Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wana JF habari. Eti majibu ya application second selection lini
1 Reactions
3 Replies
956 Views
Naombeni kuuuliza wakubwa naweza pata kitabu Cha electrical installation Kwa anaefahamu wakubwa msaada mnijuze
0 Reactions
1 Replies
369 Views
Naomben process/njia za kufata kwa mtu alie soma chuo nje ya nchi akitaka kubadili chet chake cha chuo kwenda equivalent sawa na Tanzania.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini wakuu. Baada ya kuattach signed pages pale bado imebakia njano na sio green. Hii ni kwenu wote au Mimi tu
0 Reactions
6 Replies
918 Views
Je, kuna faida gani kwa mwalimu wa primary mwenye certificate kusomea diploma in primary Education? Wakuu mimi siyo mwalimu lakini mke wangu ni mwalimu wa primary sasa anataka kwenda kusoma...
0 Reactions
0 Replies
302 Views
Kabla sijaenda kusoma Foundation mwaka 2022, nilienda kuwauliza UDOM kwny maonesho ya Vyuo vikuu, wakanambia wanapokea, na kuna mtu alinambia kwenye system yao ya kuomba udahili ipo sehemu ya...
0 Reactions
2 Replies
531 Views
samahanini wakuu nilikua naomba kujua kama naweza pata udhamini wa masomo hasa kada za afya kwa anaejua anisaidie wakuu
0 Reactions
2 Replies
794 Views
Mimi ni mwanafunzi nilie maliza kidato cha nne naomba kuulza ni kozi ipi nzuri ya ajira naweza kusomea na ikawa rahisi kuajiriwa au kujiajiri yani ambayo bado ina fursa nzuri za ajiraa.
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wanabodi, Nimekuja kwenu nikiwa naomba kufahamishwa kama kichwa cha habari kinavyojieza hapo juu. Nakumbuka katika bajeti hii ya 23/24 ilitoa kipaumbele kwa wanafunzi wa mchepuo wa Science...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau kama mnavojua malezi ya watoto nina mwanangu kijana wa darasa la 4 lakini huyu michezo imemzidi kiasi kwamba hata nimwambieje hasikii. Mwalimu wake wa darasa naongea naye sana ananiambia...
6 Reactions
52 Replies
2K Views
Habarini jamani nilikua nauliza hivi mfumo wa PReM NUMBER NACTE umeanzishwa lini?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Inakela sana toka majuzi napiga simu hazipokelewi zingine hazipatikani hii campus ya Dodoma ni wazembe sana. Kama hamuwezi kupokea hizo simu futeni kabisa tujue moja, siyo kila mtu anaweza kufika...
0 Reactions
7 Replies
599 Views
Wadau mambo vipi? Mdogo wangu anataka kusoma Shahada ya Uzamili katika Masoko (Masters in Marketing). Je, achague chuo gani kati ya hivyo viwili chenye quality education?
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Asome kozi ipi kati ya Bachelor of Accounting and Finance na Bachelor of Banking and Finance?
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Naomba ushauri, Nataka kusoma MBA chuo kikuu cha Dar-es-Salaam sina background ya business nimesoma degree ya maswala mengine lakini nimeajiriwa kwenye position za Business kwa miaka mitatu na...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Anonymous (28fb)
Bima ya Afya kwa wanafunzi wa Vyuo ni tatizo kubwa. Mtu unalipia bima Lakini kadi hupati zaidi ya miezi saba. Wanafunzi wamelipa tangu mwezi wa tatu kadi za bima hazijatolewa na ukiuliza...
1 Reactions
2 Replies
393 Views
Habar wakuu nauliza nawezaje rudisha email yangu imkuwa hacked
0 Reactions
4 Replies
532 Views
Habari za leo ndugu, Jamaa, wazazi pamoja na marafiki, tunategemea kuwa na mtihani wa utimilifu wa darasa la saba, utakaofanyika jumatano na alhamisi katika shule zetu zote za umma pamoja na za...
1 Reactions
1 Replies
974 Views
Tumekua wahanga wa elimu kwa kufata mihemuko ama kwa kutokua na uelewa na mambo yalihusulo taifa, serikali imekua kipofu kwa ktokua na maono ya moja kwa moja kwa vijana wa kitanzania. Course...
1 Reactions
4 Replies
681 Views
Suala la ubovu na uchakavu wa miundombinu katika taasisi za kielimu zimekuwa kilio kikubwa kwa Watanzania wengi Tangu kupatikana kwa uhuru mwaka 1961 mpaka kufikia sasa, hasa katika maeneo ya...
1 Reactions
1 Replies
395 Views
Back
Top Bottom