Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Nimechagulia UDOM bsc in multimedia technology and animation. Pia SUA bsc in agronomy msaada koz hiipi ni zuri katika swala la ajira na kujia ajiri na vipi kuhusu mkopo
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Bora bachelor degrees in information technology au bachelor degree in multimedia technology and animation ushauri hapo pleasee, kozi ipi itakuwa ni nzuri kati ya hizoo kwa sasa?
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Nashauri vyuo vikuu vibaki vitani tu vingine vifutwe. Huku maofsini tunapata shida sana kwa kuletewa incompetence products kutoka vyuo vya ovyo. Wabishi bila kutoa solution , wavivu na wapinga...
25 Reactions
149 Replies
8K Views
Salam wakuu, nina dogo langu alikuwa anataka kurudi chuo mwakani na ufaulu wake wa o level ni huu apa Biology- C Mathematics- C Chemistry- D Physics- D English -C Division 2 ya pointi 21...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Naombeni muongozo wadau kabla ndugu yangu hajichanganya maana Ana GPA ya 4.4 anataka kusoma masters open ili aje apambanie u-assitant lectucter?
6 Reactions
72 Replies
6K Views
Nina dogo langu kamaliza diploma in civil engineering (DIT) mwaka 2022 hapo tu, ana overall GPA ya 2.8, lakini GPA yake ya mwaka wa mwisho ni 3.1. Sasa swali langu ni kwamba je, TCU wanaangalia...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Hivi masomo ya MWEKA wildlife college hasa Bachelor ya Wildlife Tourism ipo adje naombeni mnipe hata intro ya chuo kipoje na masomo yake kabla sijaenda Watu wa Mweka wildlife chuo kipo vip...
2 Reactions
13 Replies
6K Views
Wakuu msaada, mwenye uelewa kuhusu kozi ya bsc. In mathematics and statistics ,ajira na jinsi ilivyo kiujumla
0 Reactions
1 Replies
312 Views
Salaam wana jamvi, Samahani naomba kuuliza kwa wale wenye uzoefu na course ya Computer Science. Mashirika ya serikali na binafsi ambapo ni potential kwa mwanafunzi kufanya field.
0 Reactions
0 Replies
849 Views
Habari za leo wana JamiiiiForums, Naombeni mnijuze. Mimi nilifanya application ya chuo cha afya cha serikali na nikachaguliwa nursing. Ila nimejaribu kufanya tena application ili nichague kozi...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Naomba ushauri ni course ya masters gani ipo marketable kwa sasa. Nina bachelor of arts with education.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi ni kweli Elimu ya mjinga ni Majungu? Tena ni eti, Bora kukosa mali lakini Upate akili? Eti Elimu ni Bahari haina Mwisho. maneno na misemo hii ya kiswahili ilikusudia nini hasa au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi sijasoma KWA MKOPO wala sijawah omba MKOPO elimu ya juu#HESLB Nakwatwa pesa na nimeorodheshwa katika ORODHA ya wanufaika,ajabu hawana hata detail zangu za elimu yangu! Nilifika ofisi kwao...
2 Reactions
11 Replies
904 Views
Nakumbuka Umoja wa Wahadhiri Chuo kikuu cha Dar-es-Salaam palikuwa motoo. Mijadala yenye afya ya akili pale Nkrumah. Hiv UDASA bado ipo?
4 Reactions
75 Replies
6K Views
Hello JF, Sijaona mahali wahitimu Tanzania walipoweka tafiti (research) zao. Nawaombeni tutumie hii topic/ JF kuweka research zenu humu (ziwe peer reviewed ama not). Lengo ni kujifunza kutoka...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Hello brothers and sisters Nahitaji msaada wenu, katika process za application ya HESLB, nilihitajika kuwa na Birth verification no, so nikaaply RITA, leo ni siku ya 4 bado kimya, nilitegemea...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salaam WanaJamii. Naomba kujuzwa zaidi juu ya hii Course; #Wahitimu ni Waalimu (wa Ngazi gani?) #Je ni Ma-Engineer (kwa viwango gani)? #Au ni Walimu na MaEngineer kwa wakati mmoja. #Wanaweza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamanii naomba msaada kwa wanaofahamu hii kozi na soko lake hapa nchini. Na je inahusiana na nini hasa?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mafunzo ya Afya kwa kada ya kati nchi hii ni muhimu sana kwa vile wahitimu wa vyuo hivi ndio kwa kiasi kikubwa wanahudumia wananchi walio wengi katika suala zima la Afya ya msingi. Hata hivyo...
1 Reactions
0 Replies
822 Views
Kuna utofauti gani kati ya kozi ya BAC na BAF na hipi ni better zaidi?
0 Reactions
7 Replies
859 Views
Back
Top Bottom