Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Host Country: Thailand University: Chulabhorn Graduate Institute Degree Level: Masters Financial Coverage: Fully Funded Deadline: 30th September 2023 Scholarship Duration 6 weeks of refresher...
1 Reactions
1 Replies
688 Views
Habari zenu wanajukwaa Kwa sasa vijana wengi wamekuwa wafikiria kujiajiri baada ya kumaliza chuo badala ya fikra ya kizamani ya kufikiria kuajiriwa baada ya kumaliza chuo hii imepelekia hata...
4 Reactions
148 Replies
26K Views
Wakuu mwenye anajua kama hivi vyuo ni vizuri kwa kozi ya doctor of medicine msaada
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Habari wakuu, naomba msaada wa mawazo. Bado nipo chuo kikuu, mwakani na maliza masomo mwakani. Nimepata mawazo hapa kuwa baada ya kumaliza masomo apo mwakani nipitilize veta kuchukua kozi hata...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Samahan naombeni ushauri nmechaguliw course mbili hapo juu metrology and standardization cbe pia accounting and finance ardhi naombeni ushauri ndugu zangu maan zinanchanganyaa
1 Reactions
16 Replies
1K Views
In 1958, Nigeria's Chinua Achebe wrote his first novel book "Things Fall Apart" at the age of 28, which has sold over 20 million copies and has been translated to over 50 languages. • It was...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Hawa madogo wa sikuhizi wanafikiri UDSM ndo kila kitu wakati ilikuwa zamani sio kwa sasa. Mtu yuko tayari asome Faculty ya kijinga kisa UDSM. Nilimshauri dogo aachane na UDSM maana kwa faculty za...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Course Gani inayohusiana na biashara ambayo itakuwa na mashiko Kwa apa bongo. Naomba ushauri
0 Reactions
2 Replies
536 Views
Kunakozi inatolewa Igurusi inaitwa Agriculture land use planing and management.. Vipi ndugu zangu ukimaliza unaweza patakazi wp na wp na je SOKO lake likoje?
0 Reactions
2 Replies
321 Views
Bonjour Nataka kujifunza graphics and design, hivi Kuna haja ya kwenda college nilipie ada nifundishwe au nikikomaa na online tutorials naweza kuwa competitent?
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni mwanafunzi was kidato cha sita. ningeomba msaada kuhusu hiyo coarse kwa anayefahamu. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
34 Replies
18K Views
Habarini ndugu, mimi nimemaliza diploma ya [clinical medicine] CO mwaka jana nahitaji kwenda kusoma degree but AVN number inasumbua kuipata kwenye mtandao nifanyeje ,ama tatizo linaweza kuwa ni nini
0 Reactions
2 Replies
618 Views
Wakuu nahitaji assistance ya mtu aliepo Nacte ili anisaidie hii isssue yangu ya AVN, Kibaruani nipo busy sana nimeshidwa kupata muda wa Kwenda ofisi za Nacte, Nahitaji Connection za hapo Nacte...
1 Reactions
10 Replies
896 Views
Habari AVN number kutofautiana na transcript ya chuoni. Nifanye nini ili niweze kuappy chuo kikuu maana kwenye AVN number nina gpa 2.4 ila transcript yangu niliyokabidhiwa nina gpa 3.6
1 Reactions
6 Replies
965 Views
Ni matumain yangu mpo salama nahitaji msaada kwa hili. Wakuu sijui kama ni mimi tu. Nilikuwa najaribu kumuombea AVN number mdogo wangu nimeanza hatua ya kwanza vizuri hadi nikapewa password na...
0 Reactions
2 Replies
537 Views
WIKI moja tangu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa, atangaze matokeo ya darasa lasaba na kudai ufaulu umeongezeka, baadhi ya walimu na wazazi wamefichua ‘madudu’...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Kwa ambae amefanya maombi ya mkopo mpaka mwisho mwaka huu 2023 HESLB. Atuambie amefanyaje maanake hii system mpya hatuielewi.
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Hello guys, habari za humu ndani wana JF. Mi ni binti, nimemaliza form 6 mwaka huu na namshukuru Mungu nimefauru vizuri, nimepata dv 1 ya point 7 HGL, na niliapply vyuo baadhi na nimechaguliwa...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Athibitishe kusoma kozi Gani kati ya hizi compyuta sayansi au petroleum engineering?
0 Reactions
12 Replies
832 Views
Samahani kwa usumbufu wadau kwa hili la tamko la TCU mimi naona wale diploma wenye GPA ya 2.9 waombe tu vyuoni. Nadhani watapata nafasi maana vyuo vitakosa wanafunzi. Au wewe mdau unaonaje...
1 Reactions
79 Replies
14K Views
Back
Top Bottom