Waungwana kwema jamani
Ningepend kupata mzaada na e.imu kidogo kuhuxu maswal haya n CERTIFICATES EQUIVALENT maana nimesha lipia kila kwenye muemdelezo wa kujaza taarifa zangu kuna kipengele...
Habari zenu?
Nimefuatilia kwenye current prospectus ya Chuo kikuu Cha Diplomasia kurasini na hata chuo kikuu Cha Dodoma nimeona hawana kozi ya Masters ya ushirikiano wa kimataifa na Diplomasia...
Habarini ndugu mabibi na mabwana,
Nijikite moja kwa moja kwenye mada kama kichwa kinavyoelezea.
Naomba msaada kwa mwl yoyote au mdau yeyote wa Elimu aliyewahi kufanikisha swala la kubadili idara...
Habari za asubuhi Wakuu?
Naomba kuwauliza kama vyuo vikuu vimeshafungua dirisha kwaajili ya maombi ya vyuo awamu ya tatu, na kama limeshafunguliwa vipi deadline ya kuomba ni lini?
Habari za asubuhi Wakuu?
Naomba kuwauliza kama vyuo vikuu vimeshafungua dirisha kwa ajili ya maombi ya vyuo awamu ya tatu, na kama limeshafunguliwa vipi deadline ya kuomba ni lini?
Amani iwe nanyi,
Alieanzisha uzi fulani akasema Udsm saiv kimekuwa kama cha kata bado namtafuta kwa udi na uvumba. Tuachane na hayo mkubwa atabaki kuwa mkubwa tu.
Lengo ni kujua abc za kozi...
Chama Cha walimu TANZANIA na Chama Cha kutetea haki za walimu TANZANIA
Hivi ni vyama vimeundwa Kwa mujibu wa Sheria Kwa lengo la kusimamia na kutetea haki na maslahi ya walimu.
Tofauti yake:
1...
Ni matumain yangu mpo salama nahitaji msaada Kwa hili,
Wakuu sijui kama ni Mimi tu.
Nilikuwa najaribu kumuombea AVN number mdogo wangu nimeanza hatua ya kwanza vizuri hadi nikapewa password na...
Dunia sasa hivi imehamia kwenye ( computer technology) nataka nisome IT, chuo gani kizuri?
UCC au VETA? Kama ni ucc branch gani wapo vizuri? (Udsm au Posta?)
Nataka kwanza nisome kozi yupi...
Habari zenu wakuu,
Nahitaji msaada niconfirm kozi ipi kati ya hizi ambazo nimechaguliwa katika second selection. Kozi zenyewe ni Bsc in Environmental health science-RUCU, Bsc in Agriculture in...
Wasalamu ndugu wana JF wote.
Historia ni somo muhimu na lenye tija sana kwa kuzingatia ukweli kwamba historia inatunza kumbukumbu muhimu kwa taifa, Kuanzia ngazi ya shule za msingi mpaka vyuo...
Habari wadau kuna mdogo wangu amemaliza Form Six (HKL) matokeo yake ni DEE. Kwahiyo nimemshauri akasome Certifcate ya Elim Maalum Patandi hata kwa Kutumia cheti cha form four maana ana Div One...
Habarini za kazi wadau!
Kwa aliefanikiwa kufungua account ya kuombea mkopo wa vyuo bodi ya mikopo anisaidie, nashindwa kufungua account pale kwenye kipengele cha kuset password baada ya kuset...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.