Ndugu wana JF,
Niliomba kuuliza Ordinary Diploma zinazotolewa Bugando za afya, zinakuwa chini ya NACTE, yaani namaanisha, wanakuwa na mtihani wa mwisho unaotoka Nacte kama vyuo vingine vya kati...
Wana JF,
Naomba kuuliza kwa sasa course gani ni nzuri kati ya hzo kwenye soko la ajira maana ndugu yangu amechaguliwa clinical officer (Ndolage) na Medical laboratory Bugando.
Ipi ni bora...
Naomba ushauri: Nimechaguliwa Chuo cha CBE kozi ya information technology IT na chuo cha TIA kozi ya accountancy nichague kozi gani yenye soko kubwa la ajira?
Mengi yamesemwa kuhusu nini kinarudisha elimu yetu nyuma. Ukweli ni kuwa lugha inamchango mkubwa kwani ndio msingi wa mawasiliano. Kwa hapa kwetu kuna lugha tatu za msingi: kingereza, kiswahili na...
Nilikuwa naangalia kazi za ndugu yangu hapa darasa la sita kuna kitu kimenitatiza kidogo.
ni kipengele cha Simple present tense. Swali wameulizwa
always, she.......calendar.
mwalimu anasema...
Habari zenu mm ni mwanafunzi wa diploma medicine CMT. Kwa sasa nipo level 5 sem ya kwanza mwaka jana nilivyokuwa level 4 sem two nilipata supp ya pathology ambayo nilifanyia mtihan huu wa nacte...
Habari wakuu!
Kama kichwa kinavyojieleza, Hivi msichana mwenye Divisheni 3 ya 14 katika mchepuo wa PCB anaweza kuchaguliwa kwenda chuo kusomea degree
Ikiwa ndio, je anaweza kukubaliwa kwa kozi...
Hizi ni kozi ambazo mtu anaweza akasoma kuanzia ngazi ya Certificate,Diploma, Bachelor au Masters na akawa name fursa kubwa ya kupata kazi nchi yoyote na ni rahisi kujiajiri kwenye sekta ya...
Kwa mtazamo wangu, homework ni ushahidi kuwa walimu wameshindwa kutimiza wajibu wao. Mtoto akiwa shule anatakiwa amalize mambo ya shuleni hukohuko. Akirudi nyumbani awe na majukumu mengine ya...
Nimesoma combination ya PCB nimemaliza form six mwaka huu na nmefaulu kwa division I-8 lakini sijafanikiwa kwenda Chuo kwasababu za kiuchumi naomba msaada Je ni course Gan za afya tofauti na MD...
Habari ya asubuhi wakuu. kuna rafiki angu tulisoma nae kuanzia darasa la saba tukafaulu then tukasoma wote hadi form 2. mwamba akaacha japo alifaulu now ameekewa umuhimu wa elimu ananiomba ushauri...
Habari wana JF,
Nakutana na changamoto ya kushindwa kuingia katika akaunti yangu ili niweze kuendelea na maombi ya mkopo,
Yapata siku ya tatu leo tangu nilipo generate Control number, kulipia, na...
Kwa anaefaham chochote kuhusu hiyo kozi inayotolewa na UDSM naomba anipe mawazo, kuhusu usomaji wake, field, na future.
Karibun wana JF wenzangu!
Kimsingi hii ni shahada ya ualimu inayotolewa...
Karibuni hapa tupeane taarifa na habari za hapa na pale kwa maombi ya vyuo vikuu kwa mwaka huu wa 2023/2024.
Kwa wanafunzi wanaoomba au wazazi,walezi,ndugu na marafiki mnaowasaidia ndugu zenu...
Kwako Serikali yangu pendwa.
Niliamua kukaa kimya ila baada ya kuona mambo yameanza kuniendea vibaya kabla sijaanza chuo imenibidi niikumbushe serikali yangu pendwa.
Kitendo cha Serikali Kuondoa...
Ninataka kwenda kusomea umeme wa Magari lakini ninatatizika ni Veta gani iko vizuri kwenye course hiyo kwa hapa Dar Es Salaam au hata nje ya Dar
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.