Tukutane hapa kupeana habari na taarifa za maombi ya mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwa mwaka huu 2023-2024.
Kama wewe ni mwanafunzi, mzazi, mlezi, ndugu au rafiki unayeomba/unamuombea mtu...
HABARI WAPENDWA: NAOMBA USHAURI JUU YA SUALA LIFUATALO:
Taaluma yangu imeniwezesha kukutana na wanafunzi wa ngazi mbalimbali wenye ndoto na nafasi za kusoma/kuendelea na elimu ila kutokana na...
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mhe. Abdulaziz Mohamed Abood leo tarehe 20/10/2023 anatarajia kuwa Mgeni Rasimi kwenye Sherehe za Mahafali ya kidato cha nne kwenye Secondary ya MAFIGA iliyopo...
Ndugu, naomba kufahamu kwa anayejua hizi Joining Instructions za kujiunga Chuo Kikuu cha Dar es salaam zinapatikanaje?
Muda umeenda sana na masomo karibu yanakaribia. Nimeomba online na kujibiwa...
Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Prof. Charles Kihampa, akizungumza na Waandishi wa Habari, Dar es Salaam, leo Oktoba 13, 2023 kuhusu kufunguliwa kwa dirisha la Awamu ya Nne...
Hizi shaghalabaghala za nchi yetu sijui zinaelekea wapi? Hawatuelezi wamefanya tafiti zipi mpaka walipofikia? Kadri ubora wa elimu unavyoshuka, ndio wanazidi kulegeza vigezo.
Sasa iwe lazima mtu...
Habari wanaJF
Nilikuwa napitia kitabu cha TCU cha "Postgraduate Guidebook", Nikaona kuna baadhi ya vyuo kama CBE, TIA, IIA n.k ambavyo ni vya serikali na vinatoa hadi elimu ngazi ya Masters...
Mwl.James Kidiga amefanikiwa kucjaguliwa kuwa miongoni mwa walimu 50 Dunia nzima wanaowania tuzo ya mwl.bora Duniani yenye thamani ya Shilingi Bilioni 2.5.
Kila la heri bwana Kidiga kazi yako...
Habari wadau watalaamu
Ningependa kufahamu kama hiyo tittle and its content are
1. Researchable
2. Punctually Collect
Maana nimeSubmit sehem mbili ambapo sehem moja imepokelewa vizuri wakati...
Ninasikitika sana hawa watu wanaitwa nactvet wanasababisha stress na mkanganyiko usio wa lazima kwa kuchelewesha matokeo ya vyuo vya afya.
Wao ndio wamepanga ratiba ya kuanza masomo tarehe 16...
Sisi ni Wanafunzi tuliohitimu katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Campus ya Dar es Salaam tuna madai ya kutorejeshewa malipo tuliyolipa kabla ya kuingiziwa fedha za Bodi ya Mikopo (HESLB)...
Naomba msaada kwa anayejua.
Nafanya maombi ya mkopo kwa ngazi ya stashahada. Shida nikifika kwenye sehemu ya kujaja taarifa za kiemografia na kuandika namba za cheti cha kuzaliwa na nikitaka...
Hii changamoto inawafanya vijana wengi washindwe kupata mikopo kutokana na majina ya cheti cha kuzaliwa kutofautiana na form 4 huku hakuna sehemu ya kuattach affidavit hivyo uwezekano wa kupata...
Habarini wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ndugu yenu nimekuja mbele ya jukwaa hili nipate dondoo mbili tatu kuhusiana na kipi nisome katika kozi zifuatazo.
Bachelor degree...
Salaam wakuu,
Kwa wale walioomba mkopo mwaka huu kuna ambaye ameshapata ujumbe kwenye account yake tofauti na ujumbe huu hapa chini?
Your application is already in Verification process, please...
Matokeo ya kidato cha sita 2023. Karibu shule zote daraja lenye idadi kubwa ya waliofanya vizuri ni daraja la kwanza ( Division one). Kwa matiki hiyo mambo yafuatayo yanaweza kujitokeza;
1. Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.