Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Done..
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana Jamvi! Dada Cristina Mayville Stenbeck mwenye umri wa miaka 39 (Asili yake Sweden) ndio mmiliki halali (Chairman and principal owner) wa kampuni ya Investment AB Kinnevik. Kampuni...
3 Reactions
26 Replies
13K Views
Karibuni tuendelee na mijadala midogo midogo yenye lengo la kuchangamsha Fikra na kuongeza Upeo.Leo nataka tujadili namna ambavyo mtu anaweza kuongeza performance yake katika maisha ambapo...
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Wasalaam, naomba mwenye laki moja anayeweza kuikopesha kwa riba mpaka tarehe 30/4 anisaidie tuwasiliane pm unahitajika leo kusolve dharura iliyojitokeza. Natanguliza shukrani
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari za majukumu naombwa kujuzwa juu ya biashara ya vioo vya simu vya bei ya jumla mi nifundi simu pia naduka la accesories nahitaji kupunguza gharama za upataji wa vioo na touch haswa kwa simu...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania; Kuajiri ama kutoajiri ndugu wa karibu katika biashara zenu. Upi ni uamuzi sahihi na wenye manufaa (tija) zaidi...
3 Reactions
57 Replies
7K Views
Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) ilianzishwa kwa Sheria ya Bunge na 11 ya mwaka 1995, na ilianza kufanya kazi tarehe 1 Julai 1996. TRA ndio wahusika wa mambo yote yanayohusisha kodi mbalimbali...
2 Reactions
454 Replies
53K Views
Wakuu! Wasalaam! Najua kuna magreat thinker hapa, wanao uwezo wa kunishauri vyema, Ni hivi kutokana na sababu ambazo siwezi kuzielezea hapa kiundani, nimejikuta kwamba kama nisipokuwa na uwezo...
27 Reactions
497 Replies
98K Views
Ukinidanganya mimi hua nakuchukia kwa muda mrefu sana menyu inasema 3000 unapata gb 1.5 kwa siku saba nimelipia 3000 napewa gb 1.2 alafu Internet iko chini sana kwakweli nimechukia sana
1 Reactions
13 Replies
2K Views
7 ways how blacks can learn to manage and improve their financial skills from indians. 1. Family Business *according to Credit Suisse Family 1000, a recent study have shown that India ranks...
3 Reactions
1 Replies
886 Views
Wakuu nahitaji kujua ni shilingi ngapi zinatosha kuanzia kufungua duka la vioo na aluminium?
0 Reactions
15 Replies
12K Views
Habari zenu wakuu, Naomba kujua pikipiki nzuri kwa ajili ya boda boda nahitaji kununua pikipiki used nijaribu biashara ya bodaboda
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Habari wakuu, Poleni na majukumu. Samahani, Ninaombwa kuelekezwa jina na mahali kilipo kiwanda cha Kutengeneza bidhaa Plastic hususani Gumboots ndani ya Tanzania. Nitashukuru.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, I wish kufungua duka la Paramedical and childcare equipment. Jee soko lipo Tanzania? Naoembeni maoni yenu kuhusu biashara hii?
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Watu wengi ambao ni wafanyabiashara/wajasiriamali wamekua wakiusishwa/wakiamini kuwa ili kufanikiwa katika biashara itabidi ufanye ndumba kidogo ili mambo yaende sawa. Leo naomba tupeane uzi juu...
1 Reactions
35 Replies
40K Views
Ili uchumi wetu upande tuwekeze kwenye bidhaa mpya. Gross Domestic Product (GDP) yetu per capital ni ndogo mnoo na hii ni kwasababu hatuzalishi bidhaa mpya bado tupo na bidhaa za zamani zilezile...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau wa JF, natafuta kampuni ya bima ambayo inatoa cover kwa mazao yaliyo shambani kama vile mahindi na mikorosho.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini ndugu zangu, Nataka kufanya biashara ya mbuzi. Ninaomba yeyote mwenye uzoefu na biashara hii anifunulie fursa za masoko na changamoto zake.
1 Reactions
10 Replies
10K Views
Nina rafiki yangu mmoja ambaye amebahatika kukutana na kuongea na bosi mmjo wa kampuni moja kubwa iliyojikita kwenye biashara ya mafuta na gesi; katika maongezi yao rafiki yangu alipendezwa na...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Wakuu naomba mwenye information ya wapi naweza kupata ufadhili wa wazo la biashara. Bado lipo kama wazo sijaanzisha chochote. Ni app ya kujifunza wakulima nimeshakusanya materials zote...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom