Natanguliza salamu kwenu wakuu
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimekuja kwenu wakubwa zangu kuomba ushauri na muongozo wenu juu ya hiyo course ya Bachelor of business Administration...
Vyuo hivyo vya kati vinafunguliwa 9/10/2023. matokeo ya mitihani bado...yaani mwanafunzi aende chuoni halafu arudi nyumbani in case he/she is discontinued
Mzazi unajiandaa lini na ada?
Rutayugwa...
Naomba msaada jamani.
Niko nafanya Application za mkopo mwaka huu kuna kipengele kimejazwa taarifa ambazo na imegoma kuedit, msaada kwa anaeweza kunirekebishia.
Wanafunzi wa kidato cha sita waliomaliza Shule ya Sekondari Mbweni Teta iliyopo kata ya Mbweni wilaya ya Kinondoni mkoa wa Dar es Salaam wanapitia changamoto ya kunyimwa Result slip zao kwa...
Kwa mwenye kujua namna ya utatuzi katika mfumo huu mpya wa bodi ya mikopo Helsb yaan kila niki attach file kwenye Guarantor id card in pdf form ina leta mrejesho wa
Invalid file type naombeni msaada
Kutokana na uhitaji mkubwa wa marubani katika soko la ajira chuo cha CBE kampasi ya DSM kimenuia kuanzisha kozi ya kufunza Marubani humu humu nchini ili kuzalisha wataalamu wengi wazawa kwa ajili...
Hello wanaJF
Sorry nina mdogo wangu alifaulu chuo cha Mwalimu Nyerere kilichopo Kigamboni Dar es Salaam. Mdogo wangu huyo alikuja Bukoba likizo baada ya kumaliza field ndani ya mwezi September...
Habari zenu wakuu wa JF,
Mimi ni Mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo cha Sokoine,kwa muda mrefu sana nilikuwa nimejijengea kuipenda sana taaluma ya udaktari wa binadamu ila bahati mbaya...
Habari za muda huu,
Nilikua nauliza je kwa mfano umepata GPA zaidi ya 3.8 bachelor degree ila kuna baadhi ya kozi core umepata B plain unaeza omba nafasi ya tutorial assistant na ukawa...
Nilisoma kwenye shule hii kwenye miaka ya 1986-1989
https://www.youtube.com/watch?v=gBQ8OOy1LHs&pp=ygUcTnN1bWJhIFNlY29uZGFyeSBTY2hvb2wgMjAyMw%3D%3D
Kama uliwahi kusoma kwenye shule hii, sema ni...
Habari ndugu zangu;
Ningependa kuomba msaada hapa kidogo kuhusu swala la mkpo he bodi ya mkopo #heslb Wana weza toa mkopo kwa mwanafunzi wa diploma?
Hii ni kutokana na matatizo ya kifamilia ndio...
Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefungua dirisha la maombi ya SAMIA SCHOLARSHIP kwa wanafunzi 640 waliopata ufaulu wa juu kwenye masomo ya sayansi katika mitihani ya...
Wakuu naomba msaada wenu kwa aliyefanikisha kuambatanisha uthibitisho wa ulemavu kwa mwombaji wa mkopo.
Nisaidieni mwenye utaalamu au aliyefanikisha.
Maana kila nikiattach hiyo form ya daktari...
Wizara ya elimu imetoa muongozo wa utoaji mikopo kwa vyuo vya kati, lakini cha kushangaza kozi muhimu za fani ya afya (Clinical medicine, Pharmacy na Nursing) zimewekwa pembeni.
Katika muongozo...
Wadau!
Naomba wenye uzoefu waniambie kama itawezekana mtoto kupokelewa Chuo Kikuu mwaka wa Kwanza akiwa hana Cheti cha Matokeo (Results Slip).
Karibuni,
Pigangoma
Habari jamani, naombeni mnisaidie. Nimeapply nikafika mwisho lakini ikaniambia sijakamilisha preliminary info, nikarud kujaza hzo taarifa.
Kila nikijaza niruhusu kuendelea na hatua nyingine...
Nawasalimu Nyote
Nimekuwa na changamoto ya kupata AVN nilihitimu Diploma 2015...nikafanya hatua zote za online za kuiomba AVN nikafika mpaka NACTE wakaagiza chuo kiandike barua ya kuomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.