Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
🥲wanatoa lini jamani watu hatuna hata raha jamani
3 Reactions
4 Replies
928 Views
Ndugu samahanini kwa usumbufu. Nimeomba kujiunga na chuo cha Diplomasia ngazi ya diploma katika dirisha la awamu ya tatu. Lakini kama inavyoonyesha hapo chini website yao haijawa na taarifa za...
0 Reactions
0 Replies
935 Views
Habari wadau? Najiuliza why board ya uhasibu ina best students kwenye mitihani yao ya kupata CPA Why Law school haina mambo ya nani best student? Why ERB haina mambo ya best student?
0 Reactions
6 Replies
967 Views
Habari JF, Mimi ni mwanafunz wa T.I.A ngazi ya diploma niliehtm 2022 campus ya Dar es salaam. Sasa mwaka huu niliapply Bachelor ya account hapohapo T.I.A but kwa bahat mbaya nikakosea kuweka...
0 Reactions
0 Replies
331 Views
Salaam wakuu, ndugu zangu shida yangu ni kupata Admission letter 2023 kutoka chuo Cha UDSM ili nifanye mchakato wa kupata ruhusa ktk kituo changu Cha kazi, nimejaribu kuwasiliana na chuo bila...
1 Reactions
63 Replies
3K Views
Hiki Chuo Kikuu ni kikubwa, sasa unapoingia kwenye Website yao huoni huo ukubwa! Website imekaa ki- utumbo utumbo tu! Mtu unajaribu ku- access information , mfano: UDSM selection list 2023/2024...
3 Reactions
13 Replies
743 Views
Je, kwa haya matokeo yangu ya electrical installation level 3 naweza kusoma chuo kikuu MUST? Angalia jina la DENIS KONDELA
0 Reactions
3 Replies
814 Views
Wakuu kutokana na kichwa cha habari hapo juu mm ni kijana wa miaka 25 napang kwenda chuo mwaka huu napenda sana kuwa mwandishi wa habari lakini naona wadau wananiambia eti hii kozi mkopo ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanabodi, naomba kujua hivi vitu wanatumia vigezo gani kufanyika? 1. Nmeshaona jamaa ana Diploma then Masters, hakupiga Bachelor Degree. 2. Nmeona watu wana Bachelor Degree then wana PhD...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Salaam waungwana, poleni na hongereni kwa majukumu mbalimbali mliyonayo wakuu, niende moja Kwa moja kwenye mada. Je, Kuna mtu mwenye update yoyote kwa waliomba Mikopo ya elimu ya juu majibu...
1 Reactions
132 Replies
10K Views
Anonymous (d0e2)
SHERIA MPYA ILIVYOWAKOSESHA WANAFUNZI WA UDOM HAKI YAO. Chuo kikuu dodoma,UDOM. 25/11/2022 uongozi wa chuo kikuu cha dodoma( UDOM) katika ndaki ya TIBA ulitoa sheria mpya kwamba mwanafunzi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana JamiiForums, Napenda kufahamu mazingira ya chuo cha RUCU (ruaha Catholic University) Kwa wale wanaokifahamu na kwa wale wakazi wa Iringa watupe dondoo za maisha ya huko yakoje asanteni!
0 Reactions
8 Replies
870 Views
Uliza chochote kuhusu chuo kikuu cha Dodoma.
0 Reactions
8 Replies
780 Views
Short history; Azania secondary school is among the oldest schools in the country, started to operate in the year 1933. This means it is now 88 years old (2021). Formally the school was owned by...
7 Reactions
57 Replies
3K Views
Kwema wakuu? Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nina ndugu yangu amechaguliwa Diploma ya Computer Science UDSM, lakini mpaka leo hajapata Admission Letter na joining instructions. Kwenye...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavojieleza mimi ni mwanafunzi mwaka wa pili chuo X degree ya ualimu( bachelor of science with education) semester ya kwanza nilipata GPA 3.5 semester ya pili 4.2 na...
1 Reactions
90 Replies
6K Views
Wadau mambo vp? Mim nataka niwe lecturer na ninasoma bachelor of science with education vp nahitaji GPA ya ngapi ivi??
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Naitwa Abdul-Aziz Ally Carter Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam( UDSM), Jana Octoba 20,2023 matokeo ya awamu ya 1 ya mkopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu yalitoka. Kuna idadi kubwa ya...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna utofauti wowote kati ya Bachelor of Education in Science na Bachelor of Science With Education Wataalam Naomba msaada
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za muda huu wana Jf . Mimi kama mdau wa maswala ya elimu hapa Tz hilo suala nimeliona kubwa ,muhimu na linapaswa kupatiwa ufumbuzi. Nimepitia nyuzi mbalimbali humu ,maoni ya wadau...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom