Huu ni uzi maalumu kwa yoyote yule mwenye kitabu, jarida, chapisho n.k linalohusu uchumi katika mfumo wa soft copy anaweza kutupia hapa ili kila mtu ajifunze mambo mbalimbali kuhusu uchumi.
Iwe...
Habari wadau,
Ninatumaini kuwa mnaendelea vyema na Majukumu.
Mimi ni Mhitimu wa diploma idara ya Umeme katika taasisi ya teknolojia Dar es salaam DIT Mwaka wa masomo 2021/2022.
Ninawaandikia...
Sisi Wanafunzi wa Chuo cha Mbeya Training College kilichopo Uyole Mkoani Mbeya ambacho kinatoa Kozi 4 ambazo ni Laboratory Assistant, Secretary, Business Operator na Hotel Management.
Mwaka jana...
Kati ya maeneo ambayo bado tunashindwa kuyafanyia kazi ni pamoja na ukaguzi wa elimu ya juu, yaani ngazi ya vyuo vikuu na vyakati.
Kama ilivyo kuwa ni ugonjwa komavu wa ukosekanaji wa vifaa...
Naitwa Hussein Issa Nzomkunda nliibiwa begi lenye vyeti vyote ila hivo vingine nilishapata utaratibu wa kuvipata isipokua cha NIT tu.
Kwa anaejua utaratibu wa kufuata anisaidie tafadhali.
Water Development and Management Institute (WDMI) ama chuo cha usimamizi na maendeleo ya Maji, zamani Water Resources Institute (WRI) kilianzishwa mwaka 1974 kama kitengo ndani iliyokuwa wizara ya...
Naomben msaada wa namna ya kurekebisha jina kwenye cheti na taarifa za nida. Cheti chang cha kuzaliwa kimeandikwa Anastazia.
With single " n" na nida pia nilifatilia kutumia taarifa za cheti cha...
TTCC ni jumuiya ya wanafunzi inayosababisha msukumo mkubwa katika eneo la elimu kwenye mandhari ya kipekee ya vyuo vikuu vya Tanzania. Jumuiya hii inakutanisha wanafunzi kutoka vyuo vikuu kote...
naomba mwenye kujua cv ya huyu jamaa au kiwango chake cha elimu maana chuoni kwetu kesho kuna philosophical forum na yeye ndio mzungumzaji mkuu so nlitaka kujua uwezo wake intellectually.!
Mimi ni kijana wa kiume, nina miaka 19, Nilimaliza kidato cha nne mwaka Jana, lakini matokeo yangu hayakuwa mazuri.. nilipata div 4 ya point 33.
Lakini baada ya kumaliza shule nilienda Veta...
Nikiwa nimejiunga UDSM mwaka huu kwa ajili ya kuongeza Elimu toka nimeingia hapa mtu ukibanwa na haja inabidi ujifikirie mara mbili ama uende porini (Hasa Pori lile la Kuelekea Changanyikeni au...
Habari Wana Jamii Forums naomba kuwasilisha hoja yangu ili kupaza sauti, mamlaka zisikie na ikiwezekana hatua zichukuliwe haraka.
Sisi Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi...
Kwa mtazamo wangu tumechelewa kuwatumia wanafunzi wenye ufaulu wa juu (outstanding) kulisaidia taifa. Hivi inakuwaje mwanafunzi kidato cha sita ana point tatu, Chuo kikuu amepata GPA ya 4.8 au...
Habr wana JM, ndgu zangu hapa ni jukwaa la kupeana michongo na kubadilishana mawazo.
Kuna jambo naombeni tusaidiane Mimi ni mwalimu bado sijaariwa na serikali nafanya private school ila nina...
Habari wanajukwaa, napenda kuuliza
Hivi nje na kuwa mwalimu kazi gani mtu anaweza ifanya kwa kusoma degree hiyo.
Mchango wako wa mawazo ni muhimu sana [emoji120][emoji120]
Habarini Walimu, heshima yangu kwenu haitokani na kuwajua kama Walimu kwa sababu nilifundishwa nanyi, au kama Mwananchi kusema naishi nanyi humu mtaani. Hapana, heshima hii inatokana na mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.