Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Moja kwa moja. Taarifa imetoka sasa kuwa kesho ndipo uzinduzi rasmi wa muongozo wa uombaji wa huo Mkopo kizinduliwa rasmi makao makuu. Jambo hilo liliibuliwa mwaka huu kama pendekezo moja katika...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu kwa hisani ya Wazazi wote wanaotaka kupeleka mabinti wao ktk mikoa ya Arusha na Moshi kujiunga na kidato cha kwanza 2024 tunaoma kujulishwa Shule nzuri ktk mikoa husika. Shule inaweza kuwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari ninaomba kuuliza kwa wenye uzoefu kubadilisha kozi bugando diploma kuingia Radiology ni uhakika au inaweza kuwa ngumu
0 Reactions
1 Replies
609 Views
Hello, Je, mtu akitaka kushift kutoka DUCE kwenda main campus inawezekana? First year GPA 4.8 , na ni step zipi za muhimu za kufata. Reason: Kuna course ambazo hazipo Duce Bali zipo UDSM main...
0 Reactions
7 Replies
621 Views
Baada ya kumaliza diploma in clinical medicine, ufaulu gani unahitajika ili kupata scholarship?
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna Aina nyingi za kuzalisha umeme duniani. Na baadhi ya njia ambazo zimezoeleka ni kama vile, umeme wa maporomoko ya maji, umeme wa upepo, umeme wa jua, umeme wa makaa ya mawe na umeme wa...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Mimi ni muhitimu wa Kidato cha nne 2022. Nimefanya selection za kwenda chuo na nimependekeza kozi ya physiotherapy Chuo cha Bugando, Kilimanjaro na Mbeya. Naomba kujua kama kozi niliyo chagua...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi. 2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha. 3. Mwambie Kupata alama nyingi sio kujua mambo mengi. 4. Mwambie...
19 Reactions
140 Replies
22K Views
Wakuu nilichukua result slip ya forms six ila Vijana wa bodaboda wamepita na mkoba result ikiwa ndani naomba msaada kwa anaejua nianzie wapi
1 Reactions
3 Replies
945 Views
Chapter Four The Terror Racket Formal / Informal Channels As we have delved into the increasingly intricate nexus of cooperation between terror groups, tribal warlords, narcotics smugglers, and...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jamn nisome course Gani hapo maana sielewi kabsa
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wadau, nina vijana wangu wa darasa la nne na sita nataka nianze kuwafundisha computer science (kwa level yao) ili waendane na makuzi ya technolojia. Kwa sasa computer nimeshawanunulia ila...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Anonymous (58dc)
Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kilichopo Dar es Salaam, ipo hivi, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ilitoa nyongeza ya mkopo kwenye ada za Wanafunzi...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Jaman nna swali et kwa mwanafunzi anae endelea na masomo mwaka wa pili akiwa ana sap ya somo moja anaweza pangiwa mkopo endapo kaomba na alkosa mwaka wa kwanza?
0 Reactions
6 Replies
698 Views
Salamu.Mdogo wangu anapenda asome Bachelor in Nursing chuo chochote nchini namlipia ada na mahitaji yote. Ana PCB EDC anaeza pata chuo gani. Ushindani ni mkubwa mwaka huu na yeye bado anapenda...
0 Reactions
7 Replies
440 Views
Natumaini mkoa salama ndugu zangu. Nimechaguliwa course ya leadership and Ethics je kazi zake kwa upana ni lazima uwe mwanasiasa au aliyesoma hiyo course anaweza kuingia katika field gani...
1 Reactions
5 Replies
793 Views
Kichwa hapo juu chajieleza , ninataman kujua process za NECTA kufuta matokeo ya kidato cha sita Nilisoma PCB 2020 Nataka nisome EGM kwa mwaka mmoja(Qt) Natamani kujua gharama ni kiasi gani? Na...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu naomba msaada kujua vyuo vinavyotoa course ya bachelor of health system Management Ada zake kwa private Na Ada zake kwa government
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu niliweza kupewa ushauri juu ya kusoma bsc in mechanical injinia lakin wana jamii forum mlinishaur vyema bora nijirndeleze elim ya juu zaid kwa msada zaidi nimepat...
1 Reactions
7 Replies
568 Views
Kama mdogo wako alisoma HGL,HGK,HGE,HKL. Kama O-level ana principle passes za Physics, Bios na Chemistry mwambie asiende degree kama uwezo wa kulipia diploma ya afya upo. Kama haupo basi afuate...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom