Habari ndugu zangu,
Mimi nimehitimu bachelor of laboratory science and technology mwaka 2022 with Gpa of 3.7 but kwasasa nafasi za kazi hususani serikalini ni mpaka connection na mimi sina...
Introduction: Social media has become an integral part of contemporary society, transforming the way people interact, communicate, and share information. This academic assignment aims to explore...
Ipi field nzuri ya jiolojia kwa sasa yenye ahueni kwenye kupata ajira au kwenye kujiajir ndani ya nchi yetu Kati ya hizi Petroleum geology, Economic geology, Hydrogeology, Engineering geology na...
Habari,
Naomba mwenye kujua course ya foundation kiundani anisaidie maana naona juhudi zangu zinafikia mwisho maana nilimaliza chuo mwaka 2016. Ninapotarajia kwenda kujiendeleza, niliomba AVN...
Habarini wanajukwaa,
Naomba kujua,udaktari unalipa?
Nimekuwa nikipashwa habari kuwa "mtoto mpeleke udaktari" ni taaluma isiyokuwa na longolongo na hakuna daktari mwenye bachelor mtaani...
Wakuu habari zenu,kwa wale waliosoma combination zenye Mathematics (EGM,PGM,PCM).Paper ya pure mlikuwa mnatumia mbinu gani kumaliza?
Najitahidi kukaza fuvu na hata kuongeza speed Ila...
Wana jf nahitaji ushauri wenu hususani waliopitia programu of law shahada ya kwanza na wengine wenye uelewa juu ya hili swala nahitaji ushauri wenu.
Mm n afisa tabibu(CO) kitaaluma nimefanikiwa...
Nipende kuchukua nafasi hii kuzipongeza jamii za miaka ya nyuma kwa kusomesha vijana kwa ajili ya kuja kusaidia changamoto zilizoikabili jamii za wakati huo,miaka ya nyuma watu walikuwa wanalipiwa...
Habari zenu ndugu zangu wa JF
Hii ni mara yangu ya kwanza kushiriki na swali ni kama linavyojieleza hapo Niliwahi soma clinical medicine mpk Level 5 semester 1 changamoto za ada ikanilazimu...
Wakuu poleni na majukumu. Nina ndugu yangu amemaliza form four Combination PCM ana (C,B,A) respectively. Sasa ni muda wa maandalizi ya kwenda A level hivyo;
Natafuta tuition centre makini kwa...
Mwaka wa tatu wanaomaliza fani za afya ngazi ya stashahada matokeo yao yanachelewa sana kutoka hivyo kupelekea wahitimu wanaohitaji kuendelea na vyuo vikuu kushindwa kupata udahili kwa mwaka huo...
Huyu mwanafunzi aliomba mkopo vizuri, baadaye ikaonekana kuna document hajaweka akaambiwa aweke hizo document na akaweka baadaye Mambo yakakaa sawa.
Walipotoa batch one waliandika waiting for...
Mwaka 2015 nilipata Admission ya kwenda kusoma Masters kwenye ujasiriamali pale UDSM. Nilishapokea maelekezo yote ikabakia kulipa tu ada. Nilivyojicheki nikaona hadi wakati ule nilikuwa nina pesa...
Habari!
Napenda kuleta kero yangu ili mnisaidie kufikisha kwa wahusika wa Chuo cha DIT. Kuna kero kubwa hususani kwa wanafunzi waliopata mkopo kupitia Bodi ya mkoppo ya elimu ya juu (HESLB) pale...
Kwa takriban miezi miwili sasa kumekuwa na Malalamiko mfululizo kutoka Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu kutoka maeneo mbalimbali nchini ambao wanadai Fedha zao za Refund walizolipa wakati wa...
Habari za muda huu,
Naomba kuuliza na kuhitaji kujua ni taratibu zipi zinatumika kupandisha ada katika taasisi na vyuo vikuu nchini.
Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) IAE main campus...
Ndugu zangu wana JF nina mdogo wangu alipata shida ya meningitis pindi alipokua mdogo lakini inaonekana kua ugonjwa huu ulihathiri mfumo wake wa uongeaji akiongea maneno yake ni kama hayaelewiki...
Habari zenu Wana jukwaa,
Mimi ni muhitimu wa kidato Cha sita nime chaguliwa vyuo viwili tofauti, chuo kimoja nimechaguliwa course ya BSc wildlife management, chuo kingine nimechaguliwa course ya...
Salaam Wakuu!
Ni mda kidogo sija post katika Jukwaa hili.
Nimeombwa na mtu hapa nimuangalizie matokeo yake ya Form Four.
Nimeshangazwa kuona karne hii ya ishirini na moja, katika serikali ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.