Habari zene Wana jukwaa. Ninaombeni ufafanuzii katika maada tajwa hapo juu nikiwa namaana kwamba, mfano umegraduate ngazi ya degree katika course tajwa hapo juu ukakosa shavu la ajira ngazi ya...
Umuofia kwenu wapendwa,
Katika takwimu za afisa elimu huyo za mwaka huu wa 2023 ameutangazia umma kuwa watoto 49000 kati ya 112000 hawajafanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi uliomalizika...
Wakuu habarini,
Tunaombeni mtusaidie kuuruhusu mfumo wenu ili utuwezeshe kufanya marekebisho. Fomu yangu imekatwa vibaya kwenye vipengele vya si/ndiyo (uthibitisho wa serikali ya kijiji au mtaa)...
1. Aina ya shule ( madawati, vitabu nadra).
2. Ufundishaji (idad kubwa ya wanafunzi Vs idadi ya walimu hususani wa Sayansi).
3. Matokeo ya mtihani wa kitaifa awamu ya elimu bure..maslahi ya...
Wadau salaam!
Hivi karibuni nimehitaji kupatiwa Chti cha matokeo ya Kidato cha Sita kutoka kwenye shule ambayo mtoto wangu amemaliza.
Cha kushangaza nikimwambia Mkuu wa shule anipatie cheti...
samahani wadau naomba kuuliza mtu akisoma BACHELOR DEGREE OF ACCOUNTING NA BACHELOR DEGREE OF BUSINESS ADMINISTRATION IN ACCOUNTING kuna gepu kubwa baina ya hawa watu wawili
Member heshima yenu jamani, nahitaji kupata AVN kutoka nacte ila mpaka sasa sijafanikiwa, nimefuata kama wanavyoelekeza katika link yao, naomba kwa aliye fanikiwa kwa mwaka 2019 au mwenye updates...
Naombeni ushauri kuhusu hiyo Course
About The Pros And Cons za kusoma hii course
Pia Its Marketability In The Job Market Hapa Tanzania. Pia ningependa kujua possible professions zinazohusiana...
Habarini wanajamii,
Naomba nizungumzie kwa uchache sana niyajuayo kuhusiana na ugonjwa wa kusahau ama kupoteza kumbukumbu unaojulikana kitaalamu kama amnesia.
Kusahau ni kushindwa kukumbuka au...
Habari wadau
Nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana amepata four ya 32
Kiswahili c na civics d
Je ataweza kusoma course gani kwa hizi college....au ni ngumu???
Sent using Jamii Forums...
Nitakribani mwezi mzima umepita, kumekuwa na changamoto kubwa sana katika system ya HESLB. Mfumo unagoma na siku zinazidi kwenda lakini changamoto nyingine ni kwamba hata huduma kwa wateja sio...
Kama ningefeli shule Ninayopitia Sasa bila Shaka nisingeyapitia.
Kama ningefeli shule bila Shaka ningeenda veta na Sasa ningekuwa na ujuzi Fulani.
Kama ningefeli shule bila Shaka jamii...
Kwa heshima na taadhima, ninaandika kama mdau wa elimu nchini. Tangu kufunguliwa kwa dirisha la maombi ya mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu, waombaji wanashindwa kuwasilisha maombi yao kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.