Habarini wakuu mimi ni muhitimu katika ngazi ya stashahada nikiwa nimefanikisha kusom kozi ya business administration.
Kabla sijafanya maamuzi ya kuchagua kozi mm mwenyew nimeona nije nisikilize...
Wanabodi habari ya asubuhi murua kabisa, nilikua napita vijiweni nakuta vijana wanalalamika sana hawa wanaoomba vyuo vikuu, nasikia utaratibu umebadilika sio kama zamani sie tulikua tuna apply...
Kuna tamko limetolewa na katibu mkuu MSONDE kuwalazimisha waalimu nchi nzima kuwafundisha wanafunzi waliomaliza darasa la Saba kuanzia saa nane na nusu mpaka saa kumi na nusu.
Muda wa kazi kwa...
Wanazengo naomba kujua ni chuo gan kinatoa hiyo kozi ya Mineral processing ngazi ya diploma (stashahada).
Bodi ya mikopo inayotoa mikopo kwa diploma wamesema hii kozi itapewa kipaombele ila mpaka...
Ndugu yangu kapata ufaulu huo hapo juu.
Amepata accountancy IFM Ila lengo lake asome Bachelor of Nursing.
Je, kwa hapa Bongo atapata chuo gani? Ushauri please?
matokeo ya third selection yako tayr lakin kuna rfk ang apa amepata changamoto ya kuona matokeo yake chuo cha ATC mana website zao zote hazifunguki
kama kuna mtu ambaye aneweza kua na pdf ya...
Salaaam!
Anaomba ushauri wenu course ipi aisome kati ya:
Bachelor of science in library and information management,
Au
Bachelor of Public Administration in Record and Achieves Management...
Habari zenu wadau, swali langu ni hili, je kwa mtu aliyekwisha kumaliza chuo, anaruhusiwa kusafisha cheti chake cha form 4/form 6 endapo alifeli hesabu tu? Na kama inaruhusiwa taratibu zake zikoje?
Naombe kujua, kwa kozi za ufundi I mean technical college. Muda wa application mwisho tarehe ngapi..?
Na je ukichaguliwa ukichaguliwa kozi ngazi ya certificate unaweza kufuta na ku apply kozi...
Kwanza poleni kwa kufikiria kwa kina sera za elimu (kiswahili &english debators). Sipo huko.
Mie naomba kujua kama pale chuo cha maliasili na utalii moshi kilimanjaro (MWEKA) wamesha ruhusu...
Tofauti ya maneno haya kwenye taaluma ya macho ni nini?
1. Optician
2. Optometrist
3. Ophthalmologist
● Je, optometrist anaweza kua ophthalmologist?
● Kwa hapa Tanzania ni vyuo vipi wanatoa izo...
Samahani wana JamiiForums, ninaomba kuuliza. Mimi nilisoma form six halafu nikasoma na diploma, sasa kwenye kuomba mkopo nineandika form six badala ya diploma na nilipojaribu kureverse baadae...
Naombe kujua, kwa kozi za ufundi I mean technical college. Muda wa application mwisho tarehe ngapi..?
Na je ukichaguliwa ukichaguliwa kozi ngazi ya certificate unaweza kufuta na ku apply kozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.