Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Niko interested na kupata scholarship ambayo ni full funded naombeni msaada
1 Reactions
6 Replies
822 Views
Hivi kozi ya AMO inarudishwa lini kwa mwenye taarifa,,,na hua inatolewa vyuo gani..?
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Linapokuja swala la elimu nawakumbuka hayati Nyerere na Mkapa, hawa wakubwa walikuwa na dhamira ya kweli kuinua elimu ya Tanzania tofauti na awamu zingine........ Pamoja na katiba mpya kuna haja...
0 Reactions
7 Replies
529 Views
Habari wakuu Niende moja kwa moja kwenye mada Nahitaji kuifahamu zaidi hii kozi ya Actuarial science kikubwa inahusika na nini?? Na marketability yake ipoje? Na ikitokea ukamaliza maeneo ya...
0 Reactions
0 Replies
783 Views
Kutokana na kuzuiwa kufanya shughuli zake za kudahili wanafunzi kwenda kusoma course mbalimbali nje ya nchi,tutegemee ongezeko la vijana wengi mtaani kukosa vyuo na kendelea na elimu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini ndugu zangu. Najaribu kujaza taarifa za mdhamini (GURANTORS DETAILS) kwenye website ya BODI YA MIKOPO tangu jana lakini inagoma kabisa. Picha ya mdhamini inatakiwa iwe katika pdf format...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Msaada wa maombi ya mkopo wa elimu ya juu(HESLB) nilikuwa namuapplyia mkopo mdogo wangu sasa nimefika katika demograhic info nmejaza fomu vizur inalod tu ainipi murejesho naombeni msaada maana...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Mgabe alishawahi kusema fisrt class students become engineers, doctors and so and so third class students become politicians, witch doctors and so and so in order to eat the money of the first...
3 Reactions
17 Replies
852 Views
Digital chemistry, au kemia ya kidijitali, inahusu matumizi ya teknolojia ya digitali kuchunguza na kuelewa mifumo ya kikemia. Hii inaweza kujumuisha utumiaji wa programu za kompyuta, algorithms...
1 Reactions
0 Replies
776 Views
Naomba kuuliza aneifahamu kozi hiyo soko la ajira likoje kwa sasa na kwa baadae
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nilicreate account kwenye chuo cha NIT ili nimuombee mdogo wangu chuo round ya pili lakni nilipata shida ya kupata control number ya malipo ili niweze kuendelea na hatua nyingine... Lakin kila...
0 Reactions
0 Replies
516 Views
Je??mtu aliyesoma certificate ya clinical medicine(CA) anaweza kwenda ku-upgradre nakwenda kusomea course nyingine nje ya Diploma in clinical medicine ((CO)??mfano CAto diploma in dental,au hata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu, Naomba mnisaidie kwenye hatua hii kwenye kuomba mkopo HESLB. Kwenye kipengele cha kuattatch signed pages 2 na 5. Je, ni pages gan zinazohtajika? Msaada tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
799 Views
Habarini wapendwa,kuna dogo langu kapangiwa hii kozi hapo UDSM,naomba kujua ipoje na hawa watu wanaajiriwa kama walimu au vipi?
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari wana Jamvi, mimi ninaomba msaada nilijiunga Na UDOM mwaka 2021/2022 lakini kwa changamoto fulani nikashindwa kuendelea na Masomo nika postpone nikarudi mtaani sasa nimepata Scholarship...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hapa huwa sielewi kabisa, yaani unakuta mnapeleka CV za elimu kwenye mataifa kama Marekani wao wanatambua form six ya Tanzania ni Sawa na form four ya Kenya how? Waache dharau haiwezekani mtu...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, poleni na mihangaiko ya hapa na pale natumaini mko salama na kwa wenye matatizo muumba awatengenezee yao inshallah...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zenu ndugu.Nimepangiwa UDOM ,course inaitwa BACHELOR OF SCIENCE IN MULTIMEDIA TECHNOLOGY AND ANIMATION.Lakini mimi nilikuwa natamani sana kusoma BACHELOR OF SCIENCE IN CHEMISTRY. Naombeni...
1 Reactions
53 Replies
9K Views
Habari wana jukwaa pendwa LA elimu . husika na kichwa cha habari hapo juu Jana selection za vyuo zilitangazwa na nikatumiwa SMS kuwa nimechaguliwa UDOM course ya bachelor of science in multimedia...
2 Reactions
55 Replies
12K Views
Habari poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa. Mimi ni mwanafunzi wa undergraduate wa mwaka wa pili nachukua course ya BSc MTA (Multimedia Technology and Animation). Nipo likizo tumepewa jukumu la...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Back
Top Bottom