Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari za jioni wana JF, naombeni msaada wa maelezo kwa wenye uzoefu, hususani mazingira kwa wanafunzi wa East Africa ambao si waganda, ubora wa elimu, ada ,hali ya maisha na vigezo vya kujiunga...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu husikeni na kichwa cha habari hapo juu.Nitarudi kusoma majibu yenu..Asanteni.
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Nimeumia sana, mtu mtoto wa miaka 5 kampeleka boarding school, kamkabidhi shuleni kaondoka mtoto analia lkn hajali anayeitwa mzazi kaondoka, hivi unawezaje hata kulala usingizi mtoto wako wa miaka...
3 Reactions
4 Replies
373 Views
"Bachelor of Arts Economics" na "Bachelor of Arts in Economis" zina tofauti gani?
1 Reactions
9 Replies
681 Views
Bonjour Kibongo bongo Ukitaka utusue maisha kwenye upande wa Elimu Kwa nyie wadogo zangu, at least usome masomo ya science, na sio usome tu, Yani usome na ufahuru , passmark zako ziwe vizuri...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Kwa mahitaji yote ya security system usisite Tupigie 0758 476 215 kwa Bei Nafuu na ubora wa hali ya juu iwe cctv camera motor gates intercom intruder alarm electric fences Tracking devices bila...
0 Reactions
0 Replies
316 Views
Chuo bora kwa procurement and supply chain management, kinachomuivisha vizuri mtu na akawa vyema kabisa kwa Dar es salaam ni kipi?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarini wana JF. Nimemaliza kujaza fomu ya mkopo. Baada ya kuandika application submitted successfully. Is there anything else natakiwa kufanya
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni ukweli husiopingika watu wa civil engineering ndio kada inayoongoza kupiga pesa nchi hii. Lakini huwezi amini katika chuo kinachoheshimika TZ udsm kupitia college ya Uandisi the best course ni...
3 Reactions
91 Replies
19K Views
Nahitaji kitabu hicho cha Bomba kinaitwa motivate plumbing. Mwenye kujua kinapatikana wapi?
1 Reactions
1 Replies
346 Views
Kila mfundishaji akijitahidi afundishe mambo yanayohusu maisha ya kila siku, shida inayotukumba tulio wengi Tunaandika sana darasani lakini tukiandikacho hatuwezi kukitendea kazi. Ni kwa sababu...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Imebidi nije hapa huu mtandao wa Loan Board hauko vizuri hasa hasa kwenye kipengele cha Preliminary information hakuna chochote unachoweza kujaza na uka submit na ukakiona kwenye preview. picha...
2 Reactions
56 Replies
5K Views
Wakuu hope ni wazima wa afya kabisa naombeni mnisaidie Kati ya hizo course mbili ipi ni nzuri zaidi
1 Reactions
8 Replies
619 Views
Habari wapendwa hope wote ni wazima, Kama kichwa kinavojieleza Mimi naitwa timoth nimemaliza Bsc in agronomy SUA mwaka huu Nina gpa ya 3.8 nataka niunganishe master naombeni mnisaidie wakuu...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Salama, hii thread ni special kwa sisi tulioacha masomo ya chuoni na kufanya mambo mengne so tu naweza kujadili mbinu, athari, faida na changamoto tuliokumbana nazo kipindi Hicho Binafsi niliacha...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Naombeni ushauri wakuu. Hivi ni vibaya kusoma vitu tofauti tofauti na maansha diploma unachukia kingine then degree unasoma kingine. Nia yangu ni nimepangiwa kusoma mining engineer diploma DIT...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Naombeni ushauri wakuu..hivi ni vibaya kusoma vitu tofauti tofauti na maansha diploma unachukia kingine then degree unasoma kingine,,,Nia yangu ni nimepangiwa kusoma mining engineer diploma DIT...
0 Reactions
0 Replies
273 Views
Nina shida kwenye status ya Nacte ambapo inasoma “Technician certificate” Yaan diploma one, Nilifanya mpango nikafika kweny ofisi zao wakaniambia tatizo ni kwenye semister one ambayo ipo pending...
0 Reactions
0 Replies
299 Views
Nina shida kwenye status ya nacte ambapo inasoma “Technician certificate” yaani diploma one, nilifanya mpango nikafika kwenye ofisi zao wakaniambia tatizo ni kwenye semister one ambayo ipo pending...
0 Reactions
0 Replies
439 Views
Anonymous (8d01)
Leo tarehe 25.08.2023 TCU wametoa majina ya wanafunzi wa kidato cha sita waliochaguliwa kujiunga na vyuo mbalimbali. Kama inavyojulikana, kuna ambao hupata "multiple selections", yani mwanafunzi...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Back
Top Bottom