Kufanikiwa kumaliza Shahada ya Uzamili na Uzamivu ni lengo kubwa na muhimu. Hapa kuna hatua muhimu za kuchukua ili kufanikisha malengo yako:
1. Chagua Kozi Inayokuvutia:
Chagua shahada au...
Miaka ya nyuma tokea nchi ipate uhuru huu mwaka bajeti ya kutoa mikopo Kwa WANAFUNZI WA degree ilikuwa kubwa sana, ilikuwa TZS bilioni 700+.
Serikali ikakatangaza WANAFUNZI wanaonza degree (fresh...
Naitwa Abdul-Aziz Ally Carter Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM), jana Oktoba 20,2023 matokeo ya awamu ya 1 ya mkopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu yalitoka, Kuna idadi kubwa ya...
Naitwa Abdul-Aziz Carter Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM):
Octoba 20,2023 Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya mikopo (HESLB) Abdul-Razaq Badru aliishukuru serikali kwa kutenga Bilioni...
Katka pitapta za mitandaoni, nmefankiwa kktana na machapisho apo chini. Mwenye taarifa zaidi ajazie nyama
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Naombeni ushauri wa fursa za kielimu kulingana na maendeleo ya elimu ya sasa kipi nisomee shahada kati ya degree hizo tatu hapo juu?
1. Bachelor of education in adult education and community...
Habari zenu waheshimiwa?
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na iliyotuacha midomo wazi sisi wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam campus kuu ya Mlimani ni habari za kuwapoteza wenzetu takribani...
Wanajukwaa poleni na majukumu ya kulijenga taifa letu.
Husika na kichwa hapo juu mimi ni mwanafunzi wa bachelor mwaka wa kwanza katika mwaka wa masomo 2023/2024 naombeni Ushauri wenu kati ya...
Habari za jioni,
Naomba kufahamishwa endapo inawezekana kusainishwa mkopo kabla ya kukamilisha usajili ili niweze kutumia fedha hizo kukakamilisha kiasi cha ada niweze kukamilisha usajili maana...
Mmeamkaje wote tulioambiwa wait for final results?
Jamani Mimi naona kama wengi wetu tuliokosa mpaka hivi sasa ni equivalent applicants kutoka diploma au mnaonaje?
🥲Na wewe umejipangaje ukikosa...
Kwa mwalimu mwajiriwa wa serikali, ipi Ni Masters Bora Kati ya tajwa hapo juu?
Wadau wa Elimu karibuni kwa mawazo!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Jamani naombeni ushauri, Mimi nimechaguliwa UDISM course ya "bachelor of art in language studies, nlikua naomb mnisaidie kuniambia kama nitasoma hiyo kozi nitafanya kazi gani baadae au nitakuwa nani?
Habari Zenu Wapendwa...
Naomben Mnisaidie Kwa Anaefaham Hyo Coz Hapo Juu Anifahamishe About Merits,demerits And Future Outlook (ntafanya Kaz Gan Nkimaliza Na Upatkanaji Wa Ajira) Yke Ikoje Pia...
Kwa nchi hii kusoma ni upumbavu nambari moja maana unakuta mjinga ana nguvu kuliko msomi na msomi anamfanyia mpumbavu kazi za kipumbavu kwa kumkandamiza mjinga mwingine au msomi mwingine. Kiufupi...
Wanufaika wapya wa Mkopo zaidi ya elfu 20 HESLB 2022/2023 | Majina ya Waliopata Mkopo
Habari njema kwa waombaji wote wa mkopo wa HESLB, Allocation ya mkopo bechi ya kwanza sasa inapatikana...
Napenda nifahamu sheria zenu mwanafunzi anapokuja kujifunza kwenu mwaka 1 katoka chuo akajifunza kipindi cha miezi 6 akafanya kosa, inawezekana kufukuzwa bila kutaarifiwa wazazi wake?
Kama...
Wote tunajua maisha baada ya kuhitimu ni safari iliyojaa fursa na changamoto. Kwa kutambua na kufanya kazi kwa bidii kuzishinda changamoto hizi, wahitimu wapya wanaweza kujenga njia ya kufanikiwa...
Habari,
Naitaj msaada tafadhali nina shida ya kubadili majina nimefatilia makala kadhaa za watu walojaribu kuulizia utaratibu uko vp kuna kitu nimeona kimezungumziwa sana "DEED POLL"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.