Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wakuu natumaini mko poa na poleni na mihangaiko. Nina mjukuu wangu kamaliza 'la saba' mwaka huu na katika hangaika hangaika yake kafanikiwa kufaulu interview katika shule mbili, St Aloysius girls...
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Form 6 leaver ,tuliwaambia ,mmefaulu Sana fanyeni maamuzi sahihi Selection za mwaka huu, nadhani zimewapa SoMo kubwa Sana,kuwa na sifa sio kigezo Cha kuwa selected! "Mlifaulu Sana" hata kwenda...
9 Reactions
80 Replies
7K Views
Natamani mnijuze ndugu kozi ,, ama fani zenye soko/ kwa sasa ni zipi??
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Nadhani mmeshawishiwa na wadau wa shule nyingi za sekondari ambazo hazina soko hasa kipindi hiki cha utahili wa watoto wanaotarajia kuanza form 1. Wazazi wengi tumekuwa tukiingia kwenye website ya...
0 Reactions
0 Replies
708 Views
Ni utaratibu wa kitaalamu, kitaaluma na ujifunzaji kisaikolojia wanafunzi na walimu kupata muda wa kupumzisha akili. Lengo la mapumziko hayo ni kuipa akili muda wa kupata nguvu za kusoma na...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu wana JF, natumai mnaendelea vizuri Kama kichwa kinavyojielezea hivi ni kweli kwamba kwa sasa serikali inatoa mkopo kwa wanaosoma elimu ya vyuo vya kati (CERTIFICATES & DIPLOMA)...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba ushauri hivi kati ya Mining Engineer na Mineral Processing Engineer ipi ni nzuri kwa soko la ajira nimepangiwa DIT mining engineer. Nataka kubadili ndiyo maana nauliza kwanza wakuu...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Kwa mliowai kupata full scholarship mnisaidie mawazo!!! Najaribu kupta mitandaoni lakini scholarship hazieleweki plus zingine za kulipia Nataka scholarship ya MPH full funded UK
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kichwa cha habari chajieleza, nina darasa kwa ajili ya kujifunza kusoma, kuandika na kuhesabu Kiswahili na Kiingereza kwa watu wazima. Unaweza kuja darasani Yombo Dovya, Temeke...
0 Reactions
7 Replies
506 Views
Nimefungua account kwaajil ya kuomba mkopo HESLB lakin niki login as register inaniandikia kama hivi.
1 Reactions
38 Replies
2K Views
Habari, Nimechaguliwa IAA arusha na SAUT Mwanza Course: IAA - Procurement and Logistics Management SAUT - Procurement and Supply Management Wapi nichague ndugu zangu?
1 Reactions
5 Replies
607 Views
Nimemaliza form 4 nimepata dvs 4 ya 30 nna falled mathematics na English .swali naweza soma electrical installation chuo chochote dar es salaam naomba msaada wakubwa kwa
1 Reactions
12 Replies
799 Views
Habari bandugu huku,kuna mtoto wa bro alimaliza cha nne miaka minne huko nyuma,SASA kaomba Kada ya famasi kapata chuo flani level ya diploma lakini ameona tangazo chuo mwanza university eti...
0 Reactions
4 Replies
422 Views
Dear CALVIN D JOSEPH, Be informed that your verification took more time than expected due to the following: 1. Submitted attachments are not relevant for us to proceed with this verification...
1 Reactions
6 Replies
587 Views
Habarini wakuu mko salama? naomba kuuliza kuna yeyote aliapply mikopo na akascan kutumia CamScanner? Je ina madhara? Msaada tafadhali
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Naomba msaidie dogo wangu afanyaje mana alikuwa hajui kama kajisajili postgraduate degree badala ya local undergraduate loan application. Hivyo form inamsumbua hatari na ukiwapigia watu loan...
1 Reactions
11 Replies
792 Views
Wakuu naomba ushauri kuna dogo langu limesoma clinical medicine diploma sasa ana miaka 24 anataka kwenda degree ya clinical nutrition ya miaka mitatu SUA vip inafaa wakuu ushauri wenu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kumekuwa na Situation ya wanafunzi wengi walio vyuoni kupunguza nguvu ya kusoma kwa bidii, Wanafunzi wengi wamekuwa wakijichanganya sana mtaani kwa shughuri za kuingiza japo pesa kidogo (Mishe...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari ndugu, Niende moja kwa moja kwenye mada, kuna dogo alikuwa anasoma hii elimu ya kati,kamaliza certificate, mwaka huu kamaliza diploma yake. Sasa nasikia kesho mwisho wa kuofanya maombi ya...
0 Reactions
3 Replies
888 Views
Kesho ndio mwsho wa ku confirm chuo gani unajiunga, short of that unakosa vyoye. Msaada: Je nikiconfirm kwenda chuo fulani, lkn bado my preference sikuchaguliwa nataka kujaribu second...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom