Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
(Bachelor's of art in philosophy and political science) mdog wang amechaguliw hii koz ninaomba ufafanuz wa mambo atakayo jifunza na fursa zake kweny soko la ajira!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama kichwa cha uzi kinavyosema, mimi nimemaliza form four mwaka jana hivyo form five selections zimetoka na nimechaguliwa kwenda Azania sec Hivyo najua humu kuna watu wanaishi hapo karibu au...
14 Reactions
210 Replies
15K Views
Mdogo angu hapa nyumbani amefanya applications ya vyuo vitatu 1. IAA- Bachelor of Accounting and Finance 2. MoCU- Bachelor of Accounting and Taxation. 3. ITA- Bachelor of Custums and Taxation...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu habari za weekend, Naomba kuuliza, hivi unapo conduxt research kwa title za natuaral disaster kama COVID-19 , NI RESEARCH DESIGNI ipi ni nzuri kuitumia hasa kama unatumia case study ya mkoa...
1 Reactions
2 Replies
395 Views
Nakusalimu kwa jina la Jamhuri...Kazi iendelee.Nimekuandikia waraka huu nikitaka kushare nawe mambo kadhaa. Tuanzie kwako,wewe ni kiongozi smart sana katika idara ya elimu sekondari hapa kwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu walimu wenzangu na wanajanvi naomba mnisaidie taratibu za kufuatwa ili mwalimu asainiwe barua za uhamisho wa kubadilishana kituo cha kazi. Nimeamua kuwauliza swali hili kutokana na...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari Zenu ndugu zangu, nimeona ni busara kuanzisha uzi huu mahususi kwa ajili ya kujadiliana maswala ya ujenzi kwa ujumla. Ni ukweli usiopingika ujenzi ni sehemu muhimu ambayo kila mtu...
5 Reactions
153 Replies
22K Views
Je ni lazma kurpot na result sleep hata kama hujaambiwa kuenda nayo chuoni?
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Nimeomba mkopo ila control number inaleta 50000 na natakiwa kulipa 30000. kilipa fedha inarudi… nimeenda mpaka bodi ya mikopo wanasema it wao ndo bado hajafanyia kazi na siku zimebaki mbili...
0 Reactions
5 Replies
731 Views
Nafikiri sasa wakati umefika kurekebisha mitaala iweze kum equip kijana na maarifa mbali mbali ya sasa....ili akiingia mtaani aweze moja Kwa moja kuchangia maendeleo na sio kugeuka mzigo wa na...
10 Reactions
15 Replies
1K Views
Natarajia kwenda kusoma course ya Natural Resources Management, naomba ushauri wenu vipi ipo marketable?
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari wadau; Wikiendi iliopita nilikuwa katika mjadala na Rafiki yangu wa siku nyingi ambaye tulipotezana zaidi ya miaka 10 iliopita.Tulikuwa tukijadili safari ya kitaaluma na swala la...
13 Reactions
86 Replies
15K Views
Wakuu kati ya hizo diploma ipi ni nzur zaid kuisoma kwa sasa
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarini za humu, natumai mko pwa mnaendelea vizuri. Nilikuwa nauliza Kama naweza nikapata msaada humu nina mdogo wangu amechaguliwa application za kwenda vyuo na machaguo aliyopata amefanikiwa...
0 Reactions
1 Replies
700 Views
Jamani nimekwama kwenye hiki kipande kwenye kuomba mkopo, naomba msaada maana napiga simu za HESLB hazipokelewi. Shida hapa mimi sikuwa sponsored o level, nataka ku reverse application nashindwa...
1 Reactions
15 Replies
883 Views
Wasalaam wana JF! Bila shaka wote ni wazima na ambao hawapo sawa basi Mungu atawaponya soon, Amen. Baada ya salamu naomba niende straight kwenye Mada. Ni ndoto ya vijana wengi nikiwemo mimi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari JF members. Natumai nyote mu wazima wa afya,Mimi si mwandishi mzuri sana ila nitajitahidi kuelezea kile nachokifahamu. Hivyo nipende kwenda moja kwa moja kuelezea kuhusiana na moja ya kozi...
3 Reactions
17 Replies
13K Views
Biblia inatufundisha kuwa Mazungumzo mabaya ndiyo yanayoharibu tabia njema ya mtu. 1Wakorintho 15:33 “Msidanganyike; Mazungumzo mabaya huharibu tabia njema”. Maandilizi ya dhambi karibia zote...
0 Reactions
0 Replies
402 Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Kwa heshima na taadhima naomba wanaojua vyanzo vya Majarida Rejea namaanisha Referencing Materials Kama Journals na machapisho mengine ya kurejea wakati wa...
0 Reactions
7 Replies
467 Views
Back
Top Bottom