubwa wakazi wa huku wana vipato vya chini.
Sasa mimi nina elfu 50 nataka kufanya huku kwetu naomba mnisaidie ushauri
Ni...
Jamani naomba msaada wa kujua kama Biashara ya Bajaji ya Abiria inalipa kwenye jiji la Arusha?
Maana kwa sasa na bei imepanda sana ni 7.5 mpya. Nimevutiwa kununua nimpe kijana anileteee pesa kwa...
Habari wakuu poleni na majukumu najua humu ndani kunawajuzi wengi wa music system mbalimbali au ambao washatumia binafsi Sina uzoefu Sana na mambo ya mzikii ila nimejitahid kutafutatafuta...
Habari za muda huu wana jamvi!
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada ,naomba kuelekezwa vitu vya kuzingatia na vya msingi ninapohitaji kufungua maabara ya afya nikiwa sijasomea kada...
Millicom wameamua kuuza Tigo kwa kampuni ya Madagascar, hivyo tutarajie tigo kubadilisha jina muda si mrefu.
Jamaa naona wanakimbia uchumi wa kijamaa, uchumi usioangalia Market Force bali...
Mimi ni mvulana wa miaka 23kwa ninaitwa, Johnson napatikana Dar es Salaam naombeni ushauri mimi nimesoma hadi form four lakini sikufanikiwa kwenda mbele zaidi na ni MTU anaependa kusoma hasa...
Wandugu nimeona nilete uzi huu ili tupate kujuzana viwanda mbalimbali tunakoweza kununua vifaa/ bidhaa mbalimbali kwa bei za jumla.
Bidhaa mfano:
Vifaa vya ujenzi
Vyombo
Vifaa vya simu
Vifaa vya...
Habari wanaJF, kama kichwa cha habari kinavosema ninafursa kuu mbili kutoka kwa International connection na ningeomba mwenyewe kujua au aliyetayari tufanye hizi biashara.
1) INAITAJIKA GOLD 100KG...
Wadau wa JF
Naomba ushauri wenu vitu muhimu vinavyohitajika katika biashara ya nguo, mtaji kiasi gani, changamoto za hii biashara ni zipi?
Nguo za kiume za dukani.
Habarini za masiku ndugu zangu, matumaini yangu mpo wazima kabisa kiafya kimwili na kiroho. Niende moja kwa moja kwenye mada.
Mimi ni kijana mwenzenu ambae nipo kwenye zone ya kuhustle kimaisha...
Niende moja kwa moja katika maada yangu.
Nina amini kuwa humu ndani ya JF kuna watendaji wa serikali wakiwemo wa wizara ya Maliasili na utalii na pia wa wizara ya fedha na wa TRA. Ningependa sana...
Habari wanajukwaa.
Ee Bwana ee, nimekuja kwenu wana jukwaa, kuomba tusaidiane mawazo kama kichwa cha habari kinavyosomeka.
Baada ya kumaliza chuo 2019, Mungu alinifungulia mlango nikapata kazi...
Ndugu wadau.. Kutokana na fursa zilizopo kwenye ujenzi wa bomba la mafuta toka Hoima kwenda Tanga.. Naomba kupata uzoefu wenu kuweza kujua namna ya kuweza kushiriki kwenye hiyo keki...
Habari Wana JF:
Mzee Bakharesa Mtanzania mwenye asili ya kizanzibar mwenye tamaa kwenye kila sekta anataka kuishika yeye akumbuke ""mshika mengi menginee huponyoka""
Ukiangalia uwekezaji wake...
Nadhani ni wengi hapa tumewahi kununua vitabu katika safari zetu za elimu.
Unakuta kuna kitabu flani karibu kila mwanafunzi alikuwa nacho.
Ila sasa ukija kuangalia hali za maisha za hao...
Wauzaji wa vifaa vya umemekwa jumla na rejereja naomba kufahamu bei ya vitu hivi nataka niviongeze dukani kwangu.
1-Majiko ya umeme.
2-Pasi
3-Hita
4-Blenda zakusagia juisi.
Mwenye kuuza hivi...
Habar zenu jamani.
Kama kuna mtu anauzoefu wa kusafirisha mazao kwa kutumia mafuso katika mikoa hii Morogoro, Mbeya na Iringa. We can join together na ku-transport mzigo.
Nimechoka Kusafirisha...
Ni suala la kitalaamu kiuchumi ambalo lipo katika maisha ya kila siku. Kwamba bei ikiwa ndogo uwezo wa kulipia huduma huwa mkubwa na kuongeza soko.
Kwa hiyo ili kuruhusu soko kubwa lipanuke na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.